Nimetokea kumpenda lara 1

Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikivutiwa sana na huyu binti lara1,nimetokea kumpenda sanaa na natamani awe mke wangu kwa sababu hajaolewa nimempenda sana lara1 natangaza nia ya kumchumbia binti lara1
Mimi ni kaka yake Lara1, hivyo kwanza ongea nami kwa herufi kubwa kabla ya hata kutangaza nia. Katika familia yetu mfuko ndicho kigezo cha kwanza kwani hata mahari yake lazima yatolewe njinjo na si chini ya 1Billion.
 
haswaa hiko ni kipimo cha kwanza
kitu kingne ATM iwe inasoma sio ajibweteke coz lara1 nnaemfahamu mimi ni mtafutaji
lakini pia aweze kuhandle mapigo yake coz huyu dada lara1 sio wa hivhiv
awe fizikali fit na saikolojiko fit coz IQ ya lara1 iko foward sana hiyo ni mitazamo yangu michache japokuwa iko mingi siwezi kuimention hapa.
Mi namshauri huyu mtangaza nia, Lara 1 akisha mkubali tu ampige mimba 2 mfululizo, hapo kwisha jeuri yake, yote uliyasema hapa yatakua hayana maana tena kwa Lara 1!
 
Mimi ni kaka yake Lara1, hivyo kwanza ongea nami kwa herufi kubwa kabla ya hata kutangaza nia. Katika familia yetu mfuko ndicho kigezo cha kwanza kwani hata mahari yake lazima yatolewe njinjo na si chini ya 1Billion.

duh akufukuzae hakwambii toka 1 billion duh kweli mpo juu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom