pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,246
- 3,735
fanya unachojisikia kufanya utakuwa huru
Wewe mwenyewe ulienda club kama mchepuko halafu unataka umwambie dadaako kitu gani? Dadaako mwenyewe anajua club mtu hawezi kucheza peke yake. Halafu unaomba ushauri hapa wakati wengi wao ni michepuko unategemea nini? Ningekuwa ndo huyo shem wako ningekugegeda ili uache kiherehere.
Ndo frst time kuomba ushauri lakn doooh na mitusi natukanwaaaa lol
loyda wala usiofu njo PM mara moja tunong'onezane pliizz
Huu ubabe
Pole rafiki......chukua ushaur utakaoona utakusaidia.Wanaotukana acha nao.
Mkuu acha tu ndo mara yangu ya kwanza kuomba ushauri lakn ni kama nina ugomvi na baadhi ya watu teh binadam wengne bna
Asante kipenz nmekuelewa
ukiomba ushauri humu jiandae kwa yote.......
Ok.....karibu
Habari zenu wana MMU
Mimi nimekuwa nikisoma tu vile mnashauri watu n mimi ni mgeni humu naamini mtanipa ushirikiano
Jana nilienda club ile tupo na danc nikamuona shemeji yangu yupo na gal mwingine karbu kabisa na nilipokuwa mi
Baada ya kuniona aliogopa kabisa mimi nikamsalimia nikafanya kama hakijatokea kitu
Niliumia kuona yupo anakis kis na dam mwngne akati ana wife Yake!
Nafikiri nimwambie my sis lakn naogopa ntaaribu ndoa yao nafikiri pia nimwambie shem vile sikupenda awache michepuko
Naomba mnijuze wadau nimweleze my sista?
Labda sister kunavitu hampi so afanyeje? Mpe Wewe k uone kama atachepuka.
kwa mwanaume ni ruksa kutoka nje....ingekuwa ni mke ndie anachepuka ningekuwa na ushauri
loyda mdogo wangu....Nashukuruni sana kwa ushauri hapa nimejifunza meng iliwezekana nikaharibu kabisa