Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Kona hua unabetije mkuu
Magoli ni pasua kichwa ... Corner ni safe saana mkuu. Nimeshabet corner mara 9 mfululizo nimekula mara 7 nimeliwa mara 2. Mechi ya Man city alishatoaga corner 10 first half pekee afu mimi nlitaka corner 4 tu.. Asee!

Can you imagine?
 
Kwa hesabu za jamaa zilivyo yofauti na 3 way hamna options nyingine inayoweza kukuletea hiyo faida
Mkuu soma kwa makini na uelewe
aiseee ivi kuna watu wana jua betting ni
win draw win yaani matokeo matatu3??

mambo yako tofaut nowdays wazee options ziko kibao za kupiga pesa
corners
shots on targets
ball hits crossbar
added time Ht/Ft
total goals
goals Ht/ft over/under
10 min draw
etc etc etc....

nashangaa mtu unapo leta mfano mmoja wa mlinganisho wa odds according to bookers tena kwa option ya 3 ways
 
Hivi kuna mtu huku kwa sasa anayetumia 1xbet, kama ni ndiyo naombeni msaada wa jinsi ya kudepositt na kuwithdraw kwa kutumia mitandao yetu ya simu nikimaanisha M pesa, Airtel Money na Tigo pesa
 
Hivi kuna mtu huku kwa sasa anayetumia 1xbet, kama ni ndiyo naombeni msaada wa jinsi ya kudepositt na kuwithdraw kwa kutumia mitandao yetu ya simu nikimaanisha M pesa, Airtel Money na Tigo pesa
Wanafanya payment kwa bank tu
 
Back
Top Bottom