Vigezo gani unaangalia.Huyu ni mbinafsi anataka awe yeye tu ndiyo maana anataka tuishie hapa,yeye asubiri nione kama ana vigezo vya kuwa na Mimi
Asante kwa kunipa sifa kwa njia ya mzunguko.Huwa unajiona Una akili sana
Muonekano wako Kwa mara ya Kwanza ,nitajua wewe ni mtu wa aina ganiVigezo gani unaangalia.
Namzingua tu,tumechoka nyuzi za kijinga 🐒kwani unako ka nanilii pembeni? wew sini mdada au unamnunulia mtu 😂😂
Kaka bora umekuja ebu tupia chambo huyu samaki umvue.😂😂💔😂😂
looh itabidi nikome😅Humu Jf usifuatilie sana mambo utachiz.
Kuna jamaa wa Kigamboni kafungwa 20yrs jela kwa shambulio la Aibu kumshika mtu MAKALIO,,,Naweza kutuma advance kabisa ili kazi ifanyike bila mawazo?
Sawa tufanye Una akili.Asante kwa kunipa sifa kwa njia ya mzunguko.
Asikutishe,sema matarajio yake hayatimii anahisi wote waongo😂looh itabidi nikome😅
Kama huu Uzi ni wa kijinga,basi na wewe ni mjinga ,kama Mimi ni mjinga basi hata wewe ni mjinga ,ni vigumu kukuta mwenye akili yupo na wajingaNamzingua tu,tumechoka nyuzi za kijinga 🐒
Ebu njoo hapa kwa mangi tujadili jambosio wew tena? 😅 sema ili tuongeze chumvi labda utapewa kidog hata unuse ( jokes) 😅😅😅
markhabah..Shikamoon wakubwa zangu
Unajua kuna namna ukipita,au ukiwa kwenye Nyakati ngumu unajikuta,huwazi mambo ya ngono na huhitaji mpenzi.
Sasa kwasasa angalau nipo kwenye wakati mzuri .so kuna kitu nakuta nakikosa,mmmh nyege mbaya niwe mkweli nimeshindwa kukaza,mbaya zaidi hata mtu wangu hajawahi nipigia simu.
Tungekuwa wanawake tunatongoza,naona leo ningetafuta lakini ,si taratibu zetu.
Ila hapanaaaaa ,kuwasha si kuwasha viungo vimekaza,kazi zitanishinda leo.
Ngoja nitafute kitu cha kuniweka busy
Niwe pending endapo mambo yakienda kombo.sio wew tena? 😅 sema ili tuongeze chumvi labda utapewa kidog hata unuse ( jokes) 😅😅😅
Asante mwayaaamarkhabah..
ni muhimu sana kwanza tuwekane sawa kidogo,
uko sahihi kwamba kupitia wakati mgumu kunaweza kukakukosesha hamu ya kunyanduana au kuwaza mambo ya ngono.
Lakini pia,
jambo ulilosema kwenye hitimisho la hoja yako, yaani kujikeep bize, hili ni muhimu sana kukufanya ukose muda wa kuwaza mambo ya ngono au kunyanduana.
Kwa nyongeza ya hayo,
jambo jingine la muhimu sana ni kwamba, ukipata wasaa wa kufanya mazoezi sahihi, vizuri na kwa ukamilifu, utajikuta una uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia zako kingono na zingine na kukufanya u focus kwenye mambo yako ya msingi tu.
Lakini ikiwa una kula vya kutosha, unakunywa vya kutosha, unapumzika vya kutosha, huna cha kukushughulisha n.k, unazalisha vichocheo vya mwili wako kwa wingi na hasa vya ngono na kujikuta una mchecheto na huko chini kuna mpwitampwita kila wakati kukihitaji kusukutuliwa na mshedede.
Ikiwa huna cha kufanya, nashauri jiunge kwenye mazoezi sahihi mepesi ya kubalance vichocheo vya mwili otherwise utajikuta unakwenda kuchota mimba na magonjwa ya zinaa kirahisi tu 🐒
Tulilia mno😃😃Uzuri ndugu yetu katoka kukimbiwa na mama watoto wake basi ni heri wapate kufarijiana.