Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Hapo kwenye cocacola kuzuia mimba ndio kituko yani waafrika wengi ndio maana ni wepesi kuamini ushirikina.
Kama nakuona dogo alivyokuwa anakimbilia dukani kwa Mangi kununua Coca ya baridi, yaaani sehemu ya dakika tano anaona kama vile mwaka, wallah hata angekutana na Simba angemvamia tu muda, yaani akili yote imehamia kwingine kabisa
 
Hakika mkuu unayo sema nilienda kasi ya 4G na bahati nzuri nikakuta maduka hayajafungwa.
 
Ila dunia ina mambo ya kipuuzi sana, yaani hii tarehe siku hio mchana nilikua nimebanwa kinyama na wale mbuzi pori kwa maswali hadi natokwa jasho kumbe kuna mtu anatia mimba huko! Dah
Mbuzi pori gani mkuu.
 
As long umekula dry, na mzunguko wake haujui hapo pagumu kujitoa.

Acha mabaharia wake wakupe mbinu manake hawashindwagi kitu.

Binafsi kupitia sredi zako nimeona kwamba wewe bado mdogo na ni 'kadinyaji sana' ila maturity na mindset ya kuingia kwenye ndoa bado bado.
HAhahahaha
Hapo kwenye kadinyaji Sasa

Umenikumbusha mbali sanaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom