Tuma picha tuone kama hb kweli..... Lkn sometime madem sio lzm mpaka uwe hb mda mwingine ujanja ujanja tu vicare vya hapa na pale, mazoea, kuwa charming ivo yani.... Coz once i was in relation na mtu ambaye anasakwa na hb 's kibao kuliko mie na mim naapreciate kabisa hawa wapo vzr..... We hujawai ona mtu wa kawaida tu kamilik demu mkali mpaka watu kama nyie mnaojiona ma hb mnasemaga kabahatisha tu...... Af kingine watu wengine akijua yey hb basi anataka akitongoza mara moja ambiwe nimekubali ndo wewe......... Mi nina mshikaji wangu ni hb yupo udom pale lkn akianzaga kubembeleza unaweza jua sio yeye...... Badilika mzee baba