Nimetongoza mabinti wengi sana lakini walinikataa

Mimi in kijana Mwenge umri 24 nipo chuo mwaka wa tatu ,toka nimetongoza wasichana sijawai pata kabisa,ingawa ni kijana mzuri,mrefu Nina mwili kidogo black,ila kila nikifuata msichana lazima anitolee nje,hela huwa sijui kuonga,wakuu naombeni ushauri nifanyeje ili na mimi nifurahie raha ya kuwa katika dunia hii....karubuni kwa ushauri matusi sio poa
Mkuu kaoge baharini kisha endelea kutongoza utaleta mrejesho hapa!
 
Kwani nimesema natafuta mwanaume mimi???
Nishajengewa gari nimepewa plus msuli wa haja napigwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dogo Kwa Hizo levo zako za utongozaji mweeeh sijui

Cc Smart911
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] nakosea nini kwan Apo....fungua pm ujionee mwenywew swaga zang nahc utanielwa tu hata ww
 
Kuna kitu tunaita added advantage kwenye kutongoza:-

1. Maneno mazuri na ujue muda gani wa kuongea hiki au kile
2. Akili, mfano darasani ukiwa mzuri kwa masomo na unajua kuelekeza hii ni moja ya sifa za kupata mchuchu kama hii advantage ukiitumia vizuri
3. Hela, sikushauri kutumia boom lakini kama una nyongeza labda kutoka kwa wazazi jaribu hiyo, na siyo ile kuhonga, unaweza ukatengeneza urafiki naye mara nyingine unalipia msosi, vocha unanunua na vitu vidogo dogo kulingana na kipato chako
4. Uwe mwanamichezo (Athletic) hii unapata watu wa kukupenda bila hata kutongoza

Otherwise komaa na shule, ukimaliza tafuta hela watakuja tu.
 
kutongoza na kukubaliwa ni kipaji mkuu. mimi siku moja mida ya saa kumi na moja na nusu jioni nilipita short cut flani hivi Zanzibar nikielekea kwa rafiki yangu. sikujua kumbe nilipita eneo la jeshi na si ruhusa kupita badala ya saa kumi na moja kamili. Wakanikamata MPs wakanihoji. mmoja akaniambia adhabu yako tongoza huo mti hapo mpaka ukukubali. Nikaanza kutongoza mti ule. Unajua wee mti mi nakupenda. Dakika kama tatu hivi mmoja wao akasema `potea hapa kwa utongozaji huo hutokaa utomb``e maisha yako yote. Hadi leo natafakari usemi ule
 
Mimi in kijana Mwenge umri 24 nipo chuo mwaka wa tatu ,toka nimetongoza wasichana sijawai pata kabisa,ingawa ni kijana mzuri,mrefu Nina mwili kidogo black,ila kila nikifuata msichana lazima anitolee nje,hela huwa sijui kuonga,wakuu naombeni ushauri nifanyeje ili na mimi nifurahie raha ya kuwa katika dunia hii....karubuni kwa ushauri matusi sio poa
Dawa ni kuwakubali watakao kutongoza wewe.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Mimi in kijana Mwenge umri 24 nipo chuo mwaka wa tatu ,toka nimetongoza wasichana sijawai pata kabisa,ingawa ni kijana mzuri,mrefu Nina mwili kidogo black,ila kila nikifuata msichana lazima anitolee nje,hela huwa sijui kuonga,wakuu naombeni ushauri nifanyeje ili na mimi nifurahie raha ya kuwa katika dunia hii....karubuni kwa ushauri matusi sio poa
Kijana mbona unajichanganya?? Sasa yule demu mwenye umri wa miaka 28 uliyemgegeda kwa muda wa dakika 12 siku ya tarehe 17/12/2017 saa 10:45pm ambapo alilalamika sana kuwa unamuumiza na uume wako wenye urefu wa inchi 9 (robo tatu rula) na ukaenda mpaka kwa dokta kuonyesha uume wako wenye inchi 9 alikutongozea nani??

Au ulimgegeda ndotoni??
 
Hata mi nmeshindwa kumuelewa uyu
 
[emoji23][emoji23]ila hayo majibu yako umefanya nimecheka kiingereza
 
Back
Top Bottom