Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

Habar!
Naomba ku share tukio la jana ktk mkoa fulan hapa bongo
SAA 9 ALASIRI
Nikiwa nmefura kwa hasira namna system ya OTEAS ilivokuwaa inanipa tabu mimi na wezangu kadhaa napigiwa simu na mama yangu mdogo niende hospital faza mdogo anaumwa sn kwan alikuwa haongei kabsa.
SAA 10 ALASIRI
Nafika hospital namcheki mgonjwa kwel n taaaban na alikuwa na mama angu mdogo tu ambaye ndo mkewe. Kwenye ward (hodi) kulikuwa na wagonjwa 3 tu wawil ilikuwaa very terrible mmoja ambaye n kjn wa makamoo ilikuwaa afadhari kidogo ilaa tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale.
SAA 2 USKU
Kwakuwa kulikuwa hakuna ndg yetu wa kiume aliyekuja kumwona mzee ilibid nilale na mgonjwa muda huo alikuwa hajitambui na niliruhusiwa kulala mulemule na manes.
SAA 4 USIKU.
mgonjwa ambaye n kjn mule ndani aliniomba nimfungie net mbu n wengi. Muda huo kulikuwaa na mdada mrembo alikuja kumwona huyo kijn so tulisaidiana kufunga net.kama baada ya sa moja yule mlimbwende alisepa wanaita soo nikaombwa ni take care hata kwa kjn yule bahat zuri mkewe alifka so ndan ya hodi tukawa wauguzi wawil.
SAA 6 USKU
Mgonjwa huyu ambaye n kjn alikuwa akienda chooni mfululizo yeye mwenyewe huku ameshika drip lkn mara ya nne hvi kwenda toilet alikwenda na mkewe mida yote jamaa alikuwa akilalama kifua na mapigo ya moyo yanakwenda kasi sn.
SAA 8 USKU MZTO
Sijajua uchuro wa ndege anaitwa bundi na uhusiano wa matukio mabaya. Bundi alianza kusikika juu ya mti wa hospital. Muda huo mgonjwa kijn alianza kulalamika zaidi hvoo aliomba dokta aje cha ajabu alikuja nesi mdada mdogo nazan hazid miaka 30 alimpa kjn vidonge akasepa. Muda huo mgonjwa huyu ambaye alkuwa ndo mwenye nafuu kuliko wale wawil aliaza kulalamika zaidi hvo akaja dokta ni tozi flan akamwongezea drip cha ajabu drip likawa haliend
MKEWE AANZA MAOMBI
Sjawahi kugundua kwamba kufa ni simple vile walahiiiii!! Hvo baada ya drip kugoma nilishanga hospital ile kumbe usku wote madokta na manesi hulala fofofo kabsa na hakuna anayepita kuangalia wagonjwa. Nlimshauri mama yule aende akamwite nesi. Kitu cha ajabu hakuna nesi aliyekuja wala dokta so mgonjwa aloendelea kulalamika bila msaada wa wataalamu pale.
SAA 9 KAMILI USKU WA MANANE
Hali ikawa mbaya zaidi tupo tuna mchek na mkewe jamaa aliaza kulalamika haoni vinzuri (remember nearly death sight is the first sense to go) mkewe akapanda kitandani jamaaa analalamika sn
SAA 9 NA DAKIKA KAMA 20
Mgonjwa akaaza kukoroma lakn anaongea mkewe akamwomba simu anaombwa mgonjwa lkn jama alikataa mkewe akawapigia baadhi ya ndg ila kuhusu hali ya jamaa ku change suddenly hakuna ndg aliyekuja nkamwita mwamba vp ndoo nlivokuwa namwita jamaa hakujibu kitu muda huo macho yaliaza kugeuka kwa mara ya kwaza bila kufundishwa nikajua jamaa hatoboi. Nlimwambia mkewe kamwite dokta kwa bahat zuri tozi alikuja akamchek akamwambia njoo uchukue dawa jamaa alizidi kukoroma na mama yule alilipia dawa lkn aliambiwa ataleta nesi soo yeye akarudi wodini na kukuta hali mbaya sn
SAA 9:30 USKU WA MANANE
Jamaa aliacha kukoroma nkashangaa mkewe anaanza kulia sana na muda huo povu likaaza kutoka na damu mm nmesmama sjui nifanyaje nilichofanya nkamwambia tena mkewe akamweite nesi akaenda mm nashuhudia ze last breath jamaa alivuta pumzi kama mara tatu hv ikawa kmyaa kabsa nikasema kwa ngeli rest in Peace mwamba.
NESI ANAFIKA (ni sisita duu atar)
Nilichokuwa nategemea n nesi kumfariji mwanamke mwezie cha ajabu alifka na kuaza kufoka ww anamfokea yule mama baada ya kuambiwa kwann wameonesha ushirikiano mdogo sn ajabu nyingne alishalipia hela za dawa ambayo hayat hakupewa na hawakumrudishia tuliambiwa tutoke nje wote hapo ndo wakaja karibu wahudumu wote wakajaa ndani mama yule alilia kwa uchungu lkn ilishatokea nlimfariji kiume hadi akanyamaza na nkamshauri awapigie ndg waje akasema n wagumu lkn cha ajabu akawaambia ndo wakaaza kuja pale kusubili utaratibu wa kuchukua mait.Hapo ilikuwa karibu kunakucha....
FUNZO NI NINI HAPA
Nilicho taka ku share nanyi leo mm nlichojifunza jamani kufa ni simple munoo alafu wanaohangaika nasi wanaume n wake tuu no rafiki no braza during the terrible moment wengne watakuja ukifa.
-end-
-
Kwahiyo ww kazi yako ilikuwa ni kumwambia tu mama wa watu kamwite Daktar? Umeshindwa kutumia uanaume wako angalau kuwaghasi ghasi hao wahudumu waamke? Umezungua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa mount meru tu pale wahudumu ni makaksi hatari! Unamuambia nesi "jamani naomba ukamuangalie mgonjwa wangu hali yake imekuwa mbaya"anakuambia "kwa hiyo mimi nikambebe mgongoni ndio ajisikie vizuri? Si nimekwambia subiri?" yaani heri ya waganga wa jadi!!
Hiyo hospital sina ham nayo nlimpoteza sister angu pale yani huduma zao ni mbovu mno hasa nyakati za usiku:mgonjwa akizidiwa usiku hata ukiita namna gani hawaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imenikumbusha ex wangu alivyookoa maisha yangu, she was just alone fighting for my life no friend (ambao ninao wengi sana), No ndugu but it was only her.Nikikumbuka zile moments najikuta nalia kweli ulinipenda sana sana J.

