Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Mkuu Wall street msimu wa ligi kuu unaanza rasmi leo kwa Liverpool na Norwich City kufungua pazia la ligi. Tafadhali usisahau kuendelea kutupia tips hapa. Kumbuka sote adui yetu ni mmoja tu---Kanjibai. Aluta continua.

Pambana na hali yako mkuu, wanaojua maana ya betting huwa hawashauriani, NEVER!!!!!
 
O
Mnaosema Betting haifai Mna suggest kitu gani kifanyike ila kuboresha maisha ya vijana? Tukalime? Ok Mazao gani? Tukafanye Biashara? Ok Biashara gani ya Mtaji wa laki ikakupa hata Elfu 20 per day? Asilimia kubwa ya wanaobeti ni Masikini walioamua kujiajiri kwa njia hiyo! Maana yake kwingine panahitaji mitaji mikubwa mfano leo hii ukiwa na Milioni 10 Mtaji Hakuna Biashara yoyote utakayoifanya ikaingiza Laki 5 faida kwa siku! Ila ukibadilisha kwa kubet Milioni 10 upate faida Laki 5 ni odd 1.05 Ila kwa Hali halisi ni vijana wangapi Tanzania Hii wenye Milioni 5 tu za Mitaji ya Biashara?? Ila kubeti inahitaji Buku tu! Piki piki inauzwa Milioni 2 ila kipande kwa siku ni 10k na ikumbukwe risk pia ipo tena kubwa, pikipiki inaweza ikapata ajali ikafa pamoja na dereva , inaweza ikiporwa, sasa hv kuna mvua inaweza ikaingia mimaji ikafa ikitokea hvyo unakuwa umelost 2M kwa kutafuta buku 10 per day ila kubeti ukiweka 20k ukatafuta odd 1.50 unapata 30k faida 10k kama mwenye boda boda tofauti yake wewe umetumia vidole tu ba bundle kuipata 10k mwenzio kaungua na jua mchana kutwa halafu Leo hii unanishauri niache kubeti wanaofilisika hawana nidhamu ya Biashara
[/Biashara Broh nisaidie namba yako ase
 
aloo nimechukua ela ya bia kisa nimepita tu sehemu na nlikuwa na elfu hamsin mfukoni daaah nikaona ela yangu ya bia itazama nikaweka buku
mbill nikala shs sabin ndio imeniweka mpaka now kitaa nipo likizo, LEO LIGI INGEKUWEPO NINGEKANDAMIZA MILION NILE TATU, MAISHA YA KIHUNI NA UNA FAMILIA NI YA KINYAMWEZI SANA, elfu sabin kwa buku mbil wazeee


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hongera broh!!!
aloo nimechukua ela ya bia kisa nimepita tu sehemu na nlikuwa na elfu hamsin mfukoni daaah nikaona ela yangu ya bia itazama nikaweka buku
mbill nikala shs sabin ndio imeniweka mpaka now kitaa nipo likizo, LEO LIGI INGEKUWEPO NINGEKANDAMIZA MILION NILE TATU, MAISHA YA KIHUNI NA UNA FAMILIA NI YA KINYAMWEZI SANA, elfu sabin kwa buku mbil wazeee


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachojua Bets huwa haziko constant. Lazma uwe na strategy ya kubadilisha mitindo ya kubet. Mfano kuna game ukibetia corners huwa zina uhakika wa kutoa maybe kwa ratio ya 8:2 meaning probability ya kushinda mara nane out of 10 times. Hapo utaona ni rahisi kutengeneza faida zaidi kuliko hasara.

Sasa unatakiwa u capitalize kwenye mbinu husika. Sio kuegama kwenye 3 way huku unaungua deile! Binafsi over/under ndo style nayoiona iko promising kwa upande wangu.
 
Your basis of the argument is invalid(huo mfano wako wa kikapu)
Why ?
Sababu most of the betting company ni foreign companies wanakuja na mitaji yao.(their capital).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekua mtu wa kubet hapa na pale kwa muda mrefu bila mahesabu, yaani sijui napoteza kiasi gani wala napata kiasi gani.. Mwaka ulipoanza nikaamua nifanye kiufasaha kidogo, nikajipa miezi minne ni detail kila kitu, nijue napoteza au napata kiasi gani kwa muda huo..

Tar 1 January nikadeposit 500,000 kwenye account yangu nikaiandika kama debt mahali., nikaja na formula yangu, nafanya analysis kabla mechi hazijaanza lakini nakuja kuzibetia zikiwa live in play kutokana na trend itavyokwenda..

Nikaanza kuona mafanikio, ile laki 5 nikafanikiwa kuirejesha ilhali Nina pesa kwenye account yangu, nikatafuta safe deposit(sanduku la chuma) ambalo nikiwa naweka pesa zote ambazo nakua nime withdraw nikishinda, yani naweka zote sitoi ata hela ya bia kwenye hela niliyo withdraw...

Kuna ups and downs, kuna kipindi pesa kwenye account inaisha najikopesha tena naweka bila kugusa hela ya kwenye sanduku, wiki Jana nilifanikiwa kujilipa madeni yote niliyojikopesha, na kufanya deposit kwenye sanduku langu nikabaki na 473,000 kwenye account ambayo yote nimeipoteza

The thing is I feel like my game have been down this week and I decided to call it a day, sheria kubwa ya gambling inasema 'know when to walk away' and i feel its time.. Nimepanga sitabet tena mpaka ligi zianze august

Leo nimevunja sanduku langu na kupata ina kama 15.6M.... Nimesha draft plan ya kuifanyia 15M hii laki 6 ngoja nipambane na hii weekend kwanza

Hizi ni baadhi za bets za April tu maana nimeshindwa kuleta za kuanzia jan huko ingekua kazi kubwa, nimeleta Uzi huu nadhani kuna mtu anaweza jifunza kitu hapa, be responsible with your hard earned money, hakikisha you keep your records

Na hawa wazee hawana utani mwezi March niliweka M1 timu moja wakapita nayo

Betting is addictive be careful, bet what you can afford to lose....
Naona unataka kutapeli watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aloo nimechukua ela ya bia kisa nimepita tu sehemu na nlikuwa na elfu hamsin mfukoni daaah nikaona ela yangu ya bia itazama nikaweka buku
mbill nikala shs sabin ndio imeniweka mpaka now kitaa nipo likizo, LEO LIGI INGEKUWEPO NINGEKANDAMIZA MILION NILE TATU, MAISHA YA KIHUNI NA UNA FAMILIA NI YA KINYAMWEZI SANA, elfu sabin kwa buku mbil wazeee


Sent from my iPhone using JamiiForums
Umekandamiza mechi gani hizo mkuu? Mbona ligi zote duniani zimefutwa zimebaki ligi chenga tu?
 
nilicheza ice hookey mbil na match za mexico jna u20 kina santos laguna na club america nilishau kupiga picha mkuu, me hadi ice hookey nachezaga ilimradi hela iingie, betting is fun


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama ni hivyo basi sawa mkuu maana mimi naishiaga kwenye football tu, hasa ligi kubwa.....hockey na michezo mingine huwa sigusi.
 
Back
Top Bottom