tena akaambiwa ye ndo anachepuka na shemejiye...!!Utakuja ambiwa kuwa we ndio unaharibu ndoa ya watu
Habari zenu wana MMU
Mimi nimekuwa nikisoma tu vile mnashauri watu n mimi ni mgeni humu naamini mtanipa ushirikiano
Jana nilienda club ile tupo na danc nikamuona shemeji yangu yupo na gal mwingine karbu kabisa na nilipokuwa mi
Baada ya kuniona aliogopa kabisa mimi nikamsalimia nikafanya kama hakijatokea kitu
Niliumia kuona yupo anakis kis na dam mwngne akati ana wife Yake!
Nafikiri nimwambie my sis lakn naogopa ntaaribu ndoa yao nafikiri pia nimwambie shem vile sikupenda awache michepuko
Naomba mnijuze wadau nimweleze my sista?
Daaah hizi ndoa ukifikiria waweza amua usiolewe
Napata hard time sana of course inaniuma pia
Huu uzi unakoelekea si kuzuri haya endeleeni ila si vema kuharibu mada za wenzenuInaweza kuwa kweli katika imani yenu yapo hayo, maana hata wale wasioruhusiwa kuoa kuleeeee, si unapajuwa wapi? wameamua kuchepuka na vitoto vidogo mpaka Umoja wa Mataifa inapiga kelele..
Kwi kwi kwi teh teh teh!
Ulitaka akugonge wewe!? Wewe mwenyewe uliyekuwa nae ni mume wa mtu.Habari zenu wana MMU
Mimi nimekuwa nikisoma tu vile mnashauri watu n mimi ni mgeni humu naamini mtanipa ushirikiano
Jana nilienda club ile tupo na danc nikamuona shemeji yangu yupo na gal mwingine karbu kabisa na nilipokuwa mi
Baada ya kuniona aliogopa kabisa mimi nikamsalimia nikafanya kama hakijatokea kitu
Niliumia kuona yupo anakis kis na dam mwngne akati ana wife Yake!
Nafikiri nimwambie my sis lakn naogopa ntaaribu ndoa yao nafikiri pia nimwambie shem vile sikupenda awache michepuko
Naomba mnijuze wadau nimweleze my sista?
Ewe punguani usiyeelewa maana. Umeulizwa wewe? au wewe ndiye uliyeolewa kwenye hiyo ndoa?
Hapo ccta wako mpotezee bt shem mchane laivuu maana atahisi uliona kawaida so ipo cku atakutongoza na wew
Wala wewe sio chanzo ila tu unajukumu la kumuambia kuwa sio poa ingawa anajua ila kukumbushana ni wajibu so kama unajimudu mkumbushe tu tena kirafiki kabisa!!!!!