Tango pori la coca.liletwa humu Jfmhh coca cola jmn sio kwa tango pori hilo...
Alaa kumbeTango pori la coca.liletwa humu Jf
Ni tango pori hiloMe mwenyewe nilishangaa sana.
Lea tu mkuu anaweza akaja kuwa Rais badae
Huo wako boss wangu ukiendelea kukaza ndio unaongeza aibu huko mbele katoto katatoka copy hadi nukta.Hahahaa kwahyo niukubali mzigo?
Umasema tuishi nao kwa Akili kumbe we ndo zezeta huna akili (samahani lakin) kwaio ulivyoambiwa Soda ya coca inazuia mimba nawee ukaamini kwa asilimia zote?? Lea mtoto nmkuu umevuna ulichopata BAADA YA STAREHE NI MAUMIVU)
Why BrightonMkuu hapo tuzungumze mtoto tumchagulie jina gani?
Akiwa wa kiume muite Brighton.
Hata Mimi niliamini piaalaa kumbe