Nimetokea kumpenda lara 1

Hahahah nitajitahidi kadri ya uwezo wangu ili uishi kwa raha bibie lara1

Mhhhhhhh! Achana na hawa mashabiki maandazi wakitiwa hamira kidogo wanaumuka beseni zima! Niambie my sweety, sweety, my number one, pete tunongelea karat ngapi? Siaki kukumaliza sanaa tanzanite kajiwe cha M tu kanatosha! Au mi muke ya masai ntavaaje SARE YA JIJI za kwaNchimbi! Haihuuuuuuu kabisaa.

Afu ukikaa na mie kupata hela IS NOT AN OPTION!!!!!! Ukija mikono mitupu mambo ya free pumbu MLANGO SIFUNGUI! Eeeeeeh! bila hivo utakuwa hutoki kimaisha! Afu tutabakia kusoma plate number za watu! Ndo nini sasa! Pesa utapata hata kwa bakora ikibidi! LOL!
 
Hapo kwenye red una maana hii hii ninayoifahamu mie au nyingine? Biashara?
 
lara moko bana kwamba kwako hakuna free PUMBU,Hela atatafuta hata kwa bakora,nimeipenda sana hiyo
 
Mhhhhhhh! Achana na hawa
mashabiki maandazi wakitiwa hamira kidogo wanaumuka beseni zima! Niambie
my sweety, sweety, my number one, pete tunongelea karat ngapi? Siaki
kukumaliza sanaa tanzanite kajiwe cha M tu kanatosha! Au mi muke ya
masai ntavaaje SARE YA JIJI za kwaNchimbi! Haihuuuuuuu kabisaa.

Afu ukikaa na mie kupata hela IS NOT AN OPTION!!!!!! Ukija mikono mitupu
mambo ya free pumbu MLANGO SIFUNGUI! Eeeeeeh! bila hivo utakuwa hutoki
kimaisha! Afu tutabakia kusoma plate number za watu! Ndo nini sasa! Pesa
utapata hata kwa bakora ikibidi! LOL!

lara 1 aka mama mchungaji
 
Last edited by a moderator:
Haka kabinti lara 1 kanaonekana kachakarikaji. Huyu ni mke mwenye uchungu na maisha. Perhabs mkuu you are about to take more than you can swallow.
 
Sema kijana! Utanifanyia nini? Umejipangaje to make me happy! FYI SIENDEKEZI FREE PUMBU!

Bi lara1 mimi nina ka 1M/- per one night, je itakuwa OK nikikutafuta? Napenda kuonja iron ladies kama wewe.
 
Sisi huku usiku hugeuka mchana naishi pluto tunatofautiana kidogo
Hahahahahahaha umenifanya nicheke mdogo wangu khaa. Hajui lbd wewe mlinzi au nesi au dr uko zamu maana hawa hata usiku wanafanya kazi. Msalimie sana kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha umenifanya nicheke mdogo wangu khaa. Hajui lbd wewe mlinzi au nesi au dr uko zamu maana hawa hata usiku wanafanya kazi. Msalimie sana kiwatengu

Usiombe mtu awe zamu ya usiku! Hata muda wa kuingia jf sijui kama ataupata maana karibu kila mgonjwa anakuwa yupo serious.! Sijui ziraeli mtoa roho anapitaga usiku!
 
Last edited by a moderator:
People who want happy endings have to
write their own.
Kingine ninachowaza watu8 si unafahamu kwamba lara 1 anapumulia mashine Game watakua wanapigaje sasa?Maana huyu binti wa kinondoni Mguu bado unamsumbua kwa sana.... ODILI SAMALU jipange na fungu la matibabu kabisa..au kwa hasira peleka India mtoto apone ili ufaidi vizuri.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom