Gambling and betting addiction

Ron70

Senior Member
Jan 20, 2022
106
262
I’m an addict, yes leo nimekubali kuwa mimi ni addict wa michezo ya kamari. Sikuwa tayari ku accept hili swala na kila siku nilikua najipa moyo nita acha au huenda I will make through gambling and online sports betting.

Nilianza kamari back in 2014 and I blame myself for the addiction to get the best of me. Nimeishi sometimes maisha magumu sana chuoni kwa sababu ya betting which was a sign for me to quit but I didn’t.

Nakumbuka on my university graduation I just wanted that extra cash nika bet budget nzima nilopewa na my parents. I woke up the next morning with 40k with no new clothes or shoes plus a girlfriend to please and take care of for the next three days of the graduation hype, I made it through lakini sito sahau msoto nilopitia.

Fast foward namaliza uni napata kazi nzuri somewhere, I up my stakes to the mounts of 500k-1M. Unajikuta in a weekend unatoa 1M mpaka 3M then next week unatoka from 500k to (-3M) just chasing the losses . The adrenaline was more than that of alcohol or drugs I just wanted to continue sikutaka kuacha hata kidogo.

Had savings somewhere ikanibidi kuvunja account just to keep up with the lifestyle!, that account ilitoka kwenye some Ms mpaka sasa iko na 70k. To keep it short I have made losses, huge losses.

Una deposit 100k ijumaa jioni una bet na ku gamble online vya kutosha unafikisha let’s say 700k. Your mind tells you to withdraw ila una jiambia one last bet, unatafuta live play dakika ya 83 game ni 1-0 unasema hapa ni under 2.5 una stake one last bet of the night the whole 700k, guess what it’s the 94th minute na game imeisha 3-1. Unasema ngoja ni deposit 500k to chase the loss, guess what inaenda pia!!! The cycle continues all month!

Naweza sema I lost myself not my cash in all this facade!! Najiona nimepotea mimi hizi pesa zita tafutwa ila kwa namna kubwa kamari imeniharibia mipango yangu mingi sana.

But I give up now, I call it quits. I have learned my lesson now, ni muda wa ku fight hii addiction.

Day 0 of not placing a bet, here we go.
 
Kumkimbia mhindi ngumu sana, tupambane tu kwenye mikeka
 
Pole sana Tena sana

Serikali ingepiga marufuka haya mambo ingeokoa vijana wengi sana lakin Hilo haliwezekani kwa Tanzania ya tozo,

Serikali Iko busy kukusananya Kodi kutoka kwenye kamari ila haingalii madhara wanayoyapata watu wake.

Hii Ngoma kuacha ni ngumu sna zaidi utapumzika Tu.

Ila nakutia moyo utaacha kwa kufuata hatua zifuatazo

1.Hama eneo unaloishi

2.Badil njia ya kutoka na kuingia kwako

3.acha kutumia sim janja

4.usiangalie tv

5.Anzisha tabia mpya haijalishi wewe anzisha Ili kujiokoa ikiwezekana kuwa busy na madem snaa itakusaidia

6.Kuwa mtu maombi.

7.Usiwaze sana utajiri Amin wewe umeumbiwa kuwa na maisha ya kawaida, hiyo itakusaidia akiri yako kutowaza kutafuta pesa sana.

Mwingine ataongezea mm naishia hapo
 
Nashukuru sana, smartphone ni part ya kazi ninayo fanya ila the best I can do is kutafuta mambo mengine ya kufanya nikiwa nayo na ku limit matumizi pia. Asante kwa ushauri nita ufanyia kazi.
 
Mimi nacheza sana online casino ila naapa kusema kuwa sipigwi kama mnavyopigwa mnaobeti mipira.
Mipira imewachakaza kweli.
Nilianza 2017 .
5 yrs now, casino inalipa ila mpaka uijulie, unless utaachwa na mkeo.

Ni kweli but I’m a witness to a friend ambae ni casino addict. He makes way more money than me lakini kuna bad days nimeona ana ingia casino na 7m na anatoka na laki 3. Kilicho niokoa kutoka kwenye casino ni kuto pata muda ku master casino games la sivo ninge umia zaidi.
 
Hongera kwa kudhamiria toka moyoni kuacha it's a big step katika kuacha huo upumbavu..mbali na kuwa na wasi wasi all the time pia betting itakufanya usiwaze fursa zingine za maisha..na wataalamu wa Mambo wanakwambia in a long run hata umle Mhindi hela leo kesho na keshokutwa hizo hela baada ya muda zinarudi kwa bookies.
 
Walio na addicted na huu mchezo ni wale waliokuwa hawana majukum ya kifamilia na hawana kaz za kufanya wapo wapo tu wanshinda vijiwen kupiga stor me binafs huwa na bet ila just for fun t na ivo sio kila siku naweza kukaa ata miezi 4 sja replace bet yoyot
 
Ume miss the whole point, lakini ni sawa pia nashukuru kwa mchango. Ila niko kazini full time na majukumu mengine mengi, ndo maana nimekubali kuwa niko addicted.
 
Hongera kwa kudhamiria toka moyoni kuacha it's a big step katika kuacha huo upumbavu..mbali na kuwa na wasi wasi all the time pia betting itakufanya usiwaze fursa zingine za maisha..na wataalamu wa Mambo wanakwambia in a long run hata umle Mhindi hela leo kesho na keshokutwa hizo hela baada ya muda zinarudi kwa bookies.

The house always wins. I had a good run once ya kama 2 months nashinda na niki lose nakuta profit ziko juu ya losses, then kuanzia mwezi wa saba mpaka leo nahisi nimeona rangi nyekundu nyingi sana. Nimesha kubaliana na hali hii kuwa kushinda si kila siku.
 
Chukua Sana hii point " THE HOUSE ALWAYS WINS" ukiielewa hii kamwe hutarudia kuchezea pesa zako anymore
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom