Dada yangu anaibiwa
Inaweza kuwa kweli katika imani yenu yapo hayo, maana hata wale wasioruhusiwa kuoa kuleeeee, si unapajuwa wapi? wameamua kuchepuka na vitoto vidogo mpaka Umoja wa Mataifa inapiga kelele..
Kwi kwi kwi teh teh teh!
Ushauri wako????!!!Kuna wanaume wapuuzi na wenye akili za kipuuzi. Aangalie anavyotafuta nafasi ya kuongea naye asimrahisishie jamaa kumgonga na yeye. Yawezekana jamaa huko aliko anafikiria namna ya kummega ili akae kimya kabisa. Achana na wanaume wanaoongozwa na kichwa cha chini!!!
dadako ameshavumilia makubwa zaidi ya hayo .
usitake jumba bovu likuangukie!
watabambana wenyewe!
Mwanaume hafumaniwi wewe labda wyf yupo long period.
loyda pole kwa ushauri unaopewa, dah. Vumilia ndo walimwengu.
Habari zenu wana MMU
Mimi nimekuwa nikisoma tu vile mnashauri watu n mimi ni mgeni humu naamini mtanipa ushirikiano
Jana nilienda club ile tupo na danc nikamuona shemeji yangu yupo na gal mwingine karbu kabisa na nilipokuwa mi
Baada ya kuniona aliogopa kabisa mimi nikamsalimia nikafanya kama hakijatokea kitu
Niliumia kuona yupo anakis kis na dam mwngne akati ana wife Yake!
Nafikiri nimwambie my sis lakn naogopa ntaaribu ndoa yao nafikiri pia nimwambie shem vile sikupenda awache michepuko
Naomba mnijuze wadau nimweleze my sista?
Kuwa club na msichana ndiyo kuchepuka?
Ulitaka akugonge wewe!? Wewe mwenyewe uliyekuwa nae ni mume wa mtu.
kumbe mgeni eeh ok ngoja nikuchumbie humu humu miss chaga, strong lady evlyn salt, heaven on e , romantic eyes please naombeni mniunganishie kwa huyu binti lol.,.
Mkuu acha tu ndo mara yangu ya kwanza kuomba ushauri lakn ni kama nina ugomvi na baadhi ya watu teh binadam wengne bna