Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

Habari,

Naomba ku share tukio la jana ktk mkoa fulan hapa bongo

SAA 9 ALASIRI
Nikiwa nmefura kwa hasira namna system ya OTEAS ilivokuwaa inanipa tabu mimi na wezangu kadhaa napigiwa simu na mama yangu mdogo niende hospital faza mdogo anaumwa sn kwan alikuwa haongei kabsa.

SAA 10 ALASIRI
Nafika hospital namcheki mgonjwa kwel n taaaban na alikuwa na mama angu mdogo tu ambaye ndo mkewe. Kwenye ward (hodi) kulikuwa na wagonjwa 3 tu wawil ilikuwaa very terrible mmoja ambaye n kjn wa makamoo ilikuwaa afadhari kidogo ilaa tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale.

SAA 2 USIKU
Kwakuwa kulikuwa hakuna ndg yetu wa kiume aliyekuja kumwona mzee ilibid nilale na mgonjwa muda huo alikuwa hajitambui na niliruhusiwa kulala mulemule na manes.

SAA 4 USIKU
mgonjwa ambaye n kjn mule ndani aliniomba nimfungie net mbu n wengi. Muda huo kulikuwaa na mdada mrembo alikuja kumwona huyo kijn so tulisaidiana kufunga net.kama baada ya sa moja yule mlimbwende alisepa wanaita soo nikaombwa ni take care hata kwa kjn yule bahat zuri mkewe alifka so ndan ya hodi tukawa wauguzi wawil.

SAA 6 USIKU
Mgonjwa huyu ambaye n kjn alikuwa akienda chooni mfululizo yeye mwenyewe huku ameshika drip lkn mara ya nne hvi kwenda toilet alikwenda na mkewe mida yote jamaa alikuwa akilalama kifua na mapigo ya moyo yanakwenda kasi sn.

SAA 8 USIKU MZTO
Sijajua uchuro wa ndege anaitwa bundi na uhusiano wa matukio mabaya. Bundi alianza kusikika juu ya mti wa hospital. Muda huo mgonjwa kijn alianza kulalamika zaidi hvoo aliomba dokta aje cha ajabu alikuja nesi mdada mdogo nazan hazid miaka 30 alimpa kjn vidonge akasepa. Muda huo mgonjwa huyu ambaye alkuwa ndo mwenye nafuu kuliko wale wawil aliaza kulalamika zaidi hvo akaja dokta ni tozi flan akamwongezea drip cha ajabu drip likawa haliend

MKEWE AANZA MAOMBI
Sjawahi kugundua kwamba kufa ni simple vile walahiiiii!! Hvo baada ya drip kugoma nilishanga hospital ile kumbe usku wote madokta na manesi hulala fofofo kabsa na hakuna anayepita kuangalia wagonjwa. Nlimshauri mama yule aende akamwite nesi. Kitu cha ajabu hakuna nesi aliyekuja wala dokta so mgonjwa aloendelea kulalamika bila msaada wa wataalamu pale.

SAA 9 KAMILI USKU WA MANANE
Hali ikawa mbaya zaidi tupo tuna mchek na mkewe jamaa aliaza kulalamika haoni vinzuri (remember nearly death sight is the first sense to go) mkewe akapanda kitandani jamaaa analalamika sn

SAA 9 NA DAKIKA KAMA 20
Mgonjwa akaaza kukoroma lakini anaongea mkewe akamwomba simu anaombwa mgonjwa lkn jama alikataa mkewe akawapigia baadhi ya ndg ila kuhusu hali ya jamaa ku change suddenly hakuna ndg aliyekuja nkamwita mwamba vp ndoo nlivokuwa namwita jamaa hakujibu kitu muda huo macho yaliaza kugeuka kwa mara ya kwaza bila kufundishwa nikajua jamaa hatoboi. Nlimwambia mkewe kamwite dokta kwa bahat zuri tozi alikuja akamchek akamwambia njoo uchukue dawa jamaa alizidi kukoroma na mama yule alilipia dawa lkn aliambiwa ataleta nesi soo yeye akarudi wodini na kukuta hali mbaya sn

SAA 9:30 USIKU WA MANANE
Jamaa aliacha kukoroma nkashangaa mkewe anaanza kulia sana na muda huo povu likaaza kutoka na damu mm nmesmama sjui nifanyaje nilichofanya nkamwambia tena mkewe akamweite nesi akaenda mm nashuhudia ze last breath jamaa alivuta pumzi kama mara tatu hv ikawa kmyaa kabsa nikasema kwa ngeli rest in Peace mwamba.

NESI ANAFIKA (ni sisita duu hatari)
Nilichokuwa nategemea ni nesi kumfariji mwanamke mwezie cha ajabu alifka na kuaza kufoka ww anamfokea yule mama baada ya kuambiwa kwann wameonesha ushirikiano mdogo sn ajabu nyingne alishalipia hela za dawa ambayo hayat hakupewa na hawakumrudishia tuliambiwa tutoke nje wote hapo ndo wakaja karibu wahudumu wote wakajaa ndani mama yule alilia kwa uchungu lkn ilishatokea nlimfariji kiume hadi akanyamaza na nkamshauri awapigie ndg waje akasema n wagumu lkn cha ajabu akawaambia ndo wakaaza kuja pale kusubili utaratibu wa kuchukua mait.Hapo ilikuwa karibu kunakucha....

FUNZO NI NINI HAPA
Nilicho taka ku share nanyi leo mm nlichojifunza jamani kufa ni simple munoo alafu wanaohangaika nasi wanaume n wake tuu no rafiki no braza during the terrible moment wengne watakuja ukifa.

-end-
Wewe nawe ni mpumbavu tu, kilikugharimu kitu gani kwenda kuwafokea manesi na madaktari eti unamuagiza mwanamke aende kumuita nurse? Fala wewe
 
Pia vifo vingi sana vinaepukika kama tungekuwa na madaktari na wauguzi wajuzi na wenye passion na wafanyacho.
Asilimia kubwa watu hufariki sababu ya kukosa huduma za kitabibu hospitali na bahati mbaya hna sheria ya kumkamata hapo kwa kutokuwqjibika.
 
Ssure, wataalamu wa ndege wanasema bundi anauwezo wakunusua mzoga kabla haujafa siku arobaini kabla, hana uchawi wala nini, ni Kipawa alicho nacho
Watu wengi wanamchukia bundi mimi mwenyewe mmoja wao kwa kuwa anatoa uhakika wa kifo. Imagine una mgonjwa wako labda anaelekea kupata unafuu na wewe tayari una matumaini halafu ghalfa libundi linajileta na mikelele si unakata tamaa?

Bundi akishalia hata kama mgonjwa anaweza kukimbia wakati mwanzo hata kutembea alikuwa hawezi ni lazima afe ndani ya siku chache zijazo....Aisee mambo ya bundi yaache...Kuna siku ndugu walikuwa wamekaa nje na mtoto mdogo hivi wa kama miaka tisa alikuwa mgonjwa. Mara akaanza kupelekwa chooni huku hilo halijakaa sawa mbundi ukasikika juu ya mti ukilalama si wale watu wakaanza kupiga ukunga. Nakumbuka ilikuwa saa tisa alasiri na dogo alikuja kuvuta saa nne usiku wakati huo bundi ameshasepa zamaniii. Ila yule bundi ni kama aliwakata maini vibaya sana!
 
Habari,

Naomba ku share tukio la jana ktk mkoa fulan hapa bongo

SAA 9 ALASIRI
Nikiwa nmefura kwa hasira namna system ya OTEAS ilivokuwaa inanipa tabu mimi na wezangu kadhaa napigiwa simu na mama yangu mdogo niende hospital faza mdogo anaumwa sn kwan alikuwa haongei kabsa.

SAA 10 ALASIRI
Nafika hospital namcheki mgonjwa kwel n taaaban na alikuwa na mama angu mdogo tu ambaye ndo mkewe. Kwenye ward (hodi) kulikuwa na wagonjwa 3 tu wawil ilikuwaa very terrible mmoja ambaye n kjn wa makamoo ilikuwaa afadhari kidogo ilaa tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale.

SAA 2 USIKU
Kwakuwa kulikuwa hakuna ndg yetu wa kiume aliyekuja kumwona mzee ilibid nilale na mgonjwa muda huo alikuwa hajitambui na niliruhusiwa kulala mulemule na manes.

SAA 4 USIKU
mgonjwa ambaye n kjn mule ndani aliniomba nimfungie net mbu n wengi. Muda huo kulikuwaa na mdada mrembo alikuja kumwona huyo kijn so tulisaidiana kufunga net.kama baada ya sa moja yule mlimbwende alisepa wanaita soo nikaombwa ni take care hata kwa kjn yule bahat zuri mkewe alifka so ndan ya hodi tukawa wauguzi wawil.

SAA 6 USIKU
Mgonjwa huyu ambaye n kjn alikuwa akienda chooni mfululizo yeye mwenyewe huku ameshika drip lkn mara ya nne hvi kwenda toilet alikwenda na mkewe mida yote jamaa alikuwa akilalama kifua na mapigo ya moyo yanakwenda kasi sn.

SAA 8 USIKU MZTO
Sijajua uchuro wa ndege anaitwa bundi na uhusiano wa matukio mabaya. Bundi alianza kusikika juu ya mti wa hospital. Muda huo mgonjwa kijn alianza kulalamika zaidi hvoo aliomba dokta aje cha ajabu alikuja nesi mdada mdogo nazan hazid miaka 30 alimpa kjn vidonge akasepa. Muda huo mgonjwa huyu ambaye alkuwa ndo mwenye nafuu kuliko wale wawil aliaza kulalamika zaidi hvo akaja dokta ni tozi flan akamwongezea drip cha ajabu drip likawa haliend

MKEWE AANZA MAOMBI
Sjawahi kugundua kwamba kufa ni simple vile walahiiiii!! Hvo baada ya drip kugoma nilishanga hospital ile kumbe usku wote madokta na manesi hulala fofofo kabsa na hakuna anayepita kuangalia wagonjwa. Nlimshauri mama yule aende akamwite nesi. Kitu cha ajabu hakuna nesi aliyekuja wala dokta so mgonjwa aloendelea kulalamika bila msaada wa wataalamu pale.

SAA 9 KAMILI USKU WA MANANE
Hali ikawa mbaya zaidi tupo tuna mchek na mkewe jamaa aliaza kulalamika haoni vinzuri (remember nearly death sight is the first sense to go) mkewe akapanda kitandani jamaaa analalamika sn

SAA 9 NA DAKIKA KAMA 20
Mgonjwa akaaza kukoroma lakini anaongea mkewe akamwomba simu anaombwa mgonjwa lkn jama alikataa mkewe akawapigia baadhi ya ndg ila kuhusu hali ya jamaa ku change suddenly hakuna ndg aliyekuja nkamwita mwamba vp ndoo nlivokuwa namwita jamaa hakujibu kitu muda huo macho yaliaza kugeuka kwa mara ya kwaza bila kufundishwa nikajua jamaa hatoboi. Nlimwambia mkewe kamwite dokta kwa bahat zuri tozi alikuja akamchek akamwambia njoo uchukue dawa jamaa alizidi kukoroma na mama yule alilipia dawa lkn aliambiwa ataleta nesi soo yeye akarudi wodini na kukuta hali mbaya sn

SAA 9:30 USIKU WA MANANE
Jamaa aliacha kukoroma nkashangaa mkewe anaanza kulia sana na muda huo povu likaaza kutoka na damu mm nmesmama sjui nifanyaje nilichofanya nkamwambia tena mkewe akamweite nesi akaenda mm nashuhudia ze last breath jamaa alivuta pumzi kama mara tatu hv ikawa kmyaa kabsa nikasema kwa ngeli rest in Peace mwamba.

NESI ANAFIKA (ni sisita duu hatari)
Nilichokuwa nategemea ni nesi kumfariji mwanamke mwezie cha ajabu alifka na kuaza kufoka ww anamfokea yule mama baada ya kuambiwa kwann wameonesha ushirikiano mdogo sn ajabu nyingne alishalipia hela za dawa ambayo hayat hakupewa na hawakumrudishia tuliambiwa tutoke nje wote hapo ndo wakaja karibu wahudumu wote wakajaa ndani mama yule alilia kwa uchungu lkn ilishatokea nlimfariji kiume hadi akanyamaza na nkamshauri awapigie ndg waje akasema n wagumu lkn cha ajabu akawaambia ndo wakaaza kuja pale kusubili utaratibu wa kuchukua mait.Hapo ilikuwa karibu kunakucha....

FUNZO NI NINI HAPA
Nilicho taka ku share nanyi leo mm nlichojifunza jamani kufa ni simple munoo alafu wanaohangaika nasi wanaume n wake tuu no rafiki no braza during the terrible moment wengne watakuja ukifa.

-end-
Huu uzi ndio mara ya kwanza kuuona JF, uko original. Nyuzi nyingi humu hujirudiarudia kwa title tofauti.
 
Watu wengi wanamchukia bundi mimi mwenyewe mmoja wao kwa kuwa anatoa uhakika wa kifo. Imagine una mgonjwa wako labda anaelekea kupata unafuu na wewe tayari una matumaini halafu ghalfa libundi linajileta na mikelele si unakata tamaa?

Bundi akishalia hata kama mgonjwa anaweza kukimbia wakati mwanzo hata kutembea alikuwa hawezi ni lazima afe ndani ya siku chache zijazo....Aisee mambo ya bundi yaache...Kuna siku ndugu walikuwa wamekaa nje na mtoto mdogo hivi wa kama miaka tisa alikuwa mgonjwa. Mara akaanza kupelekwa chooni huku hilo halijakaa sawa mbundi ukasikika juu ya mti ukilalama si wale watu wakaanza kupiga ukunga. Nakumbuka ilikuwa saa tisa alasiri na dogo alikuja kuvuta saa nne usiku wakati huo bundi ameshasepa zamaniii. Ila yule bundi ni kama aliwakata maini vibaya sana!
Mimi nitasema ni suala la imani. Kama na mgonjwa ana hiyo imani kuwa bundi kaja na yake basi atakufa.
 
Jana sijalala kabisa.nilikuwa na wasi wasi mwingi.
Mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda kasi.na huu ubonge nikasema sasa Leo nakuwa kibonde wa pili.
Preshaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha haha,hata mimi nina shida ya mapigo ya moyo kwenda kasi na kupumua kwa shida sometimes,pole sana.Nimeenda hospitali kucheck moyo uko fresh labda kifurushi cha siku za kimebakia kiduchu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]aendeleeni kung'ang'ania na nature za kijinga..yan mtu amekuokoa..hakukua na kaka yako wala baba wala mama..mtu baki akaingia front ..leo hii ukamcheat!!!ila ndo napoukumbuka ule msemo tenda wema nenda zako
Manengelo: sio kwamba tuendelee kung'ang'ania nature zetu,yaan sijui n nn huwa inatukuta una kuta una mtu wako kabisa lakini ghafla tu inatokea unaanza kusalimiana na mwngine na stor za hapa na pale zinakwa zinaendelea mwshowe mambo yanakwenda kivingine kabisa kabisa,so mtuombee.[emoji1666]

Sent from Nokia 7 Plus
 
Jombaa. Haya ndio maeneo ya kazi ya wenzio.
Halafu mnakuja na wanasiasa wenu kuwashtaki madaktari na wauguzi na kuwafedhehesha.

Badilikeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manengelo: sio kwamba tuendelee kung'ang'ania nature zetu,yaan sijui n nn huwa inatukuta una kuta una mtu wako kabisa lakini ghafla tu inatokea unaanza kusalimiana na mwngine na stor za hapa na pale zinakwa zinaendelea mwshowe mambo yanakwenda kivingine kabisa kabisa,so mtuombee.[emoji1666]

Sent from Nokia 7 Plus

hahahahahaa....!haya
 
Nimejifunza vitu vikubwa 3 kwenye huu uzi.
1:Wakati wa raha kila mtu atakushobokea lkn wakati wa shida humuoni mtu.
2:Wakati wa usiku hospitali nyingi huduma hakuna na kama zipo basi ni mbovu sana na wahudumu hulala fofo.
3:Kifo ni kama umeme.
Unakatika na kuja haraka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
By common sense mlitegemea hapo wodini saa 9 usiku wajae majirani,ndugu,jamaa na marafiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuokoa maisha yako.Alikuwa nawe katika critical moment,siku yako haikuwa imefika.
Imenikumbusha ex wangu alivyookoa maisha yangu, she was just alone fighting for my life no friend (ambao ninao wengi sana), No ndugu but it was only her.Nikikumbuka zile moments najikuta nalia kweli ulinipenda sana sana J.

Japo upo na mwanaume mwingine lakini tambua nakuthamini kupita kiasi and i wish nisingekufanyia upuuzi nisamehe sana and i wish you happiness huko uliko and just know niko hapa if you need my help.
Love you!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bundi Ndege wa ajabu sana huwa na ana maono na kifo huwa kuna kiungo cha mwili hutangulia kufa na kutoa harufu Bundi huwa ana sense kali sana ya harufu hiyo ,Hivyo husogea eneo la tukio akijua ataambulia menyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bundi alifika getini kwetu nikiwa na miaka 11 hivi nakumbuka.Mama alichanganyikiwa kwa kilio.Tulilia naye lakini hakufa mtu wa karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwann watu wanaogopa kifo?? Ni sababu tuliumbwa kuishi nasio kufa..dhambi ndio imetuleta hapa.

NDUGU zangu, niwambie KIFO HAKIZOELEKI HATA SIKU MOJA.

kwa asili ya shuguli yangu, nmeshudia vifo vingi ,,kuna wakat unajua kabisa huyu hana hata lisaa limoja, unawaza, kweli mdada huyu/kaka uyu ndo anaenda kupoteza uhai???

KWA UFUPI, KAMA KUNA KIPINDI AMBACHO MWANADAM UNATAKIWA USALI SANA NI IKI KIPINDI TULICHOPO..kwa maana ongezeko la vifo nikubwa mnoo jamaaa.

Uhai usitupe kiburi, TUMRUDIE MUNGU, ILI TUNAPOKUFA, BASI TUWE UPANDE WAKE .
Bro,kufa ni Natural process.Hata bila dhambi Utakufa tu.Death is unbeaten.
Hizo nyingine ni hadithi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro,kufa ni Natural process.Hata bila dhambi Utakufa tu.Death is unbeaten.
Hizo nyingine ni hadithi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umenielewa, hamna mahal nlosema ,ukiwa huna dhambi hufi.

Ila kuna utofaut mkubwa kati ya mfaji wa dhambin..na mfanyaji asokua dhambi.

Kwa sisi, tunaoamini Ufufuo na hukumu ya mwisho kwa wenye dhambi.
 
Back
Top Bottom