Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

Yani ukiwa hospitali na mgonjwa halafu akaanza kwenda chooni hovyo wakati mwanzo hakuwa hivyo basi andaa msiba. Ukiwa hospitali na mgonjwa bahati nzuri akapiga chafya basi jua bado mwili una nguvu sana maana chafya haitoki kizembe. Ukiona kapiga chafya basi walau ana wiki mbele ndipo tuone tena litakalokuwepo ila kwa wiki yote wewe relax maana mwana hatoki.
Kuna ukweli hapa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wavumilivu/wanahuruma sana....

kuhusu rafiki ukishapatwa na matatizo hana time na wewe, ni wachache sana wenye msaada.
 
Habari,

Naomba ku share tukio la jana ktk mkoa fulan hapa bongo

SAA 9 ALASIRI
Nikiwa nmefura kwa hasira namna system ya OTEAS ilivokuwaa inanipa tabu mimi na wezangu kadhaa napigiwa simu na mama yangu mdogo niende hospital faza mdogo anaumwa sn kwan alikuwa haongei kabsa.

SAA 10 ALASIRI
Nafika hospital namcheki mgonjwa kwel n taaaban na alikuwa na mama angu mdogo tu ambaye ndo mkewe. Kwenye ward (hodi) kulikuwa na wagonjwa 3 tu wawil ilikuwaa very terrible mmoja ambaye n kjn wa makamoo ilikuwaa afadhari kidogo ilaa tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale.

SAA 2 USIKU
Kwakuwa kulikuwa hakuna ndg yetu wa kiume aliyekuja kumwona mzee ilibid nilale na mgonjwa muda huo alikuwa hajitambui na niliruhusiwa kulala mulemule na manes.

SAA 4 USIKU
mgonjwa ambaye n kjn mule ndani aliniomba nimfungie net mbu n wengi. Muda huo kulikuwaa na mdada mrembo alikuja kumwona huyo kijn so tulisaidiana kufunga net.kama baada ya sa moja yule mlimbwende alisepa wanaita soo nikaombwa ni take care hata kwa kjn yule bahat zuri mkewe alifka so ndan ya hodi tukawa wauguzi wawil.

SAA 6 USIKU
Mgonjwa huyu ambaye n kjn alikuwa akienda chooni mfululizo yeye mwenyewe huku ameshika drip lkn mara ya nne hvi kwenda toilet alikwenda na mkewe mida yote jamaa alikuwa akilalama kifua na mapigo ya moyo yanakwenda kasi sn.

SAA 8 USIKU MZTO
Sijajua uchuro wa ndege anaitwa bundi na uhusiano wa matukio mabaya. Bundi alianza kusikika juu ya mti wa hospital. Muda huo mgonjwa kijn alianza kulalamika zaidi hvoo aliomba dokta aje cha ajabu alikuja nesi mdada mdogo nazan hazid miaka 30 alimpa kjn vidonge akasepa. Muda huo mgonjwa huyu ambaye alkuwa ndo mwenye nafuu kuliko wale wawil aliaza kulalamika zaidi hvo akaja dokta ni tozi flan akamwongezea drip cha ajabu drip likawa haliend

MKEWE AANZA MAOMBI
Sjawahi kugundua kwamba kufa ni simple vile walahiiiii!! Hvo baada ya drip kugoma nilishanga hospital ile kumbe usku wote madokta na manesi hulala fofofo kabsa na hakuna anayepita kuangalia wagonjwa. Nlimshauri mama yule aende akamwite nesi. Kitu cha ajabu hakuna nesi aliyekuja wala dokta so mgonjwa aloendelea kulalamika bila msaada wa wataalamu pale.

SAA 9 KAMILI USKU WA MANANE
Hali ikawa mbaya zaidi tupo tuna mchek na mkewe jamaa aliaza kulalamika haoni vinzuri (remember nearly death sight is the first sense to go) mkewe akapanda kitandani jamaaa analalamika sn

SAA 9 NA DAKIKA KAMA 20
Mgonjwa akaaza kukoroma lakini anaongea mkewe akamwomba simu anaombwa mgonjwa lkn jama alikataa mkewe akawapigia baadhi ya ndg ila kuhusu hali ya jamaa ku change suddenly hakuna ndg aliyekuja nkamwita mwamba vp ndoo nlivokuwa namwita jamaa hakujibu kitu muda huo macho yaliaza kugeuka kwa mara ya kwaza bila kufundishwa nikajua jamaa hatoboi. Nlimwambia mkewe kamwite dokta kwa bahat zuri tozi alikuja akamchek akamwambia njoo uchukue dawa jamaa alizidi kukoroma na mama yule alilipia dawa lkn aliambiwa ataleta nesi soo yeye akarudi wodini na kukuta hali mbaya sn

SAA 9:30 USIKU WA MANANE
Jamaa aliacha kukoroma nkashangaa mkewe anaanza kulia sana na muda huo povu likaaza kutoka na damu mm nmesmama sjui nifanyaje nilichofanya nkamwambia tena mkewe akamweite nesi akaenda mm nashuhudia ze last breath jamaa alivuta pumzi kama mara tatu hv ikawa kmyaa kabsa nikasema kwa ngeli rest in Peace mwamba.

NESI ANAFIKA (ni sisita duu hatari)
Nilichokuwa nategemea ni nesi kumfariji mwanamke mwezie cha ajabu alifka na kuaza kufoka ww anamfokea yule mama baada ya kuambiwa kwann wameonesha ushirikiano mdogo sn ajabu nyingne alishalipia hela za dawa ambayo hayat hakupewa na hawakumrudishia tuliambiwa tutoke nje wote hapo ndo wakaja karibu wahudumu wote wakajaa ndani mama yule alilia kwa uchungu lkn ilishatokea nlimfariji kiume hadi akanyamaza na nkamshauri awapigie ndg waje akasema n wagumu lkn cha ajabu akawaambia ndo wakaaza kuja pale kusubili utaratibu wa kuchukua mait.Hapo ilikuwa karibu kunakucha....

FUNZO NI NINI HAPA
Nilicho taka ku share nanyi leo mm nlichojifunza jamani kufa ni simple munoo alafu wanaohangaika nasi wanaume n wake tuu no rafiki no braza during the terrible moment wengne watakuja ukifa.

-end-

Asante kwa hadithi hii inayosisimua.Kweli ulipata uzoefu wa pekee.

Sema hilo hitimisho kuwa tunapougua tunabaki na wanawake zetu pekee ni ya jumla mno. Vitu hivi vya kijamii havitabiriki, ninaamini wapo mamia ya watu wameuguzwa na wake zao kama ilivyokuwa kwa "mwamba" huyo na wapo mamia pia wamefia kwenye mikono ya ndugu,jamaa na marafiki.

Maisha hayana kanuni sana!
 
Dogo mchangamkie huyo mjane basi nafasi imeachwa wazi. Kufa kufaana..
 
Una likes nyingi sijui nikuongeze ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah.. sijui kwanini nimesoma uzi wote kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Nikiwa bado mdogo nilimshuhudia dada yangu akikata roho LIVE kabisa. Alikua anaumwa sana na siku hiyo nikawa nimeenda nyumbani kumuangalia. Ile kufika tu pale alipokua amelala kitandani nikamkuta kama anahangaika mara ageuke huku mara kule lakini alikua hakoromi wala haongei. Ila nilipomuangalia machoni.... yaani niliona kitu cha tofauti kabisa kwake. Alikua hajatoa macho, lakini kulikua na kama utando fulani juu ya macho yake na alikua hapepesi macho.. Sikuona UHAI machoni pake! Nilisimama pale kama dakika 1 nikimwangalia then nikatoka nje. Wakati natoka nikapishana na mama anaingia kumcheki mgonjwa mi nikapitiliza hadi nje na kuondoka kabisa pale home. Sijakata kona ya pili huku nyuma nasikia ukunga.
Hadi leo nakumbuka yale macho
 
kikubwa cha kujifunza hapo ni kuwa watu wenfi afrika hufaariki kwa uzembe na huduma mbaya za amatibabu
 
Habari,

Naomba ku share tukio la jana ktk mkoa fulan hapa bongo

SAA 9 ALASIRI
Nikiwa nmefura kwa hasira namna system ya OTEAS ilivokuwaa inanipa tabu mimi na wezangu kadhaa napigiwa simu na mama yangu mdogo niende hospital faza mdogo anaumwa sn kwan alikuwa haongei kabsa.

SAA 10 ALASIRI
Nafika hospital namcheki mgonjwa kwel n taaaban na alikuwa na mama angu mdogo tu ambaye ndo mkewe. Kwenye ward (hodi) kulikuwa na wagonjwa 3 tu wawil ilikuwaa very terrible mmoja ambaye n kjn wa makamoo ilikuwaa afadhari kidogo ilaa tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale.

SAA 2 USIKU
Kwakuwa kulikuwa hakuna ndg yetu wa kiume aliyekuja kumwona mzee ilibid nilale na mgonjwa muda huo alikuwa hajitambui na niliruhusiwa kulala mulemule na manes.

SAA 4 USIKU
mgonjwa ambaye n kjn mule ndani aliniomba nimfungie net mbu n wengi. Muda huo kulikuwaa na mdada mrembo alikuja kumwona huyo kijn so tulisaidiana kufunga net.kama baada ya sa moja yule mlimbwende alisepa wanaita soo nikaombwa ni take care hata kwa kjn yule bahat zuri mkewe alifka so ndan ya hodi tukawa wauguzi wawil.

SAA 6 USIKU
Mgonjwa huyu ambaye n kjn alikuwa akienda chooni mfululizo yeye mwenyewe huku ameshika drip lkn mara ya nne hvi kwenda toilet alikwenda na mkewe mida yote jamaa alikuwa akilalama kifua na mapigo ya moyo yanakwenda kasi sn.

SAA 8 USIKU MZTO
Sijajua uchuro wa ndege anaitwa bundi na uhusiano wa matukio mabaya. Bundi alianza kusikika juu ya mti wa hospital. Muda huo mgonjwa kijn alianza kulalamika zaidi hvoo aliomba dokta aje cha ajabu alikuja nesi mdada mdogo nazan hazid miaka 30 alimpa kjn vidonge akasepa. Muda huo mgonjwa huyu ambaye alkuwa ndo mwenye nafuu kuliko wale wawil aliaza kulalamika zaidi hvo akaja dokta ni tozi flan akamwongezea drip cha ajabu drip likawa haliend

MKEWE AANZA MAOMBI
Sjawahi kugundua kwamba kufa ni simple vile walahiiiii!! Hvo baada ya drip kugoma nilishanga hospital ile kumbe usku wote madokta na manesi hulala fofofo kabsa na hakuna anayepita kuangalia wagonjwa. Nlimshauri mama yule aende akamwite nesi. Kitu cha ajabu hakuna nesi aliyekuja wala dokta so mgonjwa aloendelea kulalamika bila msaada wa wataalamu pale.

SAA 9 KAMILI USKU WA MANANE
Hali ikawa mbaya zaidi tupo tuna mchek na mkewe jamaa aliaza kulalamika haoni vinzuri (remember nearly death sight is the first sense to go) mkewe akapanda kitandani jamaaa analalamika sn

SAA 9 NA DAKIKA KAMA 20
Mgonjwa akaaza kukoroma lakini anaongea mkewe akamwomba simu anaombwa mgonjwa lkn jama alikataa mkewe akawapigia baadhi ya ndg ila kuhusu hali ya jamaa ku change suddenly hakuna ndg aliyekuja nkamwita mwamba vp ndoo nlivokuwa namwita jamaa hakujibu kitu muda huo macho yaliaza kugeuka kwa mara ya kwaza bila kufundishwa nikajua jamaa hatoboi. Nlimwambia mkewe kamwite dokta kwa bahat zuri tozi alikuja akamchek akamwambia njoo uchukue dawa jamaa alizidi kukoroma na mama yule alilipia dawa lkn aliambiwa ataleta nesi soo yeye akarudi wodini na kukuta hali mbaya sn

SAA 9:30 USIKU WA MANANE
Jamaa aliacha kukoroma nkashangaa mkewe anaanza kulia sana na muda huo povu likaaza kutoka na damu mm nmesmama sjui nifanyaje nilichofanya nkamwambia tena mkewe akamweite nesi akaenda mm nashuhudia ze last breath jamaa alivuta pumzi kama mara tatu hv ikawa kmyaa kabsa nikasema kwa ngeli rest in Peace mwamba.

NESI ANAFIKA (ni sisita duu hatari)
Nilichokuwa nategemea ni nesi kumfariji mwanamke mwezie cha ajabu alifka na kuaza kufoka ww anamfokea yule mama baada ya kuambiwa kwann wameonesha ushirikiano mdogo sn ajabu nyingne alishalipia hela za dawa ambayo hayat hakupewa na hawakumrudishia tuliambiwa tutoke nje wote hapo ndo wakaja karibu wahudumu wote wakajaa ndani mama yule alilia kwa uchungu lkn ilishatokea nlimfariji kiume hadi akanyamaza na nkamshauri awapigie ndg waje akasema n wagumu lkn cha ajabu akawaambia ndo wakaaza kuja pale kusubili utaratibu wa kuchukua mait.Hapo ilikuwa karibu kunakucha....

FUNZO NI NINI HAPA
Nilicho taka ku share nanyi leo mm nlichojifunza jamani kufa ni simple munoo alafu wanaohangaika nasi wanaume n wake tuu no rafiki no braza during the terrible moment wengne watakuja ukifa.

-end-
kwel mke na mama ndo watu muhimu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipandishe nyongo mkuu.

Kiini cha matatizo yotee ya nchi hii source yake inajulikana.
Utetezi wa kijinga sana huu, hata kama Dr ushajua mgonjwa anakaribia mauti hutakiwi kumwacha at least jitoe unavyoweza kumsaidia apumzike salama na si kumwacha ahangaike peke yake ukisubir uje u certify death.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kumpeleka mother kwenye hospital moja hivi nikahisi kutoridhishwa na huduma zao na nikatofautiana na manesi alikuwa nasubiri kufanyiwa upasuaji nikamtoa fasta maana nilipata taarifa kutoka kwa wagonjwa wenzake mama kwamba wamepanga kunikomesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari,

Naomba ku share tukio la jana ktk mkoa fulan hapa bongo

SAA 9 ALASIRI
Nikiwa nmefura kwa hasira namna system ya OTEAS ilivokuwaa inanipa tabu mimi na wezangu kadhaa napigiwa simu na mama yangu mdogo niende hospital faza mdogo anaumwa sn kwan alikuwa haongei kabsa.

SAA 10 ALASIRI
Nafika hospital namcheki mgonjwa kwel n taaaban na alikuwa na mama angu mdogo tu ambaye ndo mkewe. Kwenye ward (hodi) kulikuwa na wagonjwa 3 tu wawil ilikuwaa very terrible mmoja ambaye n kjn wa makamoo ilikuwaa afadhari kidogo ilaa tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale.

SAA 2 USIKU
Kwakuwa kulikuwa hakuna ndg yetu wa kiume aliyekuja kumwona mzee ilibid nilale na mgonjwa muda huo alikuwa hajitambui na niliruhusiwa kulala mulemule na manes.

SAA 4 USIKU
mgonjwa ambaye n kjn mule ndani aliniomba nimfungie net mbu n wengi. Muda huo kulikuwaa na mdada mrembo alikuja kumwona huyo kijn so tulisaidiana kufunga net.kama baada ya sa moja yule mlimbwende alisepa wanaita soo nikaombwa ni take care hata kwa kjn yule bahat zuri mkewe alifka so ndan ya hodi tukawa wauguzi wawil.

SAA 6 USIKU
Mgonjwa huyu ambaye n kjn alikuwa akienda chooni mfululizo yeye mwenyewe huku ameshika drip lkn mara ya nne hvi kwenda toilet alikwenda na mkewe mida yote jamaa alikuwa akilalama kifua na mapigo ya moyo yanakwenda kasi sn.

SAA 8 USIKU MZTO
Sijajua uchuro wa ndege anaitwa bundi na uhusiano wa matukio mabaya. Bundi alianza kusikika juu ya mti wa hospital. Muda huo mgonjwa kijn alianza kulalamika zaidi hvoo aliomba dokta aje cha ajabu alikuja nesi mdada mdogo nazan hazid miaka 30 alimpa kjn vidonge akasepa. Muda huo mgonjwa huyu ambaye alkuwa ndo mwenye nafuu kuliko wale wawil aliaza kulalamika zaidi hvo akaja dokta ni tozi flan akamwongezea drip cha ajabu drip likawa haliend

MKEWE AANZA MAOMBI
Sjawahi kugundua kwamba kufa ni simple vile walahiiiii!! Hvo baada ya drip kugoma nilishanga hospital ile kumbe usku wote madokta na manesi hulala fofofo kabsa na hakuna anayepita kuangalia wagonjwa. Nlimshauri mama yule aende akamwite nesi. Kitu cha ajabu hakuna nesi aliyekuja wala dokta so mgonjwa aloendelea kulalamika bila msaada wa wataalamu pale.

SAA 9 KAMILI USKU WA MANANE
Hali ikawa mbaya zaidi tupo tuna mchek na mkewe jamaa aliaza kulalamika haoni vinzuri (remember nearly death sight is the first sense to go) mkewe akapanda kitandani jamaaa analalamika sn

SAA 9 NA DAKIKA KAMA 20
Mgonjwa akaaza kukoroma lakini anaongea mkewe akamwomba simu anaombwa mgonjwa lkn jama alikataa mkewe akawapigia baadhi ya ndg ila kuhusu hali ya jamaa ku change suddenly hakuna ndg aliyekuja nkamwita mwamba vp ndoo nlivokuwa namwita jamaa hakujibu kitu muda huo macho yaliaza kugeuka kwa mara ya kwaza bila kufundishwa nikajua jamaa hatoboi. Nlimwambia mkewe kamwite dokta kwa bahat zuri tozi alikuja akamchek akamwambia njoo uchukue dawa jamaa alizidi kukoroma na mama yule alilipia dawa lkn aliambiwa ataleta nesi soo yeye akarudi wodini na kukuta hali mbaya sn

SAA 9:30 USIKU WA MANANE
Jamaa aliacha kukoroma nkashangaa mkewe anaanza kulia sana na muda huo povu likaaza kutoka na damu mm nmesmama sjui nifanyaje nilichofanya nkamwambia tena mkewe akamweite nesi akaenda mm nashuhudia ze last breath jamaa alivuta pumzi kama mara tatu hv ikawa kmyaa kabsa nikasema kwa ngeli rest in Peace mwamba.

NESI ANAFIKA (ni sisita duu hatari)
Nilichokuwa nategemea ni nesi kumfariji mwanamke mwezie cha ajabu alifka na kuaza kufoka ww anamfokea yule mama baada ya kuambiwa kwann wameonesha ushirikiano mdogo sn ajabu nyingne alishalipia hela za dawa ambayo hayat hakupewa na hawakumrudishia tuliambiwa tutoke nje wote hapo ndo wakaja karibu wahudumu wote wakajaa ndani mama yule alilia kwa uchungu lkn ilishatokea nlimfariji kiume hadi akanyamaza na nkamshauri awapigie ndg waje akasema n wagumu lkn cha ajabu akawaambia ndo wakaaza kuja pale kusubili utaratibu wa kuchukua mait.Hapo ilikuwa karibu kunakucha....

FUNZO NI NINI HAPA
Nilicho taka ku share nanyi leo mm nlichojifunza jamani kufa ni simple munoo alafu wanaohangaika nasi wanaume n wake tuu no rafiki no braza during the terrible moment wengne watakuja ukifa.

-end-
Pole sana naumia ...hata mimi mume wangu alikata roho namuangalia sikuwA na la kufanya akili ilijifunga kufa ndo kulivyo jamani.
 
Back
Top Bottom