Mzee Uchwara
Senior Member
- Oct 28, 2013
- 119
- 35
wanawake wa mtandaoni ni hao hao unaokutana nao barabarani ,kwenye madaladala n.k, wapo walioolewa wenye wachumba na masingle pia, usidhan wa mtandaoni wanaishi sayari nyingine mkuu.
Uzoefu unaonesha ni rahisi kushawishika na kubadili mawazo kwa sababu wanachati na watu wengi na tofauti tofauti ni rahisi kumshawishi, mimi nimeshajaribu hivo na nimeona. Wanaume ni watu hatari sana na wanambinu nyingi mkuu.
Aaaaah! Babu weeee USINIZIBIE RIZIKI!!!!!! Ndoa mchezoooo! Mwche ANIWOWE niwe nakula na kunya bureeeeeeeeee!!!!!!!! Inahuuuuuuuuu! lol! Ila sheria ya ndoa pichu mtegoni ndo inanitia kigugumizi kidogo! Mkiachana si engine inakuwa used too much too many hadi inachemsha!!!!!!!!
Unazungumzia lara 1 wa kutembea na mume wa mtu au yupi..???Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikivutiwa sana na huyu binti lara1,nimetokea kumpenda sanaa na natamani awe mke wangu kwa sababu hajaolewa nimempenda sana lara1 natangaza nia ya kumchumbia binti lara1
mkuu PM nayo ni sehemu ya JF ujue...
ila wa ndio mtaani hawachat na watu wengi tofautitofauti eeh....kinachobadilika hapa ni aina ya mawasiliano tu,humu keyboard mtaani verbal.......
Mimi ni kaka yake Lara1, hivyo kwanza ongea nami kwa herufi kubwa kabla ya hata kutangaza nia. Katika familia yetu mfuko ndicho kigezo cha kwanza kwani hata mahari yake lazima yatolewe njinjo na si chini ya 1Billion.
Sema kijana! Utanifanyia nini? Umejipangaje to make me happy! FYI SIENDEKEZI FREE PUMBU!
Lara1 mtoto toka Kilwa-njinjooooo ambapo mapenzi ndo kwake. Tanga cha mtoto ati waja leo waondoka leo? Ukifika Njinjo huondoki ni waja leo waondoka ukiwa kikongwe. Dada yangu ndo mambo yote. I billion nakufikiria kukuruhusu. Angalizo, Mabinti wa Kinjinjo si wa kujishebedua au wa kupewa V8 mwaya. Ni maji marefu. Dada yangu sitie neno, nakulinda kaka lakoduh akufukuzae hakwambii toka 1 billion duh kweli mpo juu!
Kizuri gharama babu eee!!!!inaonekana akienda haja anatoa hela au madini.
Dada yangu anavyoniheshimu hawezi kuanza mazungumzo bila ya ruksa yangu. Hakuna cha PM hapa. Mambo hazaranihaa haa haaa kwa hiyo watu8 unataka kusema kwamba wameshaenda PM?
Yes dada lao, asilete gozi gozi. Sie pesa tu. Mahari 1BAaaaah! Babu weeee USINIZIBIE RIZIKI!!!!!! Ndoa mchezoooo! Mwche ANIWOWE niwe nakula na kunya bureeeeeeeeee!!!!!!!! Inahuuuuuuuuu! lol! Ila sheria ya ndoa pichu mtegoni ndo inanitia kigugumizi kidogo! Mkiachana si engine inakuwa used too much too many hadi inachemsha!!!!!!!!
Acha hizo keshapona dada yangu baada ya kumpeleka New York. India nini, mtoto matawi ya juuuuuuuKingine ninachowaza watu8 si unafahamu kwamba lara 1 anapumulia mashine Game watakua wanapigaje sasa?Maana huyu binti wa kinondoni Mguu bado unamsumbua kwa sana.... ODILI SAMALU jipange na fungu la matibabu kabisa..au kwa hasira peleka India mtoto apone ili ufaidi vizuri.
Yupo msikitini badosiwezi kumuonea wivu muite lala 1 yuko wapi!
Avatar inajionesha ndiye yeye uhalisia, cheki toto la kikilwa hiloLkn kweli masharti mengi kama mganga wa kienyeji. Weka na piccha yake tuone
Kila mwanaume rijali isipokuwa mimi ni mme wa mtu (iwe rasmi au unofficial). Hivyo dada hakutenda dhambi, hivyo si news kutembea na mme wa mtu. Unataka atembee na mme wa nyani? Big up dadaUnazungumzia lara 1 wa kutembea na mume wa mtu au yupi..???