Nimesoma Addo mwenye duka la dawa Mtwara

Nimesoma Addo mwenye duka la dawa Mtwara

Nenda kasome YouTube course ya pharmaceutical sciences ukahudumie watu.
Mheshim dr wewe ndo mana ata range za mshahar zipo tofaut we unaweza kujifananisha na daktar iyo mechanism ata ukiingia youtube unaelekezwa lakini kuja kugundua dignosis ya mgonjwa utagoogle! Ha ha ha ha! Unachekesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hali hio usije kwa hasira badala ya dawa 1 x 3 uandike 3 x 1 ukatuondelea ndugu zetu huko Mtwara
 
Humu kuna watoto sana kama huyu juu hapa[emoji121]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom