Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,617
- 59,750
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umedata nini mbona unajijibu mwenyewe [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umedata nini mbona unajijibu mwenyewe [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Umedata nini mbona unajijibu mwenyewe [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Don t think that every body is crazy sorry for that! That is my chet is not yourx! **** u
Sent using Jamii Forums mobile app
Don t provoke me! You don t have even that pharmacy! Cloxe your mouth please! I don t want!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa una shida sana.Ni shida yako kuu ni kutokujua kwamba una shida.Ila nakutakia kila heri katika utafutaji wako. ADO ndo nini
Ebu mtafute kazi za kufanya kama mna mabando ya chuo msinisumbue mimi kutuma tuma message za kijingaHahaaaa una shida sana.Ni shida yako kuu ni kutokujua kwamba una shida.Ila nakutakia kila heri katika utafutaji wako. ADO ndo nini
hii ndo kazi yanguEbu mtafute kazi za kufanya kama mna mabando ya chuo msinisumbue mimi kutuma tuma message za kijinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Bas usinitumie mimi tafut sehem nyingin ya kutuma mambo ya kishenzihii ndo kazi yangu
Ukubwa upo wap farakuna haja ya kuthibitisha umri na elimu kuipa hadhi zaidi JF. Huu ni utoto wa hali ya juu sana
Mkuu fahamu kitu kimoja,Unapokuja mtandaoni jifunze,Ukishindwa kujifunza fundisha wengine.Kama vyote havikufai basi kuna tatizo mahali.Ila samahani kwa kukukwazaBas usinitumie mimi tafut sehem nyingin ya kutuma mambo ya kishenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nishagair iyo kaz ebu kalaleni bas mnanipigia kelele wapishen wakubwa waje bas! Mana watoto kelele nyingi mno mtaniharibu masikio mie
Kwani humu muajiri utamtambuaje huenda unaemtukana ndio muajiri mwenyewe huyo kuwa na adabu mimi sina uwezo wa kukuajiri ila sijapenda majibu yako hata kama yupo muajiri hawezi kukupa hiyo kazi kwa tabia hii unayoionesha hapa.
Sihiitaji kwan kwa sasa muajil gan domo kelele nyingi sitawezananae miKwani humu muajiri utamtambuaje huenda unaemtukana ndio muajiri mwenyewe huyo kuwa na adabu mimi sina uwezo wa kukuajiri ila sijapenda majibu yako hata kama yupo muajiri hawezi kukupa hiyo kazi kwa tabia hii unayoionesha hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ni kazi kweli unataka au hujitambui?unadhani kwa ukaidi unaounyesha hapa hapa hata kama mtu akawa interested na wewe atahangaika kukutafuta?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk