Nimetokea kumpenda lara 1

Nimetokea kumpenda lara 1

HII NDIO CV YAKO MKUU!!!!!unajua ngeli wewe!una pesa ya kuishi mjini!!
 
Duh unatanifanya leo nishinde hapa jamvini mpk lara 1 aje ni kilanga iki leo ila ikitokea mmeamua kwenda kule chemba utuambie pia...kila la heri iko kidhungu km haujui siku hizi INGLISHI KOZI kibao
 
Last edited by a moderator:
Sema kijana! Utanifanyia nini? Umejipangaje to make me happy! FYI SIENDEKEZI FREE PUMBU!

mpe nafasi kijana wa watu
Umenitisha ulivyoanza kuzitaja korodani hadharani maana nijuavyo mie haya mambo mlitakiwa mkatete faragha
 
Naona anatafutwa mtu undani hapa ,haya mie napita wakuu.
 
Odili samalu njoo sasa, mwenyewe kaja. Ngoja tuangalie mpambano. haahahahahaaha...
 
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikivutiwa sana na huyu binti lara1,nimetokea kumpenda sanaa na natamani awe mke wangu kwa sababu hajaolewa nimempenda sana lara1 natangaza nia ya kumchumbia binti lara1

Weka picha bana!!!
 
utamuweza! maana utafiikiri yeye ndo alikuwa mwenyekiti wa mkutano wa beijing!. jiandae kupangiwa zamu ya kuzaa

hahahaha daa jf raha tupu,jf kuna vituko. daa nimecheka sana daaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom