Nimesoma Addo mwenye duka la dawa Mtwara

Nimesoma Addo mwenye duka la dawa Mtwara

Aisee ni kazi kweli unataka au hujitambui?unadhani kwa ukaidi unaounyesha hapa hapa hata kama mtu akawa interested na wewe atahangaika kukutafuta?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Acha kunyanyasa Watu. Bora huyu anawawakilisha ukweli. Kama humwajili kwa kuwa alivyojitengenezea bora usimwajili. Mimi nimempenda bite. Zama za kuogopana hazipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha tu unazan mi nakulazimish mwenye uhitaji atanitafut

Sent using Jamii Forums mobile app
Usichojua ni kwamba hao unaowajibu ndio Wenye kazi so unakosa kazi kizembe sana..ni kweli huna muda wa kuandika ila unapoulizwa kitu hata kwa njia mbaya wewe Jibu kistarabu maana hao wachokozi ndio maboss wenyewe.

(nimekumegea kasiri) SEMA ndo ivyo kazi ushakosa kaombe FACEBOOK huku JF hupati tena labda ubadilishe ID
 
Back
Top Bottom