Japo upo na mwanaume mwingine lakini tambua nakuthamini kupita kiasi and i wish nisingekufanyia upuuzi nisamehe sana and i wish you happiness huko uliko and just know niko hapa if you need my help.
Love you!!!
Toa somo ulimfanya nini watu tujifunze ...halafu mtafute umuombe msamaha sio unaomba msamaha jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nacheka km mazuri lkn hapo kwenye REST IN PEACE MWAMBA umeniacha hoi sana.

BTW pole sana kwa kushuhudia tukio kama hilo. Wengine ndo kazi zetu hizo, kila siku tunashuhudia vifo machoni petu.

Sekta ya afya bado ni changamoto kwa ujumla. CPR sio mchezo ktk facility za level za chini sababu nyenzo haziruhusu. Kwa io unakuta hata ukiitwa unakuwa dilemma sana.

All in all REST IN PEACE MWAMBA.
Hivi cardiac arrest ikimtokea mtu hospital anaweza kusaidiwa huko au ndio anaangaliwa tu mpaka anaaga kama mwamba?

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hii kitu nimeshuhudia wiki moja nyuma,
Mawifi wanamsema mwanamke amemuua mumewe!!
Dada kaachwa na watoto watatu mmoja mchanga kabisa
Mke akaondoka na gari ya maiti

Mawifi huku nyuma wakahamisha kila kitu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Na motoni nasikia wamejaa sana huko
Kwa roho mbaya hivyo na wajazane tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Yani ukiwa hospitali na mgonjwa halafu akaanza kwenda chooni hovyo wakati mwanzo hakuwa hivyo basi andaa msiba. Ukiwa hospitali na mgonjwa bahati nzuri akapiga chafya basi jua bado mwili una nguvu sana maana chafya haitoki kizembe. Ukiona kapiga chafya basi walau ana wiki mbele ndipo tuone tena litakalokuwepo ila kwa wiki yote wewe relax maana mwana hatoki.
Hata ukiwa na mgonjwa alikua hawezi kula ghafla akaweza kula chakula cha kutosha basi stuka hesabu saa kadhaa tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu nimeshuhudia wiki moja nyuma,
Mawifi wanamsema mwanamke amemuua mumewe!!
Dada kaachwa na watoto watatu mmoja mchanga kabisa
Mke akaondoka na gari ya maiti

Mawifi huku nyuma wakahamisha kila kitu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ukute na wao wameolewa eti yaani manamake mengine ukute yapo na kaka zao hawajui na wao wanaweza kutangulia wake zao wakanyanyasika pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa kwenye tukio kama hilo face to face na my late dady 30th yrs ago, sikushtuka sababu nilikuwa nimefunzwa jinsi gani mtu anakata roho, nilichofanya ni kumfumba mdomo na macho km bado yako half close.
Pole sana Mkuu!
 
Habar!
Naomba ku share tukio la jana ktk mkoa fulan hapa bongo
SAA 9 ALASIRI
Nikiwa nmefura kwa hasira namna system ya OTEAS ilivokuwaa inanipa tabu mimi na wezangu kadhaa napigiwa simu na mama yangu mdogo niende hospital faza mdogo anaumwa sn kwan alikuwa haongei kabsa.
SAA 10 ALASIRI
Nafika hospital namcheki mgonjwa kwel n taaaban na alikuwa na mama angu mdogo tu ambaye ndo mkewe. Kwenye ward (hodi) kulikuwa na wagonjwa 3 tu wawil ilikuwaa very terrible mmoja ambaye n kjn wa makamoo ilikuwaa afadhari kidogo ilaa tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale.
SAA 2 USKU
Kwakuwa kulikuwa hakuna ndg yetu wa kiume aliyekuja kumwona mzee ilibid nilale na mgonjwa muda huo alikuwa hajitambui na niliruhusiwa kulala mulemule na manes.
SAA 4 USIKU.
mgonjwa ambaye n kjn mule ndani aliniomba nimfungie net mbu n wengi. Muda huo kulikuwaa na mdada mrembo alikuja kumwona huyo kijn so tulisaidiana kufunga net.kama baada ya sa moja yule mlimbwende alisepa wanaita soo nikaombwa ni take care hata kwa kjn yule bahat zuri mkewe alifka so ndan ya hodi tukawa wauguzi wawil.
SAA 6 USKU
Mgonjwa huyu ambaye n kjn alikuwa akienda chooni mfululizo yeye mwenyewe huku ameshika drip lkn mara ya nne hvi kwenda toilet alikwenda na mkewe mida yote jamaa alikuwa akilalama kifua na mapigo ya moyo yanakwenda kasi sn.
SAA 8 USKU MZTO
Sijajua uchuro wa ndege anaitwa bundi na uhusiano wa matukio mabaya. Bundi alianza kusikika juu ya mti wa hospital. Muda huo mgonjwa kijn alianza kulalamika zaidi hvoo aliomba dokta aje cha ajabu alikuja nesi mdada mdogo nazan hazid miaka 30 alimpa kjn vidonge akasepa. Muda huo mgonjwa huyu ambaye alkuwa ndo mwenye nafuu kuliko wale wawil aliaza kulalamika zaidi hvo akaja dokta ni tozi flan akamwongezea drip cha ajabu drip likawa haliend
MKEWE AANZA MAOMBI
Sjawahi kugundua kwamba kufa ni simple vile walahiiiii!! Hvo baada ya drip kugoma nilishanga hospital ile kumbe usku wote madokta na manesi hulala fofofo kabsa na hakuna anayepita kuangalia wagonjwa. Nlimshauri mama yule aende akamwite nesi. Kitu cha ajabu hakuna nesi aliyekuja wala dokta so mgonjwa aloendelea kulalamika bila msaada wa wataalamu pale.
SAA 9 KAMILI USKU WA MANANE
Hali ikawa mbaya zaidi tupo tuna mchek na mkewe jamaa aliaza kulalamika haoni vinzuri (remember nearly death sight is the first sense to go) mkewe akapanda kitandani jamaaa analalamika sn
SAA 9 NA DAKIKA KAMA 20
Mgonjwa akaaza kukoroma lakn anaongea mkewe akamwomba simu anaombwa mgonjwa lkn jama alikataa mkewe akawapigia baadhi ya ndg ila kuhusu hali ya jamaa ku change suddenly hakuna ndg aliyekuja nkamwita mwamba vp ndoo nlivokuwa namwita jamaa hakujibu kitu muda huo macho yaliaza kugeuka kwa mara ya kwaza bila kufundishwa nikajua jamaa hatoboi. Nlimwambia mkewe kamwite dokta kwa bahat zuri tozi alikuja akamchek akamwambia njoo uchukue dawa jamaa alizidi kukoroma na mama yule alilipia dawa lkn aliambiwa ataleta nesi soo yeye akarudi wodini na kukuta hali mbaya sn
SAA 9:30 USKU WA MANANE
Jamaa aliacha kukoroma nkashangaa mkewe anaanza kulia sana na muda huo povu likaaza kutoka na damu mm nmesmama sjui nifanyaje nilichofanya nkamwambia tena mkewe akamweite nesi akaenda mm nashuhudia ze last breath jamaa alivuta pumzi kama mara tatu hv ikawa kmyaa kabsa nikasema kwa ngeli rest in Peace mwamba.
NESI ANAFIKA (ni sisita duu atar)
Nilichokuwa nategemea n nesi kumfariji mwanamke mwezie cha ajabu alifka na kuaza kufoka ww anamfokea yule mama baada ya kuambiwa kwann wameonesha ushirikiano mdogo sn ajabu nyingne alishalipia hela za dawa ambayo hayat hakupewa na hawakumrudishia tuliambiwa tutoke nje wote hapo ndo wakaja karibu wahudumu wote wakajaa ndani mama yule alilia kwa uchungu lkn ilishatokea nlimfariji kiume hadi akanyamaza na nkamshauri awapigie ndg waje akasema n wagumu lkn cha ajabu akawaambia ndo wakaaza kuja pale kusubili utaratibu wa kuchukua mait.Hapo ilikuwa karibu kunakucha....
FUNZO NI NINI HAPA
Nilicho taka ku share nanyi leo mm nlichojifunza jamani kufa ni simple munoo alafu wanaohangaika nasi wanaume n wake tuu no rafiki no braza during the terrible moment wengne watakuja ukifa.
-end-
-
Pole sana Mkuu!
 
Habar!
Naomba ku share tukio la jana ktk mkoa fulan hapa bongo
SAA 9 ALASIRI
Nikiwa nmefura kwa hasira namna system ya OTEAS ilivokuwaa inanipa tabu mimi na wezangu kadhaa napigiwa simu na mama yangu mdogo niende hospital faza mdogo anaumwa sn kwan alikuwa haongei kabsa.
SAA 10 ALASIRI
Nafika hospital namcheki mgonjwa kwel n taaaban na alikuwa na mama angu mdogo tu ambaye ndo mkewe. Kwenye ward (hodi) kulikuwa na wagonjwa 3 tu wawil ilikuwaa very terrible mmoja ambaye n kjn wa makamoo ilikuwaa afadhari kidogo ilaa tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale.
SAA 2 USKU
Kwakuwa kulikuwa hakuna ndg yetu wa kiume aliyekuja kumwona mzee ilibid nilale na mgonjwa muda huo alikuwa hajitambui na niliruhusiwa kulala mulemule na manes.
SAA 4 USIKU.
mgonjwa ambaye n kjn mule ndani aliniomba nimfungie net mbu n wengi. Muda huo kulikuwaa na mdada mrembo alikuja kumwona huyo kijn so tulisaidiana kufunga net.kama baada ya sa moja yule mlimbwende alisepa wanaita soo nikaombwa ni take care hata kwa kjn yule bahat zuri mkewe alifka so ndan ya hodi tukawa wauguzi wawil.
SAA 6 USKU
Mgonjwa huyu ambaye n kjn alikuwa akienda chooni mfululizo yeye mwenyewe huku ameshika drip lkn mara ya nne hvi kwenda toilet alikwenda na mkewe mida yote jamaa alikuwa akilalama kifua na mapigo ya moyo yanakwenda kasi sn.
SAA 8 USKU MZTO
Sijajua uchuro wa ndege anaitwa bundi na uhusiano wa matukio mabaya. Bundi alianza kusikika juu ya mti wa hospital. Muda huo mgonjwa kijn alianza kulalamika zaidi hvoo aliomba dokta aje cha ajabu alikuja nesi mdada mdogo nazan hazid miaka 30 alimpa kjn vidonge akasepa. Muda huo mgonjwa huyu ambaye alkuwa ndo mwenye nafuu kuliko wale wawil aliaza kulalamika zaidi hvo akaja dokta ni tozi flan akamwongezea drip cha ajabu drip likawa haliend
MKEWE AANZA MAOMBI
Sjawahi kugundua kwamba kufa ni simple vile walahiiiii!! Hvo baada ya drip kugoma nilishanga hospital ile kumbe usku wote madokta na manesi hulala fofofo kabsa na hakuna anayepita kuangalia wagonjwa. Nlimshauri mama yule aende akamwite nesi. Kitu cha ajabu hakuna nesi aliyekuja wala dokta so mgonjwa aloendelea kulalamika bila msaada wa wataalamu pale.
SAA 9 KAMILI USKU WA MANANE
Hali ikawa mbaya zaidi tupo tuna mchek na mkewe jamaa aliaza kulalamika haoni vinzuri (remember nearly death sight is the first sense to go) mkewe akapanda kitandani jamaaa analalamika sn
SAA 9 NA DAKIKA KAMA 20
Mgonjwa akaaza kukoroma lakn anaongea mkewe akamwomba simu anaombwa mgonjwa lkn jama alikataa mkewe akawapigia baadhi ya ndg ila kuhusu hali ya jamaa ku change suddenly hakuna ndg aliyekuja nkamwita mwamba vp ndoo nlivokuwa namwita jamaa hakujibu kitu muda huo macho yaliaza kugeuka kwa mara ya kwaza bila kufundishwa nikajua jamaa hatoboi. Nlimwambia mkewe kamwite dokta kwa bahat zuri tozi alikuja akamchek akamwambia njoo uchukue dawa jamaa alizidi kukoroma na mama yule alilipia dawa lkn aliambiwa ataleta nesi soo yeye akarudi wodini na kukuta hali mbaya sn
SAA 9:30 USKU WA MANANE
Jamaa aliacha kukoroma nkashangaa mkewe anaanza kulia sana na muda huo povu likaaza kutoka na damu mm nmesmama sjui nifanyaje nilichofanya nkamwambia tena mkewe akamweite nesi akaenda mm nashuhudia ze last breath jamaa alivuta pumzi kama mara tatu hv ikawa kmyaa kabsa nikasema kwa ngeli rest in Peace mwamba.
NESI ANAFIKA (ni sisita duu atar)
Nilichokuwa nategemea n nesi kumfariji mwanamke mwezie cha ajabu alifka na kuaza kufoka ww anamfokea yule mama baada ya kuambiwa kwann wameonesha ushirikiano mdogo sn ajabu nyingne alishalipia hela za dawa ambayo hayat hakupewa na hawakumrudishia tuliambiwa tutoke nje wote hapo ndo wakaja karibu wahudumu wote wakajaa ndani mama yule alilia kwa uchungu lkn ilishatokea nlimfariji kiume hadi akanyamaza na nkamshauri awapigie ndg waje akasema n wagumu lkn cha ajabu akawaambia ndo wakaaza kuja pale kusubili utaratibu wa kuchukua mait.Hapo ilikuwa karibu kunakucha....
FUNZO NI NINI HAPA
Nilicho taka ku share nanyi leo mm nlichojifunza jamani kufa ni simple munoo alafu wanaohangaika nasi wanaume n wake tuu no rafiki no braza during the terrible moment wengne watakuja ukifa.
-end-
-
Kwa aina hii ya muandiko ni ishara kwamba mkasa mzima ni uongo mtupu.
muandishi ni mvivu wa kufikiri na kuandika.
Acha kutuharibia lugha yetu ya Kiswahili,andika kama mwanaume.
 
baadhi ya madaktari ni wapuuzi sana, tumewahi peleka mgonjwa mahututi hata walio kuwa kwenye foleni wakaturuhusu kupita kwanza dr. akakaza ***** zake yule.
tuka fosi king kwa dr. mwingine kwa kumpigia simu akaja fasta ndo ikawa pona pona ya mgonjwa wetu.Nilitamani yule dr. nimfanyie upuuzi flani basi tu
 
Kwa hiyo wewe ulitoa msaada gani zaidi ya kutoa maagizo kwa mke wa marehemu??

Ungetuambia na wewe uliamua kuwavaa wahusika baada ya kuona kuna uzembe.

Kila nafsi itaonja mauti ila kwa huu ushuhuda wako ni kama ulikuwa interested kushuhudia mtu anakata roho na si kuokoa maisha yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom