Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

Hata

Hata wewe hukuweza kufanya kazi yako kama kijana wa kiume ,ww ndy ulitakiwa kwenda kumwita Dr ulipoona hali inakuwa mbaya
Angefanya hivyo, wangemdedisha na mgonjwa wake.

Dalili ya kutoka povu na damu. Kitaalam umekunywa sumu. Ninamashaka na dawa alizowekewa. Ninamashaka na mkewe. Ndg wa damu anaweza kukusaidia sio mwngine

Jambo lingine niwashauri wapelekeni watoto wenu shule, elimu ndio kitu pekee,urithi pekee, Mali zako kula zote.

Bongo hatujali IQ kuwa na maalifa mengi kunakupa ulinzi.
 
Wee jamaa ni akili kubwa sana, nasave huu ushauri kwa ajili ya baadae
Angefanya hivyo, wangemdedisha na mgonjwa wake.

Dalili ya kutoka povu na damu. Kitaalam umekunywa sumu. Ninamashaka na dawa alizowekewa. Ninamashaka na mkewe. Ndg wa damu anaweza kukusaidia sio mwngine

Jambo lingine niwashauri wapelekeni watoto wenu shule, elimu ndio kitu pekee,urithi pekee, Mali zako kula zote.

Bongo hatujali IQ kuwa na maalifa mengi kunakupa ulinzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari,

Naomba ku share tukio la jana ktk mkoa fulan hapa bongo

SAA 9 ALASIRI
Nikiwa nmefura kwa hasira namna system ya OTEAS ilivokuwaa inanipa tabu mimi na wezangu kadhaa napigiwa simu na mama yangu mdogo niende hospital faza mdogo anaumwa sn kwan alikuwa haongei kabsa.

SAA 10 ALASIRI
Nafika hospital namcheki mgonjwa kwel n taaaban na alikuwa na mama angu mdogo tu ambaye ndo mkewe. Kwenye ward (hodi) kulikuwa na wagonjwa 3 tu wawil ilikuwaa very terrible mmoja ambaye n kjn wa makamoo ilikuwaa afadhari kidogo ilaa tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale.

SAA 2 USIKU
Kwakuwa kulikuwa hakuna ndg yetu wa kiume aliyekuja kumwona mzee ilibid nilale na mgonjwa muda huo alikuwa hajitambui na niliruhusiwa kulala mulemule na manes.

SAA 4 USIKU
mgonjwa ambaye n kjn mule ndani aliniomba nimfungie net mbu n wengi. Muda huo kulikuwaa na mdada mrembo alikuja kumwona huyo kijn so tulisaidiana kufunga net.kama baada ya sa moja yule mlimbwende alisepa wanaita soo nikaombwa ni take care hata kwa kjn yule bahat zuri mkewe alifka so ndan ya hodi tukawa wauguzi wawil.

SAA 6 USIKU
Mgonjwa huyu ambaye n kjn alikuwa akienda chooni mfululizo yeye mwenyewe huku ameshika drip lkn mara ya nne hvi kwenda toilet alikwenda na mkewe mida yote jamaa alikuwa akilalama kifua na mapigo ya moyo yanakwenda kasi sn.

SAA 8 USIKU MZTO
Sijajua uchuro wa ndege anaitwa bundi na uhusiano wa matukio mabaya. Bundi alianza kusikika juu ya mti wa hospital. Muda huo mgonjwa kijn alianza kulalamika zaidi hvoo aliomba dokta aje cha ajabu alikuja nesi mdada mdogo nazan hazid miaka 30 alimpa kjn vidonge akasepa. Muda huo mgonjwa huyu ambaye alkuwa ndo mwenye nafuu kuliko wale wawil aliaza kulalamika zaidi hvo akaja dokta ni tozi flan akamwongezea drip cha ajabu drip likawa haliend

MKEWE AANZA MAOMBI
Sjawahi kugundua kwamba kufa ni simple vile walahiiiii!! Hvo baada ya drip kugoma nilishanga hospital ile kumbe usku wote madokta na manesi hulala fofofo kabsa na hakuna anayepita kuangalia wagonjwa. Nlimshauri mama yule aende akamwite nesi. Kitu cha ajabu hakuna nesi aliyekuja wala dokta so mgonjwa aloendelea kulalamika bila msaada wa wataalamu pale.

SAA 9 KAMILI USKU WA MANANE
Hali ikawa mbaya zaidi tupo tuna mchek na mkewe jamaa aliaza kulalamika haoni vinzuri (remember nearly death sight is the first sense to go) mkewe akapanda kitandani jamaaa analalamika sn

SAA 9 NA DAKIKA KAMA 20
Mgonjwa akaaza kukoroma lakini anaongea mkewe akamwomba simu anaombwa mgonjwa lkn jama alikataa mkewe akawapigia baadhi ya ndg ila kuhusu hali ya jamaa ku change suddenly hakuna ndg aliyekuja nkamwita mwamba vp ndoo nlivokuwa namwita jamaa hakujibu kitu muda huo macho yaliaza kugeuka kwa mara ya kwaza bila kufundishwa nikajua jamaa hatoboi. Nlimwambia mkewe kamwite dokta kwa bahat zuri tozi alikuja akamchek akamwambia njoo uchukue dawa jamaa alizidi kukoroma na mama yule alilipia dawa lkn aliambiwa ataleta nesi soo yeye akarudi wodini na kukuta hali mbaya sn

SAA 9:30 USIKU WA MANANE
Jamaa aliacha kukoroma nkashangaa mkewe anaanza kulia sana na muda huo povu likaaza kutoka na damu mm nmesmama sjui nifanyaje nilichofanya nkamwambia tena mkewe akamweite nesi akaenda mm nashuhudia ze last breath jamaa alivuta pumzi kama mara tatu hv ikawa kmyaa kabsa nikasema kwa ngeli rest in Peace mwamba.

NESI ANAFIKA (ni sisita duu hatari)
Nilichokuwa nategemea ni nesi kumfariji mwanamke mwezie cha ajabu alifka na kuaza kufoka ww anamfokea yule mama baada ya kuambiwa kwann wameonesha ushirikiano mdogo sn ajabu nyingne alishalipia hela za dawa ambayo hayat hakupewa na hawakumrudishia tuliambiwa tutoke nje wote hapo ndo wakaja karibu wahudumu wote wakajaa ndani mama yule alilia kwa uchungu lkn ilishatokea nlimfariji kiume hadi akanyamaza na nkamshauri awapigie ndg waje akasema n wagumu lkn cha ajabu akawaambia ndo wakaaza kuja pale kusubili utaratibu wa kuchukua mait.Hapo ilikuwa karibu kunakucha....

FUNZO NI NINI HAPA
Nilicho taka ku share nanyi leo mm nlichojifunza jamani kufa ni simple munoo alafu wanaohangaika nasi wanaume n wake tuu no rafiki no braza during the terrible moment wengne watakuja ukifa.

-end-
Mi nimejifunza kuwa matibabu ya hospitali husababisha vifo kuliko ugonjwa wenyewe, wakati jamaa analalamika ilikuwa muda mzuri wa kuliondoa hilo drip alilowekewa.
Ukiwategemea sana wahudumu wa hospitali unakufa, kwani lazima mtu upewe drip kama vitu vinaweza kupitia kinywani.
Hilo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😊😊😊😊aendeleeni kung'ang'ania na nature za kijinga..yan mtu amekuokoa..hakukua na kaka yako wala baba wala mama..mtu baki akaingia front ..leo hii ukamcheat!!!ila ndo napoukumbuka ule msemo tenda wema nenda zako

Acha tu
 
Ni kweli alikuwa na saratani? Maana kuwa na tezi(uvimbe), sio lazima uwe na saratani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipimo cha damu kilionesha dalili kubwa , Ingawa inaonekana infection ya UTI nayo ilifanya gauge isome juu na kuashiria kansa . Muhimbili wamegundua kansa haipo ni tezi tu. Yaani madaktari vijana wana uwezo mkubwa kasoro maadili, nimeshangaa wanapiga soga kwa sauti kubwa kwenye korido za wodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee uchungu wa kutolewa roho usikie tu na tusubir zamu ytu lkn ni hatar mnoo sbb, ht yesu mwenyewe alivyokufa mama ake alimfufua na kumuuliza vp uchungu wa kutolewa roho unausikiaje akamjibu ni sawa sawa na majabal mawil moja likiwa juu na lingne likiwa chin yakutane afu ww uko katikati, au km vile kumchuna mnyama ngozi hal ni bdo mzma, kifo sio mchezo msione watu wanatoa macho ukadhan ni kawaida vile, roho ikitoka inauma,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me pia nilisha shuhudia wa kwanza ni bibi angu mwaka jana January 26 saa mbili asubui nilmshuhudia anavyo kata roho huku akiniangalia sana

Mwingine ni kijana mmoja hv siku nilimpelekea bro angu chakula wodin alikua ana umwa vibaya sana.Pembeni yake kitanda kingine alilala huyo kijana tena alikua yupo na mama ake ana chezea simu mara ghafla akaanza kulalamika mgongo unamuuma,mara tumbo
Akaniomba nimpeleke chooni kiukweli alikua hawez kutembea so nikambeba na kumpeleka.
Hali ilianza kubadilika kwa kasi sana kwenye mida ya jioni saa 10 kama cjakosea.Huyo kijana alilalamika sana mgongo mgongo,tumbo tumbo cha kushangaza huyo kijana aliniomba nikakae kwenye kitanda chake hku nmemshika mkono.Nilikaa nae sana muda amekataa kumeza vidonge akidai vinamtesa
Kwenye saa moja jioni dogo alikua ana nambia nakufa,nakufa hatimae akakata roho kwenye mikono yng
Nilisisimkwa hatari maana sikuwai kugusa maiti

Tunakufa mara moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me pia nilisha shuhudia wa kwanza ni bibi angu mwaka jana January 26 saa mbili asubui nilmshuhudia anavyo kata roho huku akiniangalia sana

Mwingine ni kijana mmoja hv siku nilimpelekea bro angu chakula wodin alikua ana umwa vibaya sana.Pembeni yake kitanda kingine alilala huyo kijana tena alikua yupo na mama ake ana chezea simu mara ghafla akaanza kulalamika mgongo unamuuma,mara tumbo
Akaniomba nimpeleke chooni kiukweli alikua hawez kutembea so nikambeba na kumpeleka.
Hali ilianza kubadilika kwa kasi sana kwenye mida ya jioni saa 10 kama cjakosea.Huyo kijana alilalamika sana mgongo mgongo,tumbo tumbo cha kushangaza huyo kijana aliniomba nikakae kwenye kitanda chake hku nmemshika mkono.Nilikaa nae sana muda amekataa kumeza vidonge akidai vinamtesa
Kwenye saa moja jioni dogo alikua ana nambia nakufa,nakufa hatimae akakata roho kwenye mikono yng
Nilisisimkwa hatari maana sikuwai kugusa maiti

Tunakufa mara moja

Sent using Jamii Forums mobile app


Jaman kweli ww mwanaume..duh mie nashindwa kns kiconnect hizi situation..sijawah shhudia kifo...ila nimewaj ona maiti ya kakangu jamn ..since there huwa siagi maiti mimi
 
We jamaa ni mzembe sana ni moja ya watu waliosababisha kifo cha marehemu kwa uzembe wako
 
Hii dunia bwana,binadamu ukiwa hai hakuna wa kukujali kabsa ila kufa sasa,ila nazani ni mitizamo ya kibinadamu maana kifo ni fumbo,sasa wengi huwa hatuamiani kuwa fulani atakufa hadi itokee ndo uamini,hata sisi,yani mimi na wewe ukijiuliza, kweli nitakufa?

Huenda ukajiambia kimoyo moyo nitakufa kweli lakini bado unakuwa huamini amini.
Huzuni utanda pale anapokufa mtu na huenda hukutazamia kuwa itatokea namna hiyo,huenda ulifikiri kuwa anaumwa ila atapona tu,ndo maana ma daktari hujazana kwenye chumba cha mgonjwa mara baada ya mgonjwa kuwa amefariki,huwa hawaamini amini ila ndo ukweli wenyewe kuwa amekwisha ondoka huyo.
Rai yangu mimi ni kumthamini mtu angali akiwa hai,ndo nafasi pekee ya kuonyesha upendo wa kibinadamu,na sikuanza kumthamini baada ya umauti kumkuta,et utakuta wanasema labda tungefanya hili na lile angepona na hali hatakuonekena kwao tu ilikuwa shida.Any way rip Mwamba


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa mount meru tu pale wahudumu ni makaksi hatari! Unamuambia nesi "jamani naomba ukamuangalie mgonjwa wangu hali yake imekuwa mbaya"anakuambia "kwa hiyo mimi nikambebe mgongoni ndio ajisikie vizuri? Si nimekwambia subiri?" yaani heri ya waganga wa jadi!!
Ndio maana huwa napeleka hospital za private.
Hospital za goverment hakuna professionalism kabisa.
They dont care about mgonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah ni extra sensory organ zinazomsaidia.
Ni sayansi rahis. Bund ana uwezo mkubwa sana wa kusikia pamoja na harufu.
Bundi Ndege wa ajabu sana huwa na ana maono na kifo huwa kuna kiungo cha mwili hutangulia kufa na kutoa harufu Bundi huwa ana sense kali sana ya harufu hiyo ,Hivyo husogea eneo la tukio akijua ataambulia menyu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom