Nimetapeliwa Sinza



kama umekutana na matapeli huku utakutana na majambazi kuwa makini kuachia namb zako na miito ya tigopesa vodapesa ama.ntumie airtell akatwi mtu

loh

simama na mungu atakuelekezaa
 
na chenji inabaki,hivi ile mansion yako imeisha nije kuzindua?

acha masikhara hebu nipe mchanganuo...Faundation tofali ngapi?na bei ya tofali, anayechimba analipwa ngapi...fundi wa hizo tofali analipwa ngapi, jamvi after foundation litachukua kokoto za shilingi ngapi, cement ya kiasi gani, mafundi wa zege wanalipwa ngapi.
then twende tofali za hapo juu, zitaingia ngapi, mchanga kiasi gani, cement kiasi gani. then Linta, nondo za MM ngapi na bei gani, kokoto plus cement. kisha twende kupaua, mbao za bei gani, misumari kilo ngapi na bei yake, kenchi wire, bati, na misumari ya bati. fisher board, blundering, ceiling board, wire-ring ya hiyo nyumba, ripu, septic tank ya choo (au itakuwa choo cha shimo?aka puto??) mabomba, rangi, sakafu na i dont know....hebu nipe mchanganuo millioni sita inatoshaje?...
otherwise Smile hizo ni porojo tu za kijiweni kuwa utajenga kwa million 6.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni hilo jina la mtapeliwa, usikute na hii nayo ni hekaya tu. pole mkuu, fuatilia kwa makini kila ushauri lakini chagua ushauri bora.
 
Yeuwiiiiii, mbona nimedata? Tuhela twangu tutatosha kweli kujenga????? Ngoja nikae chini nilie kwanza
 
Hekaya za abunuasi unatulet down wanaume wenzio, uliamin vp kuwa huyo boya wa makongo ndo mwenye nyumba mpaka eti ukampa 6m out of blue sky!! Feeling pity 4 u dude, kuwa makin sana next tym...ambao hamjaja mjini nawaomben msije tena nyumba za kupanga bei ghali sana, 6m per yr, 0.5m per month, elf 16 per day....noma sana!!!
 
Mtazamo!Mwenye nyumba halisi wa ile nyumba ya Sinza kumbe anaishi Arusha lakin huyu Fred alitupeleka kulipia Makongo juu kwenye nyumba tunaambiwa ni ya MOSHI Majungu alikuwa mchezaji wa zaman wa Yanga

Pole sana mkuu, ila kama unaamini nguvu za giza nenda kwa babu uwabadili watu jinsia, milioni sita ipotee hivi hivi, ingekuwa mimi wangenitambua hata huko pilice nicngehangaika nako.
 
Ukome kuita watu matapeli usiwa wajua.nilichokutapele wewe ni nini?
Na jifunze kusoma na kuelewa sio kusoma tu na kukuruka kama umekesha kwenye kigodoro.
Nimesema anatafuta mtu wa kukaa kwenye nyumba yake kwa mda wa miaka mitatu maana yeye mwisho wa mwezi huu anategemea kwenda india kwa masomo ya mda wa miaka mitatu.
Nazani umeelwa sasa.
 
Pole sana, kwa kiasi hicho hao wapepelezi na baadhi ya polisi washapata mgao wao. Kinachofuata hapo ni kuzungushwa tu. Mjini huwa tunahamia kwanza halafu ndio tunalipa kodi, wengi wameumizwa hasa na hao madalali wa Sinza.
 
6M usawa huu? si mchezo kaka, hizo UMENYANG'ANYWA, haujatapeliwa, ukitapeliwa ni ngumu kuzipata, lakini kwa vile aliyekunyang'anya unamjua na nyumba unaifahamu basi ukikomaa utapata haki. Siku unamkabidhi pesa ya kwanza kulikuwa na mashahidi? Cha kufanya fanya upelelezi mwenyewe, hata kwa majirani umjue anayeishi hapo ni nani, na kama ndiye aliyekutapeli unaenda kufungua mashtaka polisi kesi iende mahakamani, mahakama ikiwita atatia mguu tu kwa maana asipotia mguu bado sheria itachukua mkondo. Peleka kesi mahakamani, wajumuishe na hao madalali, aliyekulengesha kwa hao madalali anaweza kukusaidia pia.
 
Kumbe ndiyo maana wanasema SINZA KWA WAJANJA!

Hahahaa, sema wamemkuta mtu mwenyewe siyo m-nazi, ingekuwa wengine wana roho nyembamba unazama ndani na glock unaanza kutandika kuku kwwanza, atatoka wenyewe mikono juu!
 
Hahahaa, sema wamemkuta mtu mwenyewe siyo m-nazi, ingekuwa wengine wana roho nyembamba unazama ndani na glock unaanza kutandika kuku kwwanza, atatoka wenyewe mikono juu!

Shida yote ya nini? Kama kweli wamemtapeli basi aende Tanga - Pangani na akirudi huko aanze kuhesabu maturubai siku baada ya siku...kule hairudi bure!
 
Pole sana;
Dar tunatapeliwa hivyo hivyo ila wewe wamekufaidi sana.
 
Shida yote ya nini? Kama kweli wamemtapeli basi aende Tanga - Pangani na akirudi huko aanze kuhesabu maturubai siku baada ya siku...kule hairudi bure!

Hahahhaa, watu wengine uchawi huwa haufany kazi mkuu!
 
Ahsanten ndugu!Million tatu nililipa cash!the rest kwa tigo pesa kwan alinambia amefiwa anazika Mpwapwa kwa hiyo nimtumie ili awatumie mafundi wamalizie ukarabati
Mkuu unalipa milioni sita pasipo kushirikisha ushahidi wa maaana wala mwanasheria?
 

Thank you!Noted
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…