Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Nikweli lakini labda kama alkuwa mwaminifu sawa.
Wewe ni mwaminifu? Au yeye tu ndio wanatakiwa kuwa mwaminifu? Hii concept ya uaminifu unaitumia vibaya, usiitumie tena! Angekua habebi mimba Kama wewe basi hata akiouyanga huko ataonekana "mwaminifu*?
 
Habari za j"pili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina.

Soma kwa makini kuna fundisho hapa

Jamani nimekuja humu ndani kupata suruhisho la masaibu yanayo nisumbua na kunipa stress zaidi katika wakati huu.

Hii changamoto naona inanilemea tofauti na kupata msaada wenu ntaishia pabaya.

Maada:

Me nimekuwepo na girl friend ambae tumezoeana takriban mwezi mmoja,, tumezoeana siku had siku baadae mwafaka ukawa baadae tuoane.

Amekuwa akija kunitembelea kama kawaida geto,, lakini tokana na nguvu ya shetani kutuvaa tulijikuta tumeanguka.

Ilikuwa tarehe 24 ya mwezi wa 4 usiku ndo tulishiriki ngono lakini pia katika kushiriki binti aliniambia nikanunue soda ya Coca Cola kwa ajili ya kutumia kama kinga,,

Basi sikuwa na hiana nikafata baada ya kunikazia kuwa yupo kwenye siku za hatari yasije tokea mengine ya mimba,

Nilipo ileta basi tukaendelea na mambo mengine baada ya kumaliza alimimina na kuanza kunywa taratibu,,nikamuuliza kazi yake, anadai anapo kunywa zile shahawa zinatelemka zenyewe tu,

Basi na kweli zikawa zinatelemka anajifuta,,

Baada ya siku hiyo kupita tukakutana tena tarehe 28 mwezi 4 huo huo mchana.

Baada ya kumaliza, siku hiyo akaanza kudai tumbo linamuuma,, nikamwambia itakuwa hali tu ya tumbo,, siku ya pili hivyo hivyo basi ikafika tarehe 6 ya mwezi wa 5 akadai haoni siku zake na siku ya pili yake hakuaona ambayo ni tarehe 7,mpaka sasa anasema yupo dry.

Nikamsihi itakuwa mabadiliko ya hali ya hewa lakini ananambia hii itakuwa mimba,, wakati huo sipo nae maana yupo kwao alisafiri hiyo tarehe 6 tokana na changamoto alizokuwa akipata alipo kuwa anaishi.

Mimi nikamsisitiza kapime tuone tatizo nini(yupo kwao mda huu) anasema ntapima tu lakini itakuwa mimba.

Nimemtolea uvivu nikamtega maswali, alidai breed aliingia tarehe 6 mwezi wa nne akatoka tarehe 9 na mimi nilikutana nae tarehe 24 kwa kinga ya soda,tarehe 28 bila kinga,.

Nimefatilia kuhusu mzunguko maana me si kweli alikuwa kwenye hatari ya kupata mimba, na nimemhusisha imekuwa kesi,nikamwambia aniambie ukweli kama hakuwa na mahusiano huko nyuma kabla yangu lakini kakana.kalia sana eti hakutegemea kama ntamwambia mambo kama hayo.

Mara mimi najua hii mimba niyako hata ukikataa,, lakini mimi moyo wangu hauna amani kabisa juu ya swala hili,, nahisi kubambikiwa mzigo usiyo kuwa wangu,.

Ilikuwa imebaki kidogo tu tuanze maisha ya ndoa maana wazazi taarifa wanazo kuwa runataka kuoana,,

lakini amani moyoni mwangu haipo nahisi harufu ya usariti imepita.

Nisiwachoshe sana wakuu swali langu.

Kwa wataalamu wa mzunguko wa hedhi hasa wanawake mnisaidie je nikweli huu mzigo ni wangu?

Maana mimi nikiangalia siku zote tulizo shiriki siyo siku za kushika mimba kufatana na huo mzunguko wake.

Asije ikawa mimba alikuwa nayo halafu kaja kutegesha kwangu.

Nikomee hapo wakuu, msaada wenu ni mhimu sana.
Asanteni.
Naomba nikuulize hili swali,Ni changamoto gana alizo kuwa anapata hapo alipokuwa anaishi then nitajua mimba ni Yako au lah
 
Naomba nikuulize hili swali,Ni changamoto gana alizo kuwa anapata hapo alipokuwa anaishi then nitajua mimba ni Yako au lah
Changamoto za kifamilia tu mkuu maana alikuwa akishi kwa ma mdogo wake na wewe unajua tu mambo ya kuishi kwa mtu, akikuchoka visa vingi.
 
Wewe ni mwaminifu? Au yeye tu ndio wanatakiwa kuwa mwaminifu? Hii concept ya uaminifu unaitumia vibaya, usiitumie tena! Angekua habebi mimba Kama wewe basi hata akiouyanga huko ataonekana "mwaminifu*?
Uaminifu inatakiwa kwa wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom