Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Mkuu tupo pamoja mm nimeanza kubet tangu 2013, nimetoka tz nipo huku Europe nabet kupitia bet365, betway
Nakulaga ma euro tu Ila kuliwa Siku zingine kawaida
Bongo huwa nilikuwa natumia premier BET Ile ya kubetia kwenye mashine unapata tickets za karatasi baadae ukila unaenda ofis Zao Ku withdraw
Bet Ni nzuri ukiwa na malengo
Bwana luambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiyaje mkuu? Tuelekeze nasi tukapige hela chief.
Ukiwa Europe game za Africa betting yake mkeka kuchanika impossible saana kuliko team za ulaya imagine

Una bett unampa
Simba
Gormahia
Kaiza chief
Mamelod
Pryamid
Alhly
Hapa probability ya kuchanika mkeka ndogo sana
 
Zingatia muda na hela, ingekuwa machama nayajua ingekuwaje ? ningekandamizaaa,
IMG_9763.JPG


unawin twenty kwa 'elfu mbil ya kutest mitambo ingekuwa 2000000 je ?ntakuja kuwaua hawa mbwa mamamamae

Tufanye kazi, wanaogopa sana wafanyakazi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Maana hata mimi binafsi nimefaid saana hela hizi sema huwa naziheshimu saana. Huwa nina drafts za nini nitakifanya baada ya pesa kuila. Lakin pia kuna principles za kubeti na kunufaika na mchezo huu.

1. Punguza ushabiki na mahaba na timu. Ustake ishinde hata paspowezekana eti kwasabab wew ni man U, usitake man u ashinde kisa unampenda.

2. Usicheze masoko magumu kwa mfano kwautaalam wangu...sishauri mtu kuweka under goals: ustake timu kuizuia kufunga goal wakati main target ya mech ni goals

3. Uspendelee saana mara kwa mara kuipa ushindi timu iliyo na trend ya kushinda kila mechi ichezee magoal au vinginevyo...

4. Michezo neutral ndio inafaa zaidi kwa mfano

_both teams to score
_ Over 1.5 goals
_booking
_Cornerz
_Double chance
_ Double Bets na mengine mengi
Ila point kubwa imekaa vile

5. Usiwekee tim nyingi maana kumbuka probability ya mzungu kwa kawaida ni 75% na wewe ni 25% ndio maana tukasema usitaman kubetia nan ashinde maana akidroo unakufa...akipigwa napo umekufa. Cheza tim zisizo zd 4 kama we uko seriouz tafta pesa.weka dau kubwa kulko tim nying for sure inalipa

Mengine tutawasilisha jaman
Niishie hapa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa nabet timu3@1.12=1.4,stake 2mil.=2800000,profit 800000,nabet mara2 tu kwa wiki(jmos&j2)=1600000,Option yangu ni "CLEN SHEET NO"kwa team mbovu.this season nimeliwa mara1 tu(lvpool alipigw3-0)..last season sikuliwa hata mara moja.
kwa mwezi una uhakika wa kuingiza mil 6.4

Mpango wako mzuri kama wangu wa kutafta odd 1.5 tu.
 
Back
Top Bottom