Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,418
- 4,113
- Thread starter
- #201
Nimekosa Kwa miezi 21Umefanya vyema kutafuta shughuli za kufanya ili kuwa busy na hatimaye kutapunguza nyege zako
Ila mabinti wa miaka hii mnatupa wasiwasi sana Wazee wenu, kwamba mnashindwa kujizuia linapokuja suala la mihemko(nyege)
Mabinti wengi wa mwaka 47, waliweza kustahimili kumvumilia mumewe hata akiwa amesafiri kwa miaka hata 5 au zaidi
Nyie wa sasa inaonekana mkikosa dudu hata kwa wiki 3 mnaweza kuugua na kulazwa kabisa 🤪