Nimetokea kumpenda lara 1

Nimetokea kumpenda lara 1

je na ww ambaye unawashawishi tukuweke kundi gani? je unafanya jambo zuri? au wewe ni mwema kabisa? je kwa tabia hiyo sio mwovu kama wao tu? msipende kudhalilisha watu hapa kwa judgement zisizo na mantiki bana. kabla hujajaji matendo ya mwingine jiulize kwanza ya kwako ni mema. tafakari! chukua hatua.
Uzoefu unaonesha ni
rahisi kushawishika na kubadili mawazo kwa sababu wanachati na watu
wengi na tofauti tofauti ni rahisi kumshawishi, mimi nimeshajaribu hivo
na nimeona. Wanaume ni watu hatari sana na wanambinu nyingi
mkuu.
 
Welcome back kiwatengu , haya kuna uzi unakuita kwenye kufunga mwaka 2013 , iperuzi utaiona
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikivutiwa sana na huyu binti lara1,nimetokea kumpenda sanaa na natamani awe mke wangu kwa sababu hajaolewa nimempenda sana lara1 natangaza nia ya kumchumbia binti lara1

We Mwambie Atakuelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom