Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Mimi nilienda nikafika 1.7M kwa mtaji wa laki...nikaingia tamaa yaliyonikuta siri yangu
Mkuu embu tuume sikio

Ila point kubwa niliyopata humu ni, beti Baada ya kufanya analysis, epuka tamaa kwenye kubeti (usiweke timu nyingi au kutamani timu zenye odd kubwa) and take break when it is not working

Pole mkuu
 
Mkuu mimi nimekuwa sipitishi wiki sijala, lakini mtaji wangu ni elfu kumi, na ikishuka chini ya hapo sijisikii kabisa kugusa betting app yoyote.

Ngoja niandae mkakati wa mwaka wa fedha 2019/2020.
Hhaaahahaaaaa broh umetisha hadi mwaka wa fedha kama upo serikalini
 
Hata kona zinalipa sana
Magoli mmmmh
Magoli ni pasua kichwa ... Corner ni safe saana mkuu. Nimeshabet corner mara 9 mfululizo nimekula mara 7 nimeliwa mara 2. Mechi ya Man city alishatoaga corner 10 first half pekee afu mimi nlitaka corner 4 tu.. Asee!

Can you imagine?
 
Back
Top Bottom