Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,490
Imenikumbusha ex wangu alivyookoa maisha yangu, she was just alone fighting for my life no friend (ambao ninao wengi sana), No ndugu but it was only her.Nikikumbuka zile moments najikuta nalia kweli ulinipenda sana sana J.
Japo upo na mwanaume mwingine lakini tambua nakuthamini kupita kiasi and i wish nisingekufanyia upuuzi nisamehe sana and i wish you happiness huko uliko and just know niko hapa if you need my help.
Love you!!!
Ila wanaume jamani!hvi ni laana au?mna nn nyie?