Taratibu za kufungua duka la dawa

Taratibu za kufungua duka la dawa

Harmoraj

Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
52
Reaction score
55
Naomba kwa anaefahamu taratibu za kufungua duka la dawa kwa hivi sasa ziko vipi
Mimi nina cheti cha umiliki wa duka la dawa ila sio mfamasia

Natanguliza shukran 🙏
 
Kuna Kiosk na Duka, labda taja mtaji wako ili tuone kama ni duka au kiosk/outlet
 
Back
Top Bottom