Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,121
- 1,249,304
Sasa utamuoshaje na nguo jamani. Utupu juu ya sinki na sabuni brash au dodoki. Ukimaliza unampaka mafuta,kama alikua mpenda make ups mnamremba zake hapo mnamvalisha nguo zote anzia ya ndani mpaka viatu
Dah..hapana..mie siwez.hv huwa wanamuosha na sabuni..na utupu kbs au anakua amefugwa nguo.private area