Sex addict
JF-Expert Member
- Feb 21, 2023
- 902
- 1,816
- Thread starter
- #61
Ya 1kwanza hii ni semester ya ngapi hapo chuoni kwenu???

No wayKwan we una demu?
Half man...Kwanza matokeo yametoka lini? Wakati vyuo vingi ndo wapo kwenye kufanya mitihani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimejikuta nakumbuka wimbo wao wa kwenye tangazoItakuwa zayoni[emoji23][emoji23]
Nomaa sanaaYaan katoa boko haswaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shida nn sas si uchukue mtot huyoNo way
We utaliwa kisamvu muda si mrefu na huyo mke wa mtu uliyemlalaUmejoin JamiiForums kuja kutuambia hii kitu..?
NyatiHana sura nzuri huyu.
Anafanania kwa mbaaliNyati
Wakuu za masiku, mimi ni mwenyeji hapa JF kwa masaa 2.
Kisa 1) Nipo chuo mwaka wa 1 sasa, ila kuna kasichana kamenizimikia sana, nikiwa kwenye discussion kananiangalia sana mpaka napata aibu [emoji17][emoji17].
Kama jana baada ya kutangaziwa matokeo ya UE alifurahi kuona nimefaulu. Kila muda hata akiwa na wenzake lazima anijadili, aseme eti mtumbad64 hajui matusi, ni mstaarabu, sijui nini, daah!
2. 🙂 huyu anapenda kunikonyeza nikiwa library kila muda japo namlia ban, nampotezea, nilipewa umbea jana kwamba eti ananikubali sana, khaah, ila nimevunga.
Wa 3,4,5;
Huyu wa 3 ni mke wa mtu anamakalio makubwa kama behewa, anakubali eti nilivyo. Hana sura nzuri huyu.
Wa 4 huyu ni mke wa mtu pia, ana makalio ila shida hana sura nzuri, not my type kabisa.
Wa 5 ni sista wa kikatoliki from Kenya, alikuwa anafanya kazi A level, nilipomaliza naye pia alinipa hadi namba. Nilienda ku-clear receipts, nilivyoenda kuchukua slip ya form 6 akanishangaaa balaa daah, ana makalio na yeye ila siwezi zini na mtu wa Mungu asee.
In short wanangu shida kubwa ipo kwa 1 na 2, nataka niwa potezeee kiaina. Nipeni ufundi maana nipo nao chuo for 3 years ila sijawakubali kabisa, nifanyeje na mi ni domo zege? Naogopa wenzangu wasije wakanicheka kwamba naogopa mademu.
Nawasilisha [emoji53][emoji53][emoji53].
View attachment 2525643
Seriously bro are u serious 😒😒Shida yako hupendi kuoga, we anza kuoga tu mambo yatakuwa mswano.
Sura halisi ni pale Wanapo toka kuamka. Shikilia moyo au umkimbieAnafanania kwa mbaali
Hii ni kweli asee kupata demu mwenyew sura kama hii si mcgezo mkuuu wabovu wengiSura halisi ni pale Wanapo toka kuamka. Shikilia moyo au umkimbie
Nnalo Moja Hilo linajijua Sura 4 ya 35 linanchaganya na mitako yake liafande moja Hv.Hii ni kweli asee kupata demu mwenyew sura kama hii si mcgezo mkuuu wabovu wengi
Unajua mkuuu ugumu unakuja pale hao wenye sura za baba ukimaliza tu kuwagonga yaani huwatamani tena mimi Nishafanya research nilimgonga demu mwenye matako makubwa na sura mbaya daah nilivyopizi tu nikaanza kujichukia hapo hapo 😠😠😠😠😠Nnalo Moja Hilo linajijua Sura 4 ya 35 linanchaganya na mitako yake liafande moja Hv.
Wewe ni domo zege uliyekubuhuWakuu za masiku, mimi ni mwenyeji hapa JF kwa masaa 2.
Kisa 1) Nipo chuo mwaka wa 1 sasa, ila kuna kasichana kamenizimikia sana, nikiwa kwenye discussion kananiangalia sana mpaka napata aibu [emoji17][emoji17].
Kama jana baada ya kutangaziwa matokeo ya UE alifurahi kuona nimefaulu. Kila muda hata akiwa na wenzake lazima anijadili, aseme eti mtumbad64 hajui matusi, ni mstaarabu, sijui nini, daah!
2. 🙂 huyu anapenda kunikonyeza nikiwa library kila muda japo namlia ban, nampotezea, nilipewa umbea jana kwamba eti ananikubali sana, khaah, ila nimevunga.
Wa 3,4,5;
Huyu wa 3 ni mke wa mtu anamakalio makubwa kama behewa, anakubali eti nilivyo. Hana sura nzuri huyu.
Wa 4 huyu ni mke wa mtu pia, ana makalio ila shida hana sura nzuri, not my type kabisa.
Wa 5 ni sista wa kikatoliki from Kenya, alikuwa anafanya kazi A level, nilipomaliza naye pia alinipa hadi namba. Nilienda ku-clear receipts, nilivyoenda kuchukua slip ya form 6 akanishangaaa balaa daah, ana makalio na yeye ila siwezi zini na mtu wa Mungu asee.
In short wanangu shida kubwa ipo kwa 1 na 2, nataka niwa potezeee kiaina. Nipeni ufundi maana nipo nao chuo for 3 years ila sijawakubali kabisa, nifanyeje na mi ni domo zege? Naogopa wenzangu wasije wakanicheka kwamba naogopa mademu.
Nawasilisha [emoji53][emoji53][emoji53].
View attachment 2525643
No, ni ZayoniAmazon [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha utotoWakuu za masiku, mimi ni mwenyeji hapa JF kwa masaa 2.