mhshemdoe
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 363
- 531
huwa unaitumiaga hiyo njia ya bank mkuu?Wanafanya payment kwa bank tu
huwa unaitumiaga hiyo njia ya bank mkuu?Wanafanya payment kwa bank tu
Tafuta line ya safaricom ya kenyahuwa unaitumiaga hiyo njia ya bank mkuu?
Nimekua mtu wa kubet hapa na pale kwa muda mrefu bila mahesabu, yaani sijui napoteza kiasi gani wala napata kiasi gani.. Mwaka ulipoanza nikaamua nifanye kiufasaha kidogo, nikajipa miezi minne ni detail kila kitu, nijue napoteza au napata kiasi gani kwa muda huo..
Tar 1 January nikadeposit 500,000 kwenye account yangu nikaiandika kama debt mahali., nikaja na formula yangu, nafanya analysis kabla mechi hazijaanza lakini nakuja kuzibetia zikiwa live in play kutokana na trend itavyokwenda..
Nikaanza kuona mafanikio, ile laki 5 nikafanikiwa kuirejesha ilhali Nina pesa kwenye account yangu, nikatafuta safe deposit(sanduku la chuma) ambalo nikiwa naweka pesa zote ambazo nakua nime withdraw nikishinda, yani naweka zote sitoi ata hela ya bia kwenye hela niliyo withdraw...
Kuna ups and downs, kuna kipindi pesa kwenye account inaisha najikopesha tena naweka bila kugusa hela ya kwenye sanduku, wiki Jana nilifanikiwa kujilipa madeni yote niliyojikopesha, na kufanya deposit kwenye sanduku langu nikabaki na 473,000 kwenye account ambayo yote nimeipoteza
The thing is I feel like my game have been down this week and I decided to call it a day, sheria kubwa ya gambling inasema 'know when to walk away' and i feel its time.. Nimepanga sitabet tena mpaka ligi zianze august
Leo nimevunja sanduku langu na kupata ina kama 15.6M.... Nimesha draft plan ya kuifanyia 15M hii laki 6 ngoja nipambane na hii weekend kwanza
Hizi ni baadhi za bets za April tu maana nimeshindwa kuleta za kuanzia jan huko ingekua kazi kubwa, nimeleta Uzi huu nadhani kuna mtu anaweza jifunza kitu hapa, be responsible with your hard earned money, hakikisha you keep your records
Na hawa wazee hawana utani mwezi March niliweka M1 timu moja wakapita nayo
Betting is addictive be careful, bet what you can afford to lose....
Post No 1 umeisoma?Huyu jamaa alishawahi kuweka mikeka yake hapa??
Huyu jamaa alishawahi kuweka mikeka yake hapa??
Kwani inashindikana???Na ww unataka kubeti upate 15m ndani ya miezi 4.??
Aje kule kwenye uzi wetu pendwa.Mkuu Wall street msimu wa ligi kuu unaanza rasmi leo kwa Liverpool na Norwich City kufungua pazia la ligi. Tafadhali usisahau kuendelea kutupia tips hapa. Kumbuka sote adui yetu ni mmoja tu---Kanjibai. Aluta continua.
Mimi huwa nabeti jackpot ya sport pesa tu basi..Na ww unataka kubeti upate 15m ndani ya miezi 4.??
Mimi huwa nabeti jackpot ya sport pesa tu basi..
Ukisikia mtu kapiga ile mil 700 ujue ni mimi uje nikupe kazi ya kuogesha zizi la mbuzi
Umekua sasa hivi unatukana wazazi wako. Unamuita baba yako dogo.Dogo naona umetoka kupakatwa unaongea shombo tu
ILe jackpot itakuja fika bilioni na yupo atayeikamataMimi huwa nabeti jackpot ya sport pesa tu basi..
Ukisikia mtu kapiga ile mil 700 ujue ni mimi uje nikupe kazi ya kuogesha zizi la mbuzi
Acha ujingaShida ni kwamba there is no such thing as a banker hata celtic kipindi kile cha Henrick larrson kule Scotland inapiga watu kila weekend, kama mtu utabet hio huenda kwa msimu sababu odds ni ndogo unajikuta una faida ya kama 1m sasa sababu labda upate hata laki inabidi kila mara uweke lets say 1m hence game moja tu ukikosea you are in red...
