Ulitakaj I don t have much time for typing kwan haijaelewek!ingekuwa kazi inaombwa hivi nina uhakika ofisi nyingi zisingekuwa zinaajiri watanzania
Aisee ni kazi kweli unataka au hujitambui?unadhani kwa ukaidi unaounyesha hapa hata kama mtu akawa interested na wewe atahangaika kukutafuta?
Mkuu hicho kiingereza cha wapi?
We unatakaj onyesha chako tukionMkuu hicho kiingereza cha wapi?
MGC
mtwara mjini sio?
Stak lindi nataka mtwar huku mjini mi nipo chuo natak nikirud chuo ndo nikuuzui ni mzoefu nimefanya kazi hospital idala ya dawa miaka sita
Na chet cha addo ninachoStak lindi nataka mtwar huku mjini mi nipo chuo natak nikirud chuo ndo nikuuzui ni mzoefu nimefanya kazi hospital idala ya dawa miaka sita
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww unazan mi nina shida kiivy baxMleta mada punguza nyodo
Mambo sio marahisi kama unavyodhani alaf wewe sio mtu wa kwanza kusoma hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mana nimekuambia nipo chuo ka hautak acha! Kama hauna kabisa mtu ningekushikia kwa mda ule mda ambao siingii darasan ukinip ela ya kul tosh sio ule mshahar wa mwez coz ntakuw nakuuzia mda mchach
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]