Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,418
- 4,113
- Thread starter
- #181
Niko poaaa kipenz 🌹Marry Diana u hali gani mkuu
Niko poaaa kipenz 🌹Marry Diana u hali gani mkuu
karibu sana 🐒Asante mwayaaa
Kuna mtu. Hapa kapenda avatar yako kasema hawezi ishi bila weweNiko poaaa kipenz 🌹
Njoo nikupeShikamoon wakubwa zangu
Unajua kuna namna ukipita,au ukiwa kwenye Nyakati ngumu unajikuta,huwazi mambo ya ngono na huhitaji mpenzi.
Sasa kwasasa angalau nipo kwenye wakati mzuri .so kuna kitu nakuta nakikosa,mmmh nyege mbaya niwe mkweli nimeshindwa kukaza,mbaya zaidi hata mtu wangu hajawahi nipigia simu.
Tungekuwa wanawake tunatongoza,naona leo ningetafuta lakini ,si taratibu zetu.
Ila hapanaaaaa ,kuwasha si kuwasha viungo vimekaza,kazi zitanishinda leo.
Ngoja nitafute kitu cha kuniweka busy
Picha yangu hiyoKuna mtu. Hapa kapenda avatar yako kasema hawezi ishi bila wewe
Ahsantekaribu sana 🐒
bado magunia ya mpunga yanakuchachafya eeh? hebu nigawie debe moja kwanza nikakoboe nipate mtaji wa vitumbuaEbu njoo hapa kwa mangi tujadili jambo
hautaki kuwa chambo? 😅😅Niwe pending endapo mambo yakienda kombo.
Ndiyo kasema hawezi ishi bila wewePicha yangu hiyo
KaribuAisee
Nimeshindwa kujizuia kabisabado magunia ya mpunga yanakuchachafya eeh? hebu nigawie debe moja kwanza nikakoboe nipate mtaji wa vitumbua
Sawa mwambie aombe Mungu
Samaki mnono huvuliwa usiku kukiwa na utulivu 😂😂😂 haihitaji chambo ni kutega nyavu tu.hautaki kuwa chambo? 😅😅
Imenyooka 😂Cv yake inajieleza😃