Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

Nakumbuka nilivyokuwa kijijini kama mna mgonjwa na mabundi yakaja kulia huko shambani lazima huyo mgonjwa aondoke,sasa ilo jambo nikawa sielewi inakuwaje kumbe unaambiwa bundi ni ndege pekee anayenusa kifo Kwa mbali,kiuhalisia baadhi ya viungo vya binadamu vinaanza kufa mapema japokuwa unaweza kumuona mtu anapumua lkn ameshaanza kufa so bundi ananusa mzoga Kwa mbali ndio maana anakuja karibu na kuanza kulia lkn anakuwa hawezi kuingia ndani alipo mgonjwa,uwezo Wa ajabu sana!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S
Nakumbuka nilivyokuwa kijijini kama mna mgonjwa na mabundi yakaja kulia huko shambani lazima huyo mgonjwa aondoke,sasa ilo jambo nikawa sielewi inakuwaje kumbe unaambiwa bundi ni ndege pekee anayenusa kifo Kwa mbali,kiuhalisia baadhi ya viungo vya binadamu vinaanza kufa mapema japokuwa unaweza kumuona mtu anapumua lkn ameshaanza kufa so bundi ananusa mzoga Kwa mbali ndio maana anakuja karibu na kuanza kulia lkn anakuwa hawezi kuingia ndani alipo mgonjwa,uwezo Wa ajabu sana!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
sure, wataalamu wa ndege wanasema bundi anauwezo wakunusua mzoga kabla haujafa siku arobaini kabla, hana uchawi wala nini, ni Kipawa alicho nacho
 
Nacheka km mazuri lkn hapo kwenye REST IN PEACE MWAMBA umeniacha hoi sana.

BTW pole sana kwa kushuhudia tukio kama hilo. Wengine ndo kazi zetu hizo, kila siku tunashuhudia vifo machoni petu.

Sekta ya afya bado ni changamoto kwa ujumla. CPR sio mchezo ktk facility za level za chini sababu nyenzo haziruhusu. Kwa io unakuta hata ukiitwa unakuwa dilemma sana.

All in all REST IN PEACE MWAMBA.
Mnakenua tu huku watu wanakufa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
story yako imenikumbusha mbali sana...udhaifu upo kwenye hospitali zetu...nilimpoteza mtu wangu wa muhimu sana...hivi sasa nimeacha kabisa kuhangaika na huduma za kiserikali...bora upate huduma nzuri ya uhakika kwenye hospitali binafsi...inasikitisha sana
 
Kifo bhana, acha kabisa aiseeeee. Mzee wangu alikufa namuona hivi hivi. Saa nane usiku kakoroma kwa nguvu, kisha akatulia. Tukamuita Nesi, alipokuja, just a very simple statement "Tayari Amepumzika, ngoja tumfunike vizuri"



Get Well soon N.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Logistics zikiwa nzuri mnapiga CPR mtu anarudi kawaida, but inadepend na status ya mgonjwa. Kama mtu anaumwa ugonjwa ambao ni endstage mtapiga CPR ili iweje?

Mkipiga CPR mtu akarud dispostion yake ni ICU mara nyingi, sasa ukikuta ni familia masikin km tulivyo watz wengi hapo utakuwa unawaongezea gharama zisizo na msingi na unajua mtu akienda ICU gharama zake ni kubwa sana.

Sasa tujiulize hospitali ngapi hapa nchini mwetu zina ICU? Huko mawodini kuna logistics zote za emergency? Ndo mana nasema kulingana na mazingira yetu yalivyo utakuta nurse/doctor anajua kabisa huyu mgonjwa anaenda kufa lakini ukiangalia hali halisi unajikuta huna la kufanya, unabaki na dilemma tuu.

All in all REST IN PEACE MWAMBA.
Hivi cardiac arrest ikimtokea mtu hospital anaweza kusaidiwa huko au ndio anaangaliwa tu mpaka anaaga kama mwamba?

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Agiza ya moto hapo nakuja kulipa.
Kwann watu wanaogopa kifo?? Ni sababu tuliumbwa kuishi nasio kufa..dhambi ndio imetuleta hapa.

NDUGU zangu, niwambie KIFO HAKIZOELEKI HATA SIKU MOJA.

kwa asili ya shuguli yangu, nmeshudia vifo vingi ,,kuna wakat unajua kabisa huyu hana hata lisaa limoja, unawaza, kweli mdada huyu/kaka uyu ndo anaenda kupoteza uhai???


KWA UFUPI, KAMA KUNA KIPINDI AMBACHO MWANADAM UNATAKIWA USALI SANA NI IKI KIPINDI TULICHOPO..kwa maana ongezeko la vifo nikubwa mnoo jamaaa.

Uhai usitupe kiburi, TUMRUDIE MUNGU, ILI TUNAPOKUFA, BASI TUWE UPANDE WAKE .
 
Baada ya kufa ndugu wanaanza kukimbizana na Mali ulizo ziacha, mke anafukuzwa kama mbwa ,wanawake wote waheshimiwe
Mimi walichukua mpka picha za marehemu baba yangu mama akabaki na moja tu wakimwambia yeye ni mwanamke ataolewa tena na undugu ulikufa na hapo anawatoto kama wanne....ndugu wengine pumbavu sana

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
MIMI HUWA NAJIULIZA VIAPO VYA WAHUDUMU WA AFYA HUWA VIPOJE MAANA KWAKWELI WANA ROHO NGUMU SANA HUDUMA ZAO KWAKWELI HUWAGA KAMA WANALAZIMISHWA KAMA UMEKUJA NIGHT HALAFU UNAKESHA UMELALA MAANA YAKE NINI UMESOMA KWA HELA YA WATANZANI AWATUMIKIE BASI UNALETA UTOZI HAYA BANA MUNGU ANAWAONA
 
Acha tu, ni ngumu sana kupingana na nature unahitaji neema za Muumba
😊😊😊😊aendeleeni kung'ang'ania na nature za kijinga..yan mtu amekuokoa..hakukua na kaka yako wala baba wala mama..mtu baki akaingia front ..leo hii ukamcheat!!!ila ndo napoukumbuka ule msemo tenda wema nenda zako
 
Back
Top Bottom