Point yangu ni kwamba there is no practical system in the long run (mathematically impossible) ndio maana its a Big business kwa kina Sport Pesa na Serikali ya Tanzania ambayo inakula 20% kila ukishinda kwahio kila unapopewa odds za 1.5 in reality ni odds ndogo zaidi mkuu....,
Hiyo hela watu tunapata with in a single day.Na ww unataka kubeti upate 15m ndani ya miezi 4.??
Kumbuka betting siyo ajira mkuuNimekua mtu wa kubet hapa na pale kwa muda mrefu bila mahesabu, yaani sijui napoteza kiasi gani wala napata kiasi gani.. Mwaka ulipoanza nikaamua nifanye kiufasaha kidogo, nikajipa miezi minne ni detail kila kitu, nijue napoteza au napata kiasi gani kwa muda huo..
Tar 1 January nikadeposit 500,000 kwenye account yangu nikaiandika kama debt mahali., nikaja na formula yangu, nafanya analysis kabla mechi hazijaanza lakini nakuja kuzibetia zikiwa live in play kutokana na trend itavyokwenda..
Nikaanza kuona mafanikio, ile laki 5 nikafanikiwa kuirejesha ilhali Nina pesa kwenye account yangu, nikatafuta safe deposit(sanduku la chuma) ambalo nikiwa naweka pesa zote ambazo nakua nime withdraw nikishinda, yani naweka zote sitoi ata hela ya bia kwenye hela niliyo withdraw...
Kuna ups and downs, kuna kipindi pesa kwenye account inaisha najikopesha tena naweka bila kugusa hela ya kwenye sanduku, wiki Jana nilifanikiwa kujilipa madeni yote niliyojikopesha, na kufanya deposit kwenye sanduku langu nikabaki na 473,000 kwenye account ambayo yote nimeipoteza
The thing is I feel like my game have been down this week and I decided to call it a day, sheria kubwa ya gambling inasema 'know when to walk away' and i feel its time.. Nimepanga sitabet tena mpaka ligi zianze august
Leo nimevunja sanduku langu na kupata ina kama 15.6M.... Nimesha draft plan ya kuifanyia 15M hii laki 6 ngoja nipambane na hii weekend kwanza
Hizi ni baadhi za bets za April tu maana nimeshindwa kuleta za kuanzia jan huko ingekua kazi kubwa, nimeleta Uzi huu nadhani kuna mtu anaweza jifunza kitu hapa, be responsible with your hard earned money, hakikisha you keep your records
Na hawa wazee hawana utani mwezi March niliweka M1 timu moja wakapita nayo
Betting is addictive be careful, bet what you can afford to lose....
Kweli hii kitu unahitaji ustarabu na strategi nzuri. Mimi hua nikianza hua naanza vizuri yaani nacheza Always conners zenye odds kuanzia 1.9 kwenda juu, Na ninaweza zalisha hizo hela nilionanzia hadi mara kummi au 20. Tatizo langu kubwa ni kwamba niki loosw mara mbili au tatu basi nachanganyikiwa mwisho Wake najiwekea tu bila kuingalia game vizuri hapo ndipo ninapoliwa kila kitu.Hakuna biashara inayolipa kama betting muhimu ni kuacha tamaa na ujiwekee kanuni muhimu za uchezaji
Kwa mfano mimi kila mkeka sitaki uzidi 1.80 odds
Na hata mechi iwe na uhakika kiasi gani simpi direct win yoyote nacheza dc
Na odds ya ushindi ni under 2.5 HT inatoa sana hiyo
Muhimu ukishaina unakula usitake kujaribu odds nyingi utapigwa
Anza na laki moja ukiweka odds 1.80 unapata 150 faida ni 50 nakuhakikishia katika mwezi utakosa mara 4 au 5 tu
Na ww unataka kubeti upate 15m ndani ya miezi 4.??
Kweli hii kitu unahitaji ustarabu na strategi nzuri. Mimi hua nikianza hua naanza vizuri yaani nacheza Always conners zenye odds kuanzia 1.9 kwenda juu, Na ninaweza zalisha hizo hela nilionanzia hadi mara kummi au 20. Tatizo langu kubwa ni kwamba niki loosw mara mbili au tatu basi nachanganyikiwa mwisho Wake najiwekea tu bila kuingalia game vizuri hapo ndipo ninapoliwa kila kitu.