Nimetokea kumpenda lara 1

wanawake wa mtandaoni ni hao hao unaokutana nao barabarani ,kwenye madaladala n.k, wapo walioolewa wenye wachumba na masingle pia, usidhan wa mtandaoni wanaishi sayari nyingine mkuu.

Uzoefu unaonesha ni rahisi kushawishika na kubadili mawazo kwa sababu wanachati na watu wengi na tofauti tofauti ni rahisi kumshawishi, mimi nimeshajaribu hivo na nimeona. Wanaume ni watu hatari sana na wanambinu nyingi mkuu.
 
ila wa ndio mtaani hawachat na watu wengi tofautitofauti eeh....kinachobadilika hapa ni aina ya mawasiliano tu,humu keyboard mtaani verbal.......
 
Aaaaah! Babu weeee USINIZIBIE RIZIKI!!!!!! Ndoa mchezoooo! Mwche ANIWOWE niwe nakula na kunya bureeeeeeeeee!!!!!!!! Inahuuuuuuuuu! lol! Ila sheria ya ndoa pichu mtegoni ndo inanitia kigugumizi kidogo! Mkiachana si engine inakuwa used too much too many hadi inachemsha!!!!!!!!

njoo huku mtoto lara1 tukupe raha. Baada ya kujitokeza mkuu kaingia mitini hana hela huyo. Njoo kwetu kwa wazee wa dozi hasa roho fedha makaratasi.
 
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikivutiwa sana na huyu binti lara1,nimetokea kumpenda sanaa na natamani awe mke wangu kwa sababu hajaolewa nimempenda sana lara1 natangaza nia ya kumchumbia binti lara1
Unazungumzia lara 1 wa kutembea na mume wa mtu au yupi..???
 
ila wa ndio mtaani hawachat na watu wengi tofautitofauti eeh....kinachobadilika hapa ni aina ya mawasiliano tu,humu keyboard mtaani verbal.......

Ila mkuu mitandao ina ushawishi kwa kiasi fulani kwa sababu hajaanza mda mrefu hiki ni kipindi cha mpito. Embu fanya utafiti Fb utaona jinsi inavokuwa rahisi kuaproach on line.
 
Mimi ni kaka yake Lara1, hivyo kwanza ongea nami kwa herufi kubwa kabla ya hata kutangaza nia. Katika familia yetu mfuko ndicho kigezo cha kwanza kwani hata mahari yake lazima yatolewe njinjo na si chini ya 1Billion.

inaonekana akienda haja anatoa hela au madini.
 
Dah, unajuwa leo Jumamosi, ngoja nikamuone mshona viatu nje hapo antafutie dawa ya kuchanganya na oud wangu. Ntarudi.
 
Lara 1 saa hizi tunapigana vikumbo kwenye mishikaki ya samaki Masaki wewe unamtegea mingo nyuma ya keyboard! Pole.
 
duh akufukuzae hakwambii toka 1 billion duh kweli mpo juu!
Lara1 mtoto toka Kilwa-njinjooooo ambapo mapenzi ndo kwake. Tanga cha mtoto ati waja leo waondoka leo? Ukifika Njinjo huondoki ni waja leo waondoka ukiwa kikongwe. Dada yangu ndo mambo yote. I billion nakufikiria kukuruhusu. Angalizo, Mabinti wa Kinjinjo si wa kujishebedua au wa kupewa V8 mwaya. Ni maji marefu. Dada yangu sitie neno, nakulinda kaka lako
 
Aaaaah! Babu weeee USINIZIBIE RIZIKI!!!!!! Ndoa mchezoooo! Mwche ANIWOWE niwe nakula na kunya bureeeeeeeeee!!!!!!!! Inahuuuuuuuuu! lol! Ila sheria ya ndoa pichu mtegoni ndo inanitia kigugumizi kidogo! Mkiachana si engine inakuwa used too much too many hadi inachemsha!!!!!!!!
Yes dada lao, asilete gozi gozi. Sie pesa tu. Mahari 1B
 
Kingine ninachowaza watu8 si unafahamu kwamba lara 1 anapumulia mashine Game watakua wanapigaje sasa?Maana huyu binti wa kinondoni Mguu bado unamsumbua kwa sana.... ODILI SAMALU jipange na fungu la matibabu kabisa..au kwa hasira peleka India mtoto apone ili ufaidi vizuri.
Acha hizo keshapona dada yangu baada ya kumpeleka New York. India nini, mtoto matawi ya juuuuuuu
 
Unazungumzia lara 1 wa kutembea na mume wa mtu au yupi..???
Kila mwanaume rijali isipokuwa mimi ni mme wa mtu (iwe rasmi au unofficial). Hivyo dada hakutenda dhambi, hivyo si news kutembea na mme wa mtu. Unataka atembee na mme wa nyani? Big up dada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom