Nimetokea kupendwa, nifanyeje nami simtaki?

Wakuu za masiku, mimi ni mwenyeji hapa JF kwa masaa 2.

Kisa 1) Nipo chuo mwaka wa 1 sasa, ila kuna kasichana kamenizimikia sana, nikiwa kwenye discussion kananiangalia sana mpaka napata aibu [emoji17][emoji17].

Kama jana baada ya kutangaziwa matokeo ya UE alifurahi kuona nimefaulu. Kila muda hata akiwa na wenzake lazima anijadili, aseme eti mtumbad64 hajui matusi, ni mstaarabu, sijui nini, daah!

2. 🙂 huyu anapenda kunikonyeza nikiwa library kila muda japo namlia ban, nampotezea, nilipewa umbea jana kwamba eti ananikubali sana, khaah, ila nimevunga.

Wa 3,4,5;
Huyu wa 3 ni mke wa mtu anamakalio makubwa kama behewa, anakubali eti nilivyo. Hana sura nzuri huyu.

Wa 4 huyu ni mke wa mtu pia, ana makalio ila shida hana sura nzuri, not my type kabisa.

Wa 5 ni sista wa kikatoliki from Kenya, alikuwa anafanya kazi A level, nilipomaliza naye pia alinipa hadi namba. Nilienda ku-clear receipts, nilivyoenda kuchukua slip ya form 6 akanishangaaa balaa daah, ana makalio na yeye ila siwezi zini na mtu wa Mungu asee.

In short wanangu shida kubwa ipo kwa 1 na 2, nataka niwa potezeee kiaina. Nipeni ufundi maana nipo nao chuo for 3 years ila sijawakubali kabisa, nifanyeje na mi ni domo zege? Naogopa wenzangu wasije wakanicheka kwamba naogopa mademu.

Nawasilisha [emoji53][emoji53][emoji53].

View attachment 2525643
Sijaelewa. Unawataka au huwataki?
 
Hiyo kawaida kunakademu kalikua kanaonesha hizo hisia mpk leo ila kwakua mimi Binadamu Mtakatifu nilikatongoza makusudi kalivyokubali basi nikaanza kukaban na kutoonesha kujali mpk kalivyo ona et kujishikize na wanaume nikakichana tu niliona wewe MALAYA SANA
 
Wakuu za masiku, mimi ni mwenyeji hapa JF kwa masaa 2.

Kisa 1) Nipo chuo mwaka wa 1 sasa, ila kuna kasichana kamenizimikia sana, nikiwa kwenye discussion kananiangalia sana mpaka napata aibu [emoji17][emoji17].

Kama jana baada ya kutangaziwa matokeo ya UE alifurahi kuona nimefaulu. Kila muda hata akiwa na wenzake lazima anijadili, aseme eti mtumbad64 hajui matusi, ni mstaarabu, sijui nini, daah!

2. 🙂 huyu anapenda kunikonyeza nikiwa library kila muda japo namlia ban, nampotezea, nilipewa umbea jana kwamba eti ananikubali sana, khaah, ila nimevunga.

Wa 3,4,5;
Huyu wa 3 ni mke wa mtu anamakalio makubwa kama behewa, anakubali eti nilivyo. Hana sura nzuri huyu.

Wa 4 huyu ni mke wa mtu pia, ana makalio ila shida hana sura nzuri, not my type kabisa.

Wa 5 ni sista wa kikatoliki from Kenya, alikuwa anafanya kazi A level, nilipomaliza naye pia alinipa hadi namba. Nilienda ku-clear receipts, nilivyoenda kuchukua slip ya form 6 akanishangaaa balaa daah, ana makalio na yeye ila siwezi zini na mtu wa Mungu asee.

In short wanangu shida kubwa ipo kwa 1 na 2, nataka niwa potezeee kiaina. Nipeni ufundi maana nipo nao chuo for 3 years ila sijawakubali kabisa, nifanyeje na mi ni domo zege? Naogopa wenzangu wasije wakanicheka kwamba naogopa mademu.

Nawasilisha [emoji53][emoji53][emoji53].

View attachment 2525643
Nitajitoa jf siku moja maana nimechoka kusoma vigano na visasili vya wajukuu wangu kila uchwao.
 
Wanasema njia ya mwongo ni fupi... Na wewe njia yako imekua fupi zaidi..jifunze kudanganya umma
 
Wakuu za masiku, mimi ni mwenyeji hapa JF kwa masaa 2.

Kisa 1) Nipo chuo mwaka wa 1 sasa, ila kuna kasichana kamenizimikia sana, nikiwa kwenye discussion kananiangalia sana mpaka napata aibu [emoji17][emoji17].

Kama jana baada ya kutangaziwa matokeo ya UE alifurahi kuona nimefaulu. Kila muda hata akiwa na wenzake lazima anijadili, aseme eti mtumbad64 hajui matusi, ni mstaarabu, sijui nini, daah!

2. 🙂 huyu anapenda kunikonyeza nikiwa library kila muda japo namlia ban, nampotezea, nilipewa umbea jana kwamba eti ananikubali sana, khaah, ila nimevunga.

Wa 3,4,5;
Huyu wa 3 ni mke wa mtu anamakalio makubwa kama behewa, anakubali eti nilivyo. Hana sura nzuri huyu.

Wa 4 huyu ni mke wa mtu pia, ana makalio ila shida hana sura nzuri, not my type kabisa.

Wa 5 ni sista wa kikatoliki from Kenya, alikuwa anafanya kazi A level, nilipomaliza naye pia alinipa hadi namba. Nilienda ku-clear receipts, nilivyoenda kuchukua slip ya form 6 akanishangaaa balaa daah, ana makalio na yeye ila siwezi zini na mtu wa Mungu asee.

In short wanangu shida kubwa ipo kwa 1 na 2, nataka niwa potezeee kiaina. Nipeni ufundi maana nipo nao chuo for 3 years ila sijawakubali kabisa, nifanyeje na mi ni domo zege? Naogopa wenzangu wasije wakanicheka kwamba naogopa mademu.

Nawasilisha [emoji53][emoji53][emoji53].

View attachment 2525643
Kijana achana na mahusiano piga kitabu kwanza hizo mambo utayakuta huko mbele ya safari ukiwa umemaliza chuo
 
kwanza hii ni semester ya ngapi hapo chuoni kwenu???
 
Back
Top Bottom