kwani wanaofika huko unadhani huwa wanafikaje?
Ha ha eeeh ama kweli beberu wekwa mwanaume ni ruksa kutoka nje....ingekuwa ni mke ndie anachepuka ningekuwa na ushauri
Kama vipi kaushaaaa,...
Jana nikisema unapoamua kuoa inabidi u-sacrifise vitu vingi ikiwa pa1 na starehe kama hizo
We una uhakika haujumiwi?
Kinachokuuma hasa nini labda my dear???
Huyo dada'ko wameoana na huyo "Shemeji" yako au wanafanya zinaanza tu?
Atii!!!!kwa mwanaume ni ruksa kutoka nje....ingekuwa ni mke ndie anachepuka ningekuwa na ushauri
Knacho muuma n dada ake anasaltiwa
na wewe subiri uolewe ndoa ya watu achana nayo.
hivi wewe unajuwa kusoma au unabwata tu hapa? unajuwa maana ya ndoa?
hiyo ngumu kumeza...akuna mwanaume asie chepuka, kikuwa ni heshima na kujali afya