Nimetokea kupendwa, nifanyeje nami simtaki?

Nimetokea kupendwa, nifanyeje nami simtaki?

Wanangu toeni ushauri acheni kusema chai chai humu bana mamboo maxito ila ndo hivyo ila

Ngoja niombe ushauri na watu wa huku pia maana hapa nimetoka empty set

[emoji316][emoji316][emoji316]
2022-toyota-landcruiser-Land-Rover-Defender-Nissan-Patrol-comprison-brett-glen-sullivan-1200x8...jpg
 
Hii ni private tumemaliza pepa last week sio kama vyuo vya serikali week moja mitihani 2
Ko mmemaliza last week ndo jana mtangaziwe matokeo yenu? Achilia kutangaza matokeo enyewe kwa notice board?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi ni futuhi.
 
Kwa
Kwa hiyo vyuo vya private ndio wanatangaziwa matokeo? Chuo gani hicho ?
Jamaa acha bangi, zinakuwa msingi wa mawazo pamoja na fantasy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anachekesha huyu mnoooo.
Ukute hata chuoni penyewe hajawahi gusa gate lake.
Lol
 
Kwa
Kwa hiyo vyuo vya private ndio wanatangaziwa matokeo? Chuo gani hicho ?
Jamaa acha bangi, zinakuwa msingi wa mawazo pamoja na fantasy
[emoji90][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bangi za chuga tamu mkuuu
 
Hakuna raha kama kupendwa..kunakupa nafasi ya kudeka...na ukimwacha utaangukia mahali ...utesekeeee mpaka ukome...ukipendwa pendeka...wacha mbamba
 
Back
Top Bottom