Hekaya za Abunuasi
Senior Member
- Jan 6, 2014
- 166
- 38
- Thread starter
-
- #81
Kwenye sheria za mikataba ya kuuziana ardhi/nyumba kuna principle moja inasema "caveat emptor" aka "let the buyer be aware".
Sheria hii inatokana na kwamba wakati muuzaji huwa anakuwa na habari kuhusiana na ardhi/nyumba anayotaka kuiuza, mara nyingi mnunuaji anakuwa hana habari za kutosha kuhusiana ardhi/nyumba anayotaka kuinunua.
Kwa hiyo, muuzaji anaweza kuficha baadhi ya habari muhimu kuhusiana na anachouza. Hapo mnunuaji lazima afahamu hizo habari. lazima awe makini kwa kujidhihirisha mwenyewe mmiliki halali wa hiyo nyumba.
Ukiwa kama mnunuaji ulitakiwa ujue kwanza mmilikaji halali wa hiyo ardhi/nyumba. Kwa maelezo yako, inaonyesha kuwa hukufanya checks kujua kama kweli "muuzaji" alikuwa mmiliki halali wa hiyo nyumba.
Yaani mtu hawezi kukupigia simu na kukuambia kuwa "njoo kwa Remi kuna nyumba" na wewe ukaenda, then baada ya kuiona nyumba ukaenda moja kwa moja "makongo kwa Mwenye nyumba" na kumlipa bila hata kuhakikisha kuwa kweli yeye ni mmiliki halali wa hiyo nyumba.
How come unampa mtu pesa zote hizo bila hata kumtaka adhibitishe kwanza kuwa anamiliki hiyo nyumba kisheria? Even the richest person on earth hatafanya hivyo.
Pole kwa yaliyokukuta lakini as a buyer, you should have been aware. I hope wewe na wengine watajifunza ili in future msiingizwe tena mkenge kiulaini hivyo. Hata hivyo, this is not one of those things you should have learned in a hard way.
Mkuu MODFIELD! ID isikusumbe soma vizuri hiyo post chukua hii kama changamoto!Nitakapo wapata hawa watu nitakuja tena kwenu na nitawapiga picha
milioni sita si ungejenga yako?Jerry wamenitapeli million sita
Kimsingi Hekaya nimeguswa sana na hiki kisa kwa sababu naelewa namna pesa inavyopatikana kwa tabu. Nakupa pole sana ila ufanyie kazi ushauri nilokupa. Polisi wadogo wakianza kukuzingua nenda mbele ikiwezekana mpaka kwa Kova, usoiwe mwoga nenda tu utapata msaada. wapo watakaoguswa na hili
Mtazamo!Mwenye nyumba halisi wa ile nyumba ya Sinza kumbe anaishi Arusha lakin huyu Fred alitupeleka kulipia Makongo juu kwenye nyumba tunaambiwa ni ya MOSHI Majungu alikuwa mchezaji wa zaman wa Yanga
milioni sita si ungejenga yako?
Ahsante mkuu!Dalali wa kwanza tulimkamata tukampeleka pale polisi alikutwa na million mbili na nusu na simu NNE akalala polisi siku moja kesho yake akawa huru
Mkuu pole sana usijali pesa yako utaipata tú punguza jazba relax.....jasho la mtu halipotei ivi Ivi kabla ya kuendelea Iyo Ml6 ulotoa ni kodi ya mda gani?
na chenji inabaki,hivi ile mansion yako imeisha nije kuzindua?milioni sita inajenga nyumba!??
aiseee
pole sana
kwa wakati ujao ni vyema mikataba ya upangaji ihusishe viongozi wa serekal za mitaa ambao mara nyingi wanafahamu wamiliki wa nyumba.
mkuu hiyo pesa ni nyingi but umeilipa kienyeji sana daa.. once again pole
kova????????Kimsingi Hekaya nimeguswa sana na hiki kisa kwa sababu naelewa namna pesa inavyopatikana kwa tabu. Nakupa pole sana ila ufanyie kazi ushauri nilokupa. Polisi wadogo wakianza kukuzingua nenda mbele ikiwezekana mpaka kwa Kova, usoiwe mwoga nenda tu utapata msaada. wapo watakaoguswa na hili
Nakushauri ukipata tena pesa kana hizo sogea kando ya mji upate kiwanja. Milioni sita unamaliza chumba na kuhamia. Ni pesa ndefu. Achana na kupanga kama kampuni za simu ambazo zinajua tanzania zinapita tu.vyou arwle here to stay for the rest of your life.
Hao madalali matapeli ni kweli wapo.Fred na kuna mama anajulikana mpaka polisi.Mkuu usijekuwa unatuletea Hekaya za Abunuasi humu jamvini mkuu??
Mkuu usijekuwa unatuletea Hekaya za Abunuasi humu jamvini mkuu? Ina maana Moshi Majungu naye Amejiingiza kwenye biashara ya utapeli?
aiseee
pole sana
kwa wakati ujao ni vyema mikataba ya upangaji ihusishe viongozi wa serekal za mitaa ambao mara nyingi wanafahamu wamiliki wa nyumba.
mkuu hiyo pesa ni nyingi but umeilipa kienyeji sana daa.. once again pole
Ha ha na mimi nimeshtuka,chukua r.b kwa ChilisosiMiaka 3 anatafuta mpangaji na anataka kwenda kusoma anasubiri mpangaji?? Hakyanani wewe nawe ni tapeli.