Nimesoma Addo mwenye duka la dawa Mtwara

Unaongea vitu shit na huvijui sasa huyo Dr wako yuko shallow sana interms kwenye pharmacology unaelewa sjui yaan hyo Dr ako ndo huwa anakuja pharmacy department ya hospital husika kupata ushaur wa dawa husika hawajui dawa

Wao wame specialize kwenye diagnosis sana kama vitu hujui kaa kimya tunachoshana mda wa kulala na furaha za man u kufungwa.
Umeshasema watu sio wewe chuoni wanatengeneza dawa tangu lini kuna kiwanda huko kama sio mnasoma theory tu aliyekuambia baadh ya dawa azitengenezw Tanzania nani wagonjwa wenyew hata hawaziamin dawa za Tanzania watakuambia mi nataka ya kenya au china huko! Unawaza! Limekukoa ilo ndo mana umejibu na hili likikukoa nitakuona soon hapa ukileta porojo zako ety niambie mechanism ya dawa uliyoiyandik wemwenyew unakaririshwa huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ety dr ajui dawa na we bila dr ungejua mgonjwa umpe dawa gan ili hapone au ndo unajua mechanism tu mfamasia mfamasia mfamasia mwenyew wa diploma je ungekuwa wa nasters kasimame ofisini huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sibishan na mfamasia wa diploma mi kama ume specialize iyo pharmacology endelea kutuma utumbo wako hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mheshim dr wewe ndo mana ata range za mshahar zipo tofaut we unaweza kujifananisha na daktar iyo mechanism ata ukiingia youtube unaelekezwa lakini kuja kugundua dignosis ya mgonjwa utagoogle! Ha ha ha ha! Unachekesha

Iyo mechanism naweza nika google nikakujib hapa na wemwenyew ukanikubar! Iv unazan kumfanyia mtu operation mchezo kila kinatolew alafu kina pangwa upya na mtu anaamka tena binafsi namweshim sana dr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nurse namweshim ila mfamasia wa mwisho huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo hapo vitu tuna google tu sikuiz sio lazima ukae darasani
IMG_20190411_042653_074.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Non sense.
Umeshasema watu sio wewe chuoni wanatengeneza dawa tangu lini kuna kiwanda huko kama sio mnasoma theory tu aliyekuambia baadh ya dawa azitengenezw Tanzania nani wagonjwa wenyew hata hawaziamin dawa za Tanzania watakuambia mi nataka ya kenya au china huko! Unawaza! Limekukoa ilo ndo mana umejibu na hili likikukoa nitakuona soon hapa ukileta porojo zako ety niambie mechanism ya dawa uliyoiyandik wemwenyew unakaririshwa huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapepe Umepanick Relax...nakupa sasa nenda community pharmacies uone watu wanasolve clinical cases bila prescription

Niko online lete mazungumzo.
Ety dr ajui dawa na we bila dr ungejua mgonjwa umpe dawa gan ili hapone au ndo unajua mechanism tu mfamasia mfamasia mfamasia mwenyew wa diploma je ungekuwa wa nasters kasimame ofisini huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi we me au ke maana unaji reply/coute mwenyew huku unajichekesha

Back
Top Bottom