Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,367
mkuu, taratibu, mambo yanayohatarisha kuibomoa jamii ndo haya tunayoyakemea hapa.Hii thread inastahili kufungwa immediately kwasababu haya mambo yaliyopostiwa humu hayajengi jamii tunayoitaka Tanganyika. Nadhani tunakotaka kuelekea ni kubaya na mkumbuke kuwa:- Mkiambiwa habari yoyote na mtu msiyemjua vizuri(eg. mwana jf yoyote ambaye kimsingi hafahamiki openly may be na member yeyote/wengi/wote) ni sharti habari hiyo ichunguzwe kwa makini sana. Tusihukumu be! kwa sababu ya eeh!
Halafu usifikiri kwa vile wewe huwajui watu basi inawafanya hao watu wawe wazushi.
Kama ni swala la kufahamika wengi tu tunamfahamu nguli.