Nimesoma Addo mwenye duka la dawa Mtwara

Hahahahah huyu mwana sijui Dogo mbona kama anapaniki sana relax Mzee hata mm hapa ni mfamasia lakini inaonyesha hata professional ethics za pharmacy sector huzijui

Sema nini nyie ADDO huwa mko shallow sana kwenye maswala ya dawa mnajua only dispensing tena juu juu

Nimecheka sana hunajijibu mwenyew yaan full kituko all the best mwana nategemea sh*ts zako kwa Ku reply hii comment yang.
 
Huu mwandiko tu (bax,aixee,yourx,cloxe)
Samahani wewe ni ME/KE?
 
Hahahahah huyu mwana sijui Dogo mbona kama anapaniki sana relax Mzee hata mm hapa ni mfamasia lakini inaonyesha hata professional ethics za pharmacy sector huzijui

Sema nini nyie ADDO huwa mko shallow sana kwenye maswala ya dawa mnajua only dispensing tena juu juu

Nimecheka sana hunajijibu mwenyew yaan full kituko all the best mwana nategemea sh*ts zako kwa Ku reply hii comment yang.
Na ww ujiit mpharmasia mfamasia bongo hata dawa ujui kutengeneza unategemea nchi jiran je ungekuw unatengeneza wewe si tungekoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora ungesema we daktar kidogo ningekuona wa mana ety mi mfamasia doctor ndo kila kitu we si kaz yako kunakir tu mambo ya dr ku mdagnos mgonjwa ndo kaz kugawa dawa nako kazi ata mtoto ukimfundish leo kesho anagawa

Dr anaheshimiwa ushawah ona vituo vya dr mtaan kama ilivyo secta ya dawa kila mtu anajiuzia tu ata ukienda duka la kawaid mtu anauz panadol tu ha ha ha kila mtu mfamasia usinifurahixh mie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakudanganya bongo dawa hazitengenezwi nenda shely's mwenge ukaone watu weusi kama wewe wanatengeneza au nenda ifakara ukaone watu wanakitengenezea artemether+lumefantrine we ukija kitaa unaita mseto.

The biggest challenge bongo ni vichache coz vinahitaji a lot of capital for assessments and establishment OVER CASE CLOSED.
Na ww ujiit mpharmasia mfamasia bongo hata dawa ujui kutengeneza unategemea nchi jiran je ungekuw unatengeneza wewe si tungekoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea vitu shit na huvijui sasa huyo Dr wako yuko shallow sana interms kwenye pharmacology unaelewa sjui yaan hyo Dr ako ndo huwa anakuja pharmacy department ya hospital husika kupata ushaur wa dawa husika hawajui dawa

Wao wame specialize kwenye diagnosis sana kama vitu hujui kaa kimya tunachoshana mda wa kulala na furaha za man u kufungwa.
Bora ungesema we daktar kidogo ningekuona wa mana ety mi mfamasia doctor ndo kila kitu we si kaz yako kunakir tu mambo ya dr ku mdagnos mgonjwa ndo kaz kugawa dawa nako kazi ata mtoto ukimfundish leo kesho anagawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo ana ka chet ka addo anatamba mtaani hivi Je angekuwa na bachelor ya pharmaceutical s ndo ungeita press conference [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787] aaaaah mbavu zangu

Sent using Brain
 
Pregabalin usisumbue watu kama hujui vitu ni heri uombe kurekebishwa kuliko Ku criticize halafu huna point

Last nitajie mechanism ya hilo jina unalotumia ambalo ni la dawa pregabalin ligaba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom