Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,617
- 77,859
We dogo niheshimu pambafUsenge upo wapi kijana.....toa ushauri
We dogo niheshimu pambafUsenge upo wapi kijana.....toa ushauri
Kwel[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kumfundisha mwenzio uchawi
Ni siri yanguHahahah kipi mkuu?
Daaah!kat ya watu waliotoa coment I nimeipenda sana....asante ntafanyia kazi huu ushauri ni mzuri sanaSiku zote msichana hapendi kuonekana cheap ndo mana hatakama anakupenda hatakwambia (asilimia kubwa) ukimtongoza Mara ya kwanza lazima atakataa lakini yawezekana anakutega kama utakata tamaa.
Afu kwenye kutongoza usiweke u-serious.
Kingine mwanamke hatongozwi siku ya kwanza unapomuona anakuona kua unatamaa, jenga mazoea taratibu
YANGU NI HAYO SUBIRI NA MAWAZO YA WENGINE
Miaka 24 mbona mbaba mtu mzima huyo!Miaka 24 unawaza upuuzi kama huo, mdogo wako anajifunza nn kupitia ww?
Najua sana ,na sura Nonayo nzr tu lakn wananikataa tuHujui kutongoza na pengine hujui maana ya kutongoza ndio maana unashindwa. JIFUNZE
NashukuruDaaah!kat ya watu waliotoa coment I nimeipenda sana....asante ntafanyia kazi huu ushauri ni mzuri sana
Swaga zipo za kutosha kama ni vigezo vyote vy a waschana kwa wanaume ninavyo vyote,yaan HB,black CIO San mrefu na mwili upo kidogo yaan mpk nahc Nina mkosiKuhonga hujui utakuta na sura nzuri wala swagga huna halafu unataka ukubaliwe. Embu pambana na hali yako kijana.

Ndio Uache hiyo tabia!!Hahahahahah ubaili saw la kabisa mkuu, hela sjui kutia
Hehehhehhe dah shikamoooJaribu kujitongoza mwnyw uone kama utakubali
MPE vibao mkuuuNikikuta mtu tunayeendana umri ana maswali ya kingese sijui namuonaje
Mimi in kijana Mwenge umri 24 nipo chuo mwaka wa tatu ,toka nimetongoza wasichana sijawai pata kabisa,ingawa ni kijana mzuri,mrefu Nina mwili kidogo black,ila kila nikifuata msichana lazima anitolee nje,hela huwa sijui kuonga,wakuu naombeni ushauri nifanyeje ili na mimi nifurahie raha ya kuwa katika dunia hii....karubuni kwa ushauri matusi sio poa
Hela za ndalichako CPO za kutosha tu...ila kuhonga sjui....na kwel mm n HB man ukiniona huwezi hamnHujui kuonga? Tehe tehe tehe my man if you don't have money you will never be handsome!
Mimi in kijana Mwenge umri 24 nipo chuo mwaka wa tatu ,toka nimetongoza wasichana sijawai pata kabisa,ingawa ni kijana mzuri,mrefu Nina mwili kidogo black,ila kila nikifuata msichana lazima anitolee nje,hela huwa sijui kuonga,wakuu naombeni ushauri nifanyeje ili na mimi nifurahie raha ya kuwa katika dunia hii....karubuni kwa ushauri matusi sio poa
Jamaa anajua kinoumaFungua Darasa, changisha hela kama yule jamaa alie changisha upige hela.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unasoma chuo lakini bado una akili za kitoto sana. Na wala mm siamini kama uko chuo.Hela za ndalichako CPO za kutosha tu...ila kuhonga sjui....na kwel mm n HB man ukiniona huwezi hamn
Salama salama kabisaHabari yako mrembo, nakusalimu jamani
Kipi mkuuNimeshajua kinachokunasa
Mwanaume alikamilika lazima ufikilie kitu ka icho mkuu