Nimetongoza mabinti wengi sana lakini walinikataa

Nimetongoza mabinti wengi sana lakini walinikataa

Kuhonga hujui utakuta na sura nzuri wala swagga huna halafu unataka ukubaliwe. Embu pambana na hali yako kijana.
Yani mimi sijui huwa nikoje, sura na swaga huwa hazininasi kabisa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tafuta dawa flani inaitwa kiminyio yaani iyo kitu unaweka kwa pocket yako ya jeans alafu tongoza demu eye to eye huku unaiminyaminya dawa yako, akyanani mtoto achomoki hapo
 
Back
Top Bottom