Nimetongoza mabinti wengi sana lakini walinikataa

Nimetongoza mabinti wengi sana lakini walinikataa

Kijana fata hizi njia zitakusaidia

Chukua siagi changanya na mdarasini afu weka pilipili kipande kisha weka chokaa kwa mbali, afu chukua unga wa ngano miminia humo chukua mayai mawili ya bata weka humo, then chukua kipande cha papai kisage kiwe kama uji uji nacho weka humo na pia chukua ugolo kidogo changanya na kipande cha embe, Acha kama nusu saa hivi kisha koroga tena afu chukua majivu kidogo nyunyizia pamoja na chunvi kijiko kimoja na sukari vijiko viwili afu weka maji nusu lita kisha chemsha kwa mda wa masaa 24, baada ya hapo kunywa huo mkorogo huku ukitamka jina la huyo msichana unaemtaka, hakikisha una namba yake kwenye simu yako kisha mpigie mwambie kua wewe ni mpuuzi, baada ya hapo kata simu. Kesho yake mfate physically mkiss kwanye lips. Hapo hapo atakukubalia na atakupenda milele.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimechecka kidhungu
 
Naam Mungu kaniotesha sasa hivi kua wewe ndie ubavu wangu uliotolewa kipindi nimelala usingizi ukaumbwa wewe, na sasa ni mda wa kurejea ulipotoka! basi utanikuta PM nakusubiri.
Baada tu ya kukwambia sishobokei pesa za watu ndio nimekuwa ubavu wako ghafla? Ulikuwa wapi siku zote mbona ulikuwa hunitafuti jamani? Haya ninakuja huko pm maana hata mimi nilikuwa nakutafuta mno. [emoji12]
 
Kijana fata hizi njia zitakusaidia

Chukua siagi changanya na mdarasini afu weka pilipili kipande kisha weka chokaa kwa mbali, afu chukua unga wa ngano miminia humo chukua mayai mawili ya bata weka humo, then chukua kipande cha papai kisage kiwe kama uji uji nacho weka humo na pia chukua ugolo kidogo changanya na kipande cha embe, Acha kama nusu saa hivi kisha koroga tena afu chukua majivu kidogo nyunyizia pamoja na chunvi kijiko kimoja na sukari vijiko viwili afu weka maji nusu lita kisha chemsha kwa mda wa masaa 24, baada ya hapo kunywa huo mkorogo huku ukitamka jina la huyo msichana unaemtaka, hakikisha una namba yake kwenye simu yako kisha mpigie mwambie kua wewe ni mpuuzi, baada ya hapo kata simu. Kesho yake mfate physically mkiss kwanye lips. Hapo hapo atakukubalia na atakupenda milele.
Mmmh! Jamani mbona unampotosha kijana wa watu?
 
Baada tu ya kukwambia sishobokei pesa za watu ndio nimekuwa ubavu wako ghafla? Ulikuwa wapi siku zote mbona ulikuwa hunitafuti jamani? Haya ninakuja huko pm maana hata mimi nilikuwa nakutafuta mno. [emoji12]
Ameen! siyo kwamba nilkua sikutafti bali nilkua nikifunga kwa maombi usiku na mchana Mungu anioneshe, tazama imenichukua takriban miaka 13 na nusu mpaka leo maombi yangu yamejibiwa. Hakika Mungu wetu ni mwaminifu, tena ameniambia ukja PM uje ukiwa umeshaniweka moyon kabsa maana hataki nianze kusumbuka sumbuka yan Mungu anataka uje nijilie mzigo paspo usumbufu wowote kabsaaa!
 
Huna pesa wewe bali unaboom
Pili wewe unatabia za kitoto (sio msiri)
Hauhongi watoto
Hautupii pamba za maana na manukato
Seduce of your status kaka
Lazima utofautishe kati ya mke, mwanamke na kahaba maana kati yao wengine hawatongozwi bali hupewa appointment na kuliwa
Zingatia hayo yote utawang'oa uachane na CHAPUTA
 
Jitathmini mkuu, rudisha majeshi nyuma.
Kaoge baharini
 
Boss finalist wewe angalia usije ukatoka tatu bila.
Mbona wenzio since tuko first year tulikuwa tunachukua mademu ambao wako juu yetu.
Sikia make sure ukikutana na demu unakuwa smart tena sio kitoto nukia vizuri. .nyoa vizuri.
Kucha ziwe safi ,, mdomo pia na boxa
 
Siku zote msichana hapendi kuonekana cheap ndo mana hatakama anakupenda hatakwambia (asilimia kubwa) ukimtongoza Mara ya kwanza lazima atakataa lakini yawezekana anakutega kama utakata tamaa.

Afu kwenye kutongoza usiweke u-serious.

Kingine mwanamke hatongozwi siku ya kwanza unapomuona anakuona kua unatamaa, jenga mazoea taratibu

YANGU NI HAYO SUBIRI NA MAWAZO YA WENGINE
Ni sahihi mkuu, huwezi tongoza siku ya kwanza mnaonana tu... Hasa vyuoni utakuta umeonana nae getin tu et sound No! Jenga mazoea hata kwa kumsalimia tengeneza attention siku nyingin ukimwona tu ukamsalimia lzm atacheka kidogo af hata akiwa mbali na wenzie jitahid mpaka mgongane macho fresh,..... Kuhusu kuonekana cheap hapo ndo mtego ulipo..... Unaweza lala mpaka na mwanamke lkn kama hujamtamkia kumpenda unaweza usipige mambo kwa sababu yoyot atakayo toa either hajisikii vzr n. K na huwezi fosi kiivo..... Af ukifosi utaulizwa hivi unaniona mi simple sana? Kama anajitambua lkn
 
Hela za ndalichako CPO za kutosha tu...ila kuhonga sjui....na kwel mm n HB man ukiniona huwezi hamn
Tuma picha tuone kama hb kweli..... Lkn sometime madem sio lzm mpaka uwe hb mda mwingine ujanja ujanja tu vicare vya hapa na pale, mazoea, kuwa charming ivo yani.... Coz once i was in relation na mtu ambaye anasakwa na hb 's kibao kuliko mie na mim naapreciate kabisa hawa wapo vzr..... We hujawai ona mtu wa kawaida tu kamilik demu mkali mpaka watu kama nyie mnaojiona ma hb mnasemaga kabahatisha tu...... Af kingine watu wengine akijua yey hb basi anataka akitongoza mara moja ambiwe nimekubali ndo wewe......... Mi nina mshikaji wangu ni hb yupo udom pale lkn akianzaga kubembeleza unaweza jua sio yeye...... Badilika mzee baba
 
Kabla sijakujibu naomba upitie my profile angalia posts nilizocomment ambazo zinafanana na hii post. Comments nyingi za kile zitakusaidia. Ila tu kisummarise.

Kwanza unavyoniambia upo chuo ndo unaponiangusha. Cause Mimi ningekuwa chuo cha Tanzania ningekuwa nilishapigwa disco maana sio kwa urembo wa wadada wakitanzania. Ninaposoma mimi kwanza girls shapeless, from head to toe, ni ruler. Masela zangu wa pande hizo ndio wanapenda English body[emoji23] [emoji23] . Huwezi niambia chuo kizima umeshindwa kuambulia chochote for all the 3 years[emoji20] .

Nikwambie tu kitu, the more you grow up the less friends you will make thus the less you will have. Peak ndio University. Maana kuna possibility kubwa ya co-workers wako later wawe wameolewa and by the way I hope unajua women age like milk usitegemee utamtongoza co-worker wako. Kwanza it's risky na pia atakuwa ana boyfriend(if not married YET) anaempita miaka(utaonekana kama mdogo wake wa mwisho). No offense ladies.

Fanya hivi next week salimia every girl you see, mitaani daladala, class, wherever. Don't be weird, just any girl that will catch your eyes. Simple 'Mambo' bhasi. Do this until you are comfortable, if not add another week. Itakuwa natural just like blinking. Second week, stop them, kiaje? Walk towards her, mpe Mambo, then zuga unaulizia direction. Seriously any conversation starters. Google!!! Tho anza na direction. Hata kama unapajua, uliza. Hata uliza stupid place. Etc mpo Hospital, ulizia club ipo wapi. Trust me they usually answer. After sema Asante and move on. Do this mpaka iwe natural.

Third week, tunaincrease progress. Stop them, kumbuka popote pale, ila sikushauri kwenye daladala, stendi, usiku kama yupo peke yake. Leave this to the pros. Tho success rate ndogo sana wanakuwaga wameweka 'bitch sheild' juu. Simply don't approach a girl in a setting unayoona it will make her feel like a prostitute, this includes mbele ya watu wa zima, wanawake wanapenda kufikiria jamii itanionaje. Okay back to week three. Msimamishe, say this 'Ey Mambo, I saw you across the room and I think you have a pretty smile, I thought I should come and say Hi' do this with a smile, not a weird one. Something like that, nikuambie ukweli mimi kutongoza kwa Kiswahili napigwa knockout, dem aniambie tu hajui kiingereza uone nitakavyoongea pumba. Tho nawapataga some[emoji41]. Since upo chuo wengi wanajua lugha ya Malkia. After saying that continue the conversation, 'I am Ghost, what's your name?' 'I am HeavenSent' say something funny kuhusu mazingira ya hapo, mchekeshe somehow then be like 'unapenda kuangalia game of thrones, darn you get a high five' then give her a high 5. Hapa tunabuild sexual tension (we are sexual beings anyway[emoji12] ). Pia hii inaondoa 'he is just a stranger' vibe. After mwambie 'I know it's your job to resist and it's my job to try, let's not be babies and exchange number' smile, eye contact. Trust me utapewa. Do this all week to random street girls na pia malls until it becomes natural.

Conclusion::::
This will ruin your reputation kama chuo chako kidogo. You will be that 'player'. If you care about reputation don't do it chuoni, nenda town where you will never see the people you meet again. Mwenyewe sifanyagi haya chuoni. Naenda kwenye vyuo vya wenzangu [emoji23] . This technique niliokufundisha has never failed me. Out of a 10 girls I approached 9 game their numbers, 5 we went for a date, 3 we dated, 2 I lost interest. You do the math. Darn they are good ratios. Wengine mpaka sasa nimewablue tick WhatsApp. Sijahonga hata mmoja. Once we start dating ndo nawatake care, tho before play their game. Now make this your goal in 2018. Utakuwa balaa.

P.s Tanzania we are blessed. Nilikuwa IFM juzi juzi, aiseee. Kila baada ya 5 minutes I see a hotter girl than the one passed before. See brother e no funny.[emoji113] Good Luck

WARNING::: THIS IS A DEADLY GUIDE DON'T MISUSE IT AND HURT THE GIRLS [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

-callmeGhost
This is pro!
 
Kijana muongo sana huyu, eti amemgegeda mwanamke mwenye 28 yrs, halafu huyo dem ana papuchi ndogo mno kwa hiyo mbolo yake yenye urefu wa robo tatu ya rula (inch 9) haikuingia .
Inch 9[emoji23][emoji23]muongo kwel uyu,papuchi zngekua znakataa kumeza bas watu wasngekua wanazaa,papuchi ina tabia ya kutanuka na kurudia hali yake km itafanyiwa maandalz mazur[emoji23][emoji23]jamaa inaonekan ht kutia tu hana icho kipaji
 
Back
Top Bottom