Nimetokea kumpenda sana Dena Amsi!

Nimetokea kumpenda sana Dena Amsi!

Tuko pamoja mkuu ila anaonekana kama mwanamke mbishi mbishi vile.Anyway sipendi wanawake wa aina yake sijui mwenzangu kama utamweza jiandae kufuata sheria,kanuni na taratibu amekaa kiBeijing sana.

Haaaahhh!!!, Kama wewe hupendi, wenzako wanakufa saaaaana!!!, kwa watu kama hao....Nafikiri jamaa akimwangusha atajisikia SIMBA!!
 
hahhhh hahhah hahhaha ata kipofu aangalii mara mbl? duu i kali
Jaman nimetokea mpenda xana rz1980,moyo wangu umependa xana mwandiko wake,haufanani na wa DA au lizzy,cna mpango wa kukupa bahari kama zawadi bali ikibd ntakutorosha jf.
 
Rose kmbe we mbaguz eh? Mbna mi hukuja knshkia shela cku ile pale kwa kakobe? Mcctze DA akubal cjahudhuria k'party huu mwka wa 5. Mi ntakuwa matron wa watoto.

ahhh mi stak bwana shemej gan mlugaluga yule?na suruali zake za kko za vtambaa znatetemeka na mashat yake ya maua maua mi stakl mashemej wa sitimb bwana

ukiachkla ukiolewa tena ntakuwa matron i promis
 
Jaman nimetokea mpenda xana rz1980,moyo wangu umependa xana mwandiko wake,haufanani na wa DA au lizzy,cna mpango wa kukupa bahari kama zawadi bali ikibd ntakutorosha jf.

ehh haya makubwa sasa
una nia ya sabortage au una nia thabt
UMENIPENDEA MWANDIKO?
asanteeeeeeeeeeeeeeeeee
ngoja bas nikiachika apa ntakuja kwako
asi upo tayar kuwa MPANGO WA KANDO sio?poa basi...nizngatie chalii angu mi wako yan miamia tu shela ntaazma kwa bibi we tayarisha mahali tu na io mahali utanikabdh mwenyeweeeeeeeeeeee venue rosegarden apo mishale ya saa5 usiku ...DEAL? ohh yeeeeeeeeeeeees i ges so...pamoko sana till then:love::love:
 
Hapana unajua ametangaza nia akitoswa basi na wana MMU tunajua.
Alichotakiwa kujulisha umma ni kwamba ameshashinda bingo tayari sio kuitisha watazamaji kwenye utongozaji!Wapi usiri bwana..?Hawa ndo wale hata mtaani anawaambia washkaji wajifiche kichakani kusikiliza akimtokea binti!
 
ehh haya makubwa sasa
una nia ya sabortage au una nia thabt
UMENIPENDEA MWANDIKO?
asanteeeeeeeeeeeeeeeeee
ngoja bas nikiachika apa ntakuja kwako
asi upo tayar kuwa MPANGO WA KANDO sio?poa basi...nizngatie chalii angu mi wako yan miamia tu shela ntaazma kwa bibi we tayarisha mahali tu na io mahali utanikabdh mwenyeweeeeeeeeeeee venue rosegarden apo mishale ya saa5 usiku ...DEAL? ohh yeeeeeeeeeeeees i ges so...pamoko sana till then:love::love:
Hahahaha yereee,ni 1ya mipango yangu ya mwaka uu,MAPENZ CO JELA lol
 
Alichotakiwa kujulisha umma ni kwamba ameshashinda bingo tayari sio kuitisha watazamaji kwenye utongozaji!Wapi usiri bwana..?Hawa ndo wale hata mtaani anawaambia washkaji wajifiche kichakani kusikiliza akimtokea binti!
wataka kusema AMEINGIA NA SIGARA SHELI?
 
Hongera dena,,,nimeamini kweli mapenzi kikohozi..................
 
Dena upo wapi sasa mbona haujibu???
Au ndo
unachorachora chini?,
unachumachuma majani?,
unakulakula vidole?,
unachana chana karatasi,
unakula peni na ufutio?,
unashikashika nguo upande??,
unakatakata kucha?,
umegeukia upande wa pile jamaa umempa mgongo??,
au ..................
Nina hamu kujua msimamo wako mamaaaaaa........jibu basi .......fahamu bahati haijirudii ..................
 
ROSE eeh , naomba umwite DENA HUKO ALIKO AJE AMJIBU JAMAA ILI TUJUE MSIMAMO WA DENA ULIVYO???
 
hahaha ha LIZZY, ETI wajifiche rafikize ili wamwone jinsi anavyomtokea binti.......hilo nalo neno , lol
 
ROSE eeh , naomba umwite DENA HUKO ALIKO AJE AMJIBU JAMAA ILI TUJUE MSIMAMO WA DENA ULIVYO???

kanambia anamwogopa shemej et anatishaaaaa...labda avae kilemba uson....dada ogopa chura ya chemej...
 
Rose1980 umeona hii miandiko??ya xana nikichina au??ni kifacebook mwaka huu kazi tunayo!!!Mpwa The Finest Nifanyie tafsida ya maneno haya xana umri nao tabu mpwaz!!!!!
 
:hug:Habari zenu wanajf! Nafikiri kupenda si dhambi na kila mtu ana haki ya kupenda au kupendwa. Mimi nimetokea kumpenda sana binti huyu kwa namna anavyochangia mada hadi sasa napenda kukutana naye, kuzungumza naye, kukubaliana naye, kupanga naye na hatimaye kujivinjari naye. Namuomba kama atakupita hapa anipe namba yake ya simu ili tuwasiliane, ila asinipe namba ya gari kwa vile nina nia naye nzuri tu. Hata nyie akina rose80, afrodenz nk mwaweza kumshauri mwenzenu huyu ili liwezekane. Kama ana mkataba na mtu mwingine basi, Nawasilisha.:hug:
natamani nimpore Dena hii sredi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom