super mimi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 223
- 173
Pale ID zinapoashiria uhalisia wa member..."CATTOON"..by the way all the best
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
bachelor si afadhali,je angekua na cheti cha nacte cha drug dispenser kwa ile course ya mwaka mmoja si angejiona mfamasia kabisaDogo ana ka chet ka addo anatamba mtaani hivi Je angekuwa na bachelor ya pharmaceutical s ndo ungeita press conference [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahah kijana anavunja mbavu zangu huku. Kweli kuna haja ya kuwekwa vipama akili kwenye platforms kama hii.....maana sio kwa akili hizi za bwana oddo.Umedata nini mbona unajijibu mwenyewe [emoji28][emoji28][emoji28]
Ngoja nikupe miaka 5, then nitakuja kufukua hili kaburi....ili utupe mrejesho, umefikia wapi?.Sihiitaji kwan kwa sasa muajil gan domo kelele nyingi sitawezananae mi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikupe miaka 5, then nitakuja kufukua hili kaburi....ili utupe mrejesho, umefikia wapi?.
Naomba uzima tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo sipo concetrated sana na iyo ajir walaaaa msiumize vichwa vyenu kujibu jibu sina haja na iyo ajira kutokana na majibu yenu ya ovyo ovyo waajil gan majibu ya ovyo si ntafanya kazi msinilipe kabisaMi nipo chuo msifikiri kwamba ndo nimesoma addo tu msome vizur nimeomb for short time
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mwehu KBS, utadhani ni wa kwanza kusoma chuo. Vyuo vyenyewe uchwara vya siku hizi hapo huenda unasoma kicertificate ushajiona msomi, wengi wenye mihemko km yko huwa ni vijinga na kupt chuo umpt kwa mbinde. Maliza chuo uje kitaaKwaiyo sipo concetrated sana na iyo ajir walaaaa msiumize vichwa vyenu kujibu jibu sina haja na iyo ajira kutokana na majibu yenu ya ovyo ovyo waajil gan majibu ya ovyo si ntafanya kazi msinilipe kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
***** nini wewe fanya yako! Yangu yatakucheleweshaWewe ni mwehu KBS, utadhani ni wa kwanza kusoma chuo. Vyuo vyenyewe uchwara vya siku hizi hapo huenda unasoma kicertificate ushajiona msomi, wengi wenye mihemko km yko huwa ni vijinga na kupt chuo umpt kwa mbinde. Maliza chuo uje kitaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] msomi wa kwanza kwenye ukoo waoHuyu atakuwa Makonde wa Pwani tu huyu,sio kwa Mishushu hiyo,hapa na Mimi ntapewa Mshushu huo we subiri muone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi we fredy unanitafutia nini mimi umeitwa mbona una mambo ya kike umbea umbea tu ka shoga vile[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] msomi wa kwanza kwenye ukoo wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali mambo yakikaa sawa nitakutafuta, jitahidi usajiliwe na baraza la Famasi.Kama unajion huna duka la dawa kaa tu kimya wemwenyew mchokano tu ka mimi ninayetafut ajir ungekuw boss si ungeajir watu! Conc riquid we! Unalew kupitiliz ndo man ujielew
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mie sijaelewa kitu au ameandika kithwahili cha "Ntwara"?ingekuwa kazi inaombwa hivi nina uhakika ofisi nyingi zisingekuwa zinaajiri watanzania
Mboni kithwahili chako cha darasa la nne?Stak lindi nataka mtwar huku mjini mi nipo chuo natak nikirud chuo ndo nikuuzui ni mzoefu nimefanya kazi hospital idala ya dawa miaka sita
Sent using Jamii Forums mobile app
Maiti wa hivyo mnamfunga kamba mikononi na miguuni kisha mnamgonga viboko vya maana wanatuliaga tu!Mzee baba umenikimbusha stori moja pale Mwananyamara makaburini kuna maiti ilikaidi kuzikwa.
Ivi we umetolewa mochwari au mbona una maneno mengi sana!Maiti wa hivyo mnamfunga kamba mikononi na miguuni kisha mnamgonga viboko vya maana wanatuliaga tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Miss cartoon Nimemic mchambo Tena mi niko ntwalaa ukuuku alaf cjw utaweza kutofautisha Kat ya ntu n gonjwa na ntu nzma maana wote twatembea kiuchovchov