Nimesikitishwa sana Leo na mambo ya udini

Status
Not open for further replies.
Hii thread inastahili kufungwa immediately kwasababu haya mambo yaliyopostiwa humu hayajengi jamii tunayoitaka Tanganyika. Nadhani tunakotaka kuelekea ni kubaya na mkumbuke kuwa:- Mkiambiwa habari yoyote na mtu msiyemjua vizuri(eg. mwana jf yoyote ambaye kimsingi hafahamiki openly may be na member yeyote/wengi/wote) ni sharti habari hiyo ichunguzwe kwa makini sana. Tusihukumu be! kwa sababu ya eeh!
mkuu, taratibu, mambo yanayohatarisha kuibomoa jamii ndo haya tunayoyakemea hapa.
Halafu usifikiri kwa vile wewe huwajui watu basi inawafanya hao watu wawe wazushi.
Kama ni swala la kufahamika wengi tu tunamfahamu nguli.

QUOTE=Mipangomingi;2456424]Hii thread inastahili kufungwa immediately kwasababu haya mambo yaliyopostiwa humu hayajengi jamii tunayoitaka Tanganyika. Nadhani tunakotaka kuelekea ni kubaya na mkumbuke kuwa:- Mkiambiwa habari yoyote na mtu msiyemjua vizuri(eg. mwana jf yoyote ambaye kimsingi hafahamiki openly may be na member yeyote/wengi/wote) ni sharti habari hiyo ichunguzwe kwa makini sana. Tusihukumu be! kwa sababu ya eeh![/QUOTE]

Kwa nn ukweli utolewe? Kwa nn ifungiwe? Haya mambo ya dogma ndio yanayotufikisha hapa tuliko wacha ukweli ufahamike ili watu wajue ukweli na waonywe zaidi ya kila kitu kukanusha na kuficha ukweli wakati matabaka yanaongezeka kila kukicha. Kufahamika ndio nn? Ww unayekanusha tunakujua? Nimepata eneo na ww nenda kathibitishe kama napandikiza mbegu za udini basi nipigwe JF life ban. Na sio kulia lia. Inauma kuona tumefika level ya kushirikiana kiimani zaidi.

Nafahamu kuwa Azam ana ajiri vijana wa dini ya ki-slamu tu kwenye biashara zake nyingi, hasa wale vijana wa ice cream kwenye tricircle.
Ainiumizi kichwa sana, lakini haipendezi hata kidogo.

Nafahamu kuwa Azam ana ajiri vijana wa dini ya ki-slamu tu kwenye biashara zake nyingi, hasa wale vijana wa ice cream kwenye tricircle.

Ainiumizi kichwa sana, lakini haipendezi hata kidogo.

Basi hali ni mbaya, sidhani kama ni sahihi hata kidogo, kwa hio kama Waislam Allah akawajalia mafanikio kibiashara kuliko wa Kristu basi wakristu watakuwa kwenye hali mbaya sana

Jee wenye nyumba wanaokataa kuwapangisha wahaya na wakongo tusemeje?maana wapo wengi wenye tabia hiyo

Mkuu Birigita pita hapo na wewe upate data. Nimewaambia nataka kuuza nguo za jumla frm Thailand na sio pombe wala mdudu. Walinzi wakasema "kaka hapa nisikufiche ni kwa waislam tuu, na ukienda watakutajia hadi mmiliki kwa jina"
DU! Wabongo kwa kushupalia Udaku ndo wenyewe...yaani kauli ya mlinzi..tena huenda ni mmasai, anaipa uzito mkubwaaaaaa! Kwanini asimtafute mhusika ama msemaji rasmi wa kitega uchumi ili apate uhakika...ama ameshaona kuwa ameshachelewa kutuma maombi ama ameenguliwa wakati wa kushindanisha maombi ndo anakimbilia kulalam ili aonewe huruma!!!!

Roho mbaya zenu ndo zinasababisha tuwachukie we angalia
mfano wa OIC hamtaki tujiunge nayo si kwa lingine isipokuwa
ni kuogopa kuwaona waislamu wakinyookewa na mambo yao
wabaya sana ninyi.

DU! Wabongo kwa kushupalia Udaku ndo wenyewe...yaani kauli ya mlinzi..tena huenda ni mmasai, anaipa uzito mkubwaaaaaa! Kwanini asimtafute mhusika ama msemaji rasmi wa kitega uchumi ili apate uhakika...ama ameshaona kuwa ameshachelewa kutuma maombi ama ameenguliwa wakati wa kushindanisha maombi ndo anakimbilia kulalam ili aonewe huruma!!!!

Mkuu sihitaji kuonewa huruma, huu ni uhalisia ukisoma thread hapo juu utaona nimempigia mwenyewe na majibu aliyotoa. Na hata wakazi wa eneo lile wanalalamika tabia ya huyo landlord.

Hio ni sector moja tu, Nenda Oil Com kaombe kazi utapata majibu. Nenda Amana Bank pale PPF towers. Acha kukurupuka na ku consult Masaburi.

huenda mwenye hiyo nyumba wale maharamia wa kisomali..siddani kama mtanzania wa nyerere anaweza akawa na udini kiasi hicho.

kama wakristro nao wakifanya hivyo na waislam wakanyimwa sehemu za kupanga,naamini hio mada wataipeleka msikitini na kwenda kuihubiri huko misikitini ili kuzidi kuonyeshwa kuwa wanaoanewa,
sijui imani nyingine zina matatzo gan

Roho mbaya zenu ndo zinasababisha tuwachukie we angalia
mfano wa OIC hamtaki tujiunge nayo si kwa lingine isipokuwa
ni kuogopa kuwaona waislamu wakinyookewa na mambo yao
wabaya sana ninyi.
ndugu chuki zako hazikusaidii.fanya kazi acha ndoto za kuibuka kwa misaada misaada ya kibaguzi ndiyo iliyomponza gadafi.
tanzania itajengwa na watanzanzania si wakristo wala waislamu.

Visjisenti,wewe unaweza ukawa ni miongoni mwa watu au naweza sema vijana wa kiisalam u ambao wanafanya waislam na uislam udharauliwe,mimi ni muislam,lakini sion kama watanzania au waislam mambo yetu yatanyooka ikiwa tu tutajiunga na OIC,,,,,kinachotufanya waislam waililie OIC si kingine ni misaada,kwanin waislam tuwe watu wa kulialia na misaada,sasa leo unasema mabo yetu hayanyooki kwakuwa hatujajiunga na OIC?????wewe acha mambo zako wewe,,,,,,,waislam tusiwe kama vilema kulalamika tuuu hatusaidiwi,,,,,,,,hao waliopo OIC wananufaika na nini??????Gadafi ni OIC MEMBER mbona siwaoni wala kuwasikia wakimsaidia au kutoa matamko??????VOJISENTI.........USIUDHALILISHE UISLAM NA WAISLAM,,,,,,uislam unapiga vita kuombaomba
Roho mbaya zenu ndo zinasababisha tuwachukie we angalia

mfano wa OIC hamtaki tujiunge nayo si kwa lingine isipokuwa

ni kuogopa kuwaona waislamu wakinyookewa na mambo yao

wabaya sana ninyi.

Hiyo inakera ingawa haishangazi sana, huku kwetu jamaa wanasema wazi wazi kuwa "Ndugu wa muislam ni muislam mwenzie". Jamaa washajitenga siku nyingi kwa dini yao, dawa ni kuwapuuza tu.

Ni kinyume cha sheria na misingi ya haki za binadamu kumbagua mtu kwa Hali yoyote ile, iwe kwa dini yake, jimsia, umbile, rangi ya ngozi yake, nk. Serikali na vyombo vya sheria vinapaswa kufuatilia malalamiko km haya yanapojitokeza na kuchukua hatua.

